kipimo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kipimo kidogo cha damu kutumika kupima Saratani ya matiti

    Wataalam wa Afya wamebaini kuwa kuna uwezekano wa kufanya vipimo vya Saratani ya Matiti kwa kutumia kipimo cha kawaida cha damu tofauti na kutumia kifaa maalum cha kupiga picha hasa wana wanawake wenye umri mdogo. Daktari wa upasuaji wa saratani ya matiti Profesa Kefah Mokbel wa Uingereza...
  2. K

    Ugonjwa wa Homa ya Mgunda, ni kipimo kingine kwa Wizara ya Afya, NIMR pamoja na Wataalam wa Afya nchini

    Wana Bodi tumesikia kuhusu ugonjwa wa Homa ya Mgunda hiki ni kipimo kingine kwa Wizara ya Afya, NIMR pamoja na Wataalam wa Afya nchini Kama ifuatavyo 1. Kuweza kutafuta ukweli wa ugonjwa huu pamoja na dalili zake 2. Kujua kutofautisha kati ya Siasa, Sayansi na Utaalamu wa kada ya Afya na...
  3. Siri ya kuufanya uume ukue kwa size bila kipimo

    Nimegundua watu wengi wanapata tatizo la uume kutokukua na kurefuka kwa sababu mbalimbali kuanzia vyakula wanavyokula hadi life styles kwa ujumla ila leo ntakwambia njia moja ambayo itafanya uume wako uwe huru kukua na kurefuka na wenye afya na nguvu Njia iyo ni kama umekuwa unavaa boxer kila...
  4. M

    Sare ya Yanga SC dhidi ya Ruvu Shooting FC ya Juzi ndiyo Kipimo tosha cha kama Wasipohonga huwa wanakuwaje

    Kwangu Mimi Yanga SC iliyocheza Juzi na Ruvu Shooting FC ndiyo Yanga SC halisi na ule ndiyo Mpira wake. Nasikia Tajiri wa Ghorofani Posta Mpya aliomba Juzi Wasihonge ili kuona itakuwaje na baada ya kuponea Tundu la Sindano nasikia Utamaduni wetu utaendelea kuanzia Mechi na Prisons FC pamoja na...
  5. Harakati za Kiongozi Wa Mbio za Mwenge Mwaka 2022

    Kwa aina ya Ukaguzi Huu Huyu Kiongozi Wakimbiza Mwenge Anaonekana ni Mkuda SAna. . Ni Kwamba Hajui Kuna Aina Ngapi Za Lami?
  6. Serikali kuilipa Symbion Tsh Billion 356

    Serikali Kupitia Wizara ya Nishati (Tanesco) kuilipa kampuni ya Symbion Tsh Billion 356 baada ya kuvunja mkataba wake na Tanesco awamu ya 5. Kampuni ya Symbion ni Kampuni iliyokuwa ya Kimarekani ambayo ilikuwa ikifua umeme na kuiuzia Tanesco! Kampuni ya Symbion ilifunguliwa rasmi awamu ya 4 na...
  7. Kipimo cha dharau ni kumuweka Bashungwa TAMISEMI na mchapakazi kama Jaffo mazingira

    Hizi ndio dharau walizofikia hawa watu kututawala. Wapo tayari kutoa wasimamizi imara ilimradi wasionakane. Bashungwa TAMISEMI ameonyesha umahiri gani mpaka sasa. Hawa jamaa wanatudharau sana,
  8. Kiingereza ni lugha tu kama nyingine, siyo kipimo cha maarifa

    Nyota wa Bongo flavour Diamond Platnumz amepata taabu sana mitandaoni kwa siku kadhaa sasa kutokana na kiingereza chake kwenye filamu ya #YoungFamousAndAfrican. Mdau mmoja amesema kuwa wengi hapa Afrika hususan Afrika Mashariki bado fikra zetu zinatawaliwa na wakoloni. Kiingereza sio kipimo...
  9. L

    Mikutano miwili imekuwa kipimo cha kukabili changamoto za kijamii, kiuchumi na kisiasa

    Huku pazia la Mkutano wa 5 wa Baraza la 13 la Mashauriano ya Kisiasa la China likishuka kuashiria mwisho wa mikutano miwili, dunia imeendelea kutambua jinsi vikao hivyo vimekuwa kipimo cha kukabili changamoto za kijamii, kiuchumi na kisiasa, na pia janga la COVID-19 ambalo halijawahi kutokea...
  10. C

    Msaada wa kipimo mbadala

    Wakuu habarini za wakati huu. Nimeenda Muhimbili wameniandikia kipimo cha OGD. Kwa ninavyosikia hiki kipimo maumivu yake ni hatari. Naombeni msaada kama huwa kuna mbadala wake. Shida yangu kubwa ni maumivu ya kifua ya muda mrefu ila pia nimegundulika kuwa na vidonda vya tumbo. Nilipewa dozi...
  11. Kama Ngono sio kipimo cha upendo katika mahusiano, kwanini kuchapiwa kunauma kuzidi kuachana?

    Ifahamike kwamba mapenzi ni muunganiko wa watu wawili katika kupendana kwa dhati na sio muungano wa sehemu za siri, hili si la kupuuza maana ndio uhalisia huo. Kuunganisha sehemu za siri kunawezekana kirahisi sana lakini watu kuunganika kwa kupendana kwa dhati hio ni case nyingine kabisa. Sasa...
  12. Kuhusu wapi naweza kupima kipimo cha PCR jijini Dar?

    Ningependa kujua wapi naweza pata kupima pcr?majibu yanatoka kwa mda gani nikipima?na mwisho nataka kujua gharama zake?Nahitajika kujua kwa haraka ili niweze kusafiri kwenda Rwanda alhamisi. asanteni sana
  13. Yanga ya sasa sio kipimo kizuri cha kumfukuza kocha wenu

    Kama timu itapoteza mechi yake dhidi ya Yanga ya sasa ijue kuwa sio uzembe wa kocha, wachezaji Wala viongozi, imefungwa na timu Bora nchini kwa msimu huu wa 21/22. Hivyo ni kosa kuwa kuchukuwa maamuzi dhidi ya kocha, mchezaji au kiongozi wa timu. Yanga Sasa isingetoka haraka vile kwenye ligi ya...
  14. M

    Hivi mahindi ndio kipimo cha njaa au chakula kuwepo nchini?

    Mzuka wanajamvi! Serikali au wadau mbalimbali wakitoa data kuhusu upungufu ama chakula kuwepo wanatumia mahindi. Baa la njaa ikiikumba nchi mahindi yanatumiwa kama kipimo cha chakula pekee kuonesha kama kuna njaa au la. Tuna ona serikali kupitia wizara ya kilimo inanunua mahindi tu meengii...
  15. #COVID19 Leo ni siku ya Afya ya Akili, Je Watanzania tutumie chanjo ya Corona kama kipimo cha utimamu wetu?. Wapinga chanjo, sio wazima! Je ni vichaa?

    Wanabodi, Leo October, 10 kila mwaka ni siku ya Afya ya Akili, kuna ule utafiti, ulioonyesha kuwa kwenye kila Watanzania 4, mmoja ana tatizo la Afya ya akili. Matokeo ya utafiti huo, umerudiwa leo asubuhi kwenye TBC na daktari mmoja Mtaalamu wa Afya ya akili kwenye mahojiano ya kipindi cha...
  16. Kipimo cha Follicle Stimulating Hormonie kinapatikana wapi Mwanza

    Uzi umeelewa wakuu wa jukwaa. Naomba kujua kipimo hiki cha FSH kinapatikana wapi kwa Mwanza?
  17. Kipimo cha DNA kingekuwepo kipindi cha kuzaliwa Yesu kristo, wangethubutu kusema na kuandika haya waliyoyaandika juu ya zilipotoka ‘chromosome’ 23?

    Binadamu huwa na ‘Chromosome’ 46 katika kila kiini cha seli ya mwili wake, 23 hutoka kwa mama na 23 hutoka kwa baba. Na ukipima kwa kulinganisha na za baba yake na mama yake unaweza kudhibitisha au kukanusha juu ya baba/ mama kuwa ni wake kweli au ni wa kusingiziwa. Sasa je, tungepima za Yesu...
  18. Kinachoendelea Tanesco Mwanza ni kipimo cha Serikali kufeli

    Katika Jiji la Mwanza, Tanesco Nyakato, wananchi wamekuwa wakilalamika kila wanapoenda ili wapate huduma katika Maeneo mbambali kama, kijerishi, Nyamongoro, Kisesa maeneo ya Isen B, Nyakato, Buswelu, National. Baadhi ya Matatizo yaliyopo ni kutowekewa umeme huku nguzo transforma na wire...
  19. Mishahara kuchelewa, kipimo kingine cha uwezo wa Rais Samia

    Leo tarehe 24 mishahara bado haijalipwa. Ieleweke kwamba vitu kama hivi ndivyo vitakavyopima uwezo wa Rais Samia kama anastahili Awamu ya Pili au la. Nachelea kusema kwamba kwa mwezi kama huu (mwisho wa mwaka wa fedha) kufika tarehe 24 mishahara haijalipwa si dalili njema huko tuendako.
  20. W

    Kwanini utendaji kazi wa Raisi unapimwa kwa kipimo cha siku 100 na sivinginevyo?

    Habari wanajukwaa. Imekuwa ni kawaida kwa Kiongozi Mkuu wa nchi hasa nchi zinzotumia title ya Raisi, kama hii ya kwetu, kutumia kigezo cha siku 100 za kwanza za Raisi kuwa Ikulu kufanyiwa tathimi ya utendaji kazi wake. Wachambuzi wa mambo ya siasa, wasomi, wanazuoni na Wananchi wa kawaida...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…