Vita huja kwa ajili ya kuokoa wengi wasijeumizwa na wengine,majeshi yapo kwa ajili ya ulinzi wa mataifa Yao ili yasivamiwe na wakorodi.
Ingawa Ni kweli, toka zamani vita zilitumika kuleta usawa pasipokua na usawa,kuleta haki pasipokua na haki,lkn ni vema kutatmini madhara na faida ya vita...