Serikali imetangaza kurejea kwa Ugonjwa wa Kipindupindu nchini humo ikiwa ni ndani ya miezi miwili tangu iliporipotiwa kumalizika kwa maambukizi.
George Jobe, Mkurugenzi Mtendaji wa Mtandao wa Usawa wa Afya, amesema "Matarajio yetu tungepumua kwa muda mrefu zaidi, haswa ikizingatiwa mwaka 2022...
Akizungumzia taarifa za uwepo wa Kipindupindu Mkoani Simiyu, Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Kenan Kihongosi amesema Viongozi wanatakiwa kushirikiana na Jamii katika kutoa elimu kwa Wananchi kuhusu suala la afya na matatizo mengine yanayogusa maisha ya watu.
Amesema “Hatuna kesi ya Watu waliofariki kwa...
Kwa mara ya kwanza kwenye maisha yangu, nimesikia na kuona ugonjwa wa kipindupindu kushamiri wakati au majira haya ya kiangazi.
Hahahahahahahaha, kwanza inachekesha, lakini pia inahuzunisha, kwani watu wanakufa kweli kweli ingawa ni kimya kimya.
Iko hivi sasa, sikilizeni.
Mkoa wa Simiyu, ni...
Ni takriban wiki sasa yale madimbwi yaliyotokana na mafuriko ya mvua za mwaka huu yamesababisha mlipuko wa kipindupindu. Sasa mbona kama inafanywa siri?
Lengo ni kutozua taharuki au nini? Watu hawachukui tahadhari wanaendelea kusafiri. Ni hatari sana.
Mvua kubwa za mafuriko zilizopiga zilisababisha madimbwi mengi ambayo athari zake zimeanza kuonekana kwani Kipindupindu kimeanza mfano katika mikoa ya Pwani ya Kusini kuna dalili za milipuko ya kipindupindu.
Tahadhari ni pamoja na kutokula kula ovyo sio unakutana na mandazi ya baridi unayapiga...
Katika miongo kadhaa mji wa Moshi umejizolea sifa za usafi na ambao uliufanya mji huo kuwa na sifa za kipekee nchini ikiwa ni pamoja na kuongoza kwa usafi.
Hali hiyo imekua tofauti kwa miaka ya hivi karibuni kutokana na mji huo kuendelea kuporomoka katika nafasi za usafi na sasa ikiwa...
AFYA: Nchi za Zimbabwe, Malawi na Msumbiji zinakabiliwa na uhaba wa Chanjo za Kipindupindu huku Ugonjwa huo ukiwa umeathiri takriban Watu 96,000 na kusababisha Vifo zaidi ya 1,600 katika Nchi hizo.
Taarifa ya Madaktari Wasio na Mipaka (DWB) imeeleza kuwa uhaba huo umeathiri zoezi la Chanjo...
Tumekuwa tukiwalalamikia mara kwa mara hawa mamlaka ya maji sengerema kwa kushindwa kutoa huduma stahiki kwa wananchi wao
Mbunge pamoja na wananchi wamepiga kelele weee mpaka wamechoka lakin hawaelewi sasa kama mh wazir upo humu jukwaan jaribu kuimulika uone uozo wa wafanyakazi wa idara yako...
Viongozi wakuu wa SADC wamekutana kwa dharura kujadili Kipindupindu. Ninapenda kufahamu kipindupindu ni agenda ya head of states au ilitakiwa kuwa chini ya wataalam wa Afya?
Kwamba na umaskini wetu ambao ndio chanzo cha kushindwa kukabiliana na maradhi kama haya tunawasha ndege marais wa SADC...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amesema usafi uliopangwa kufanyika hautaathiri maandamano yaliyopangwa kufanywa na Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Januari 24 iwapo watakuwa na kibali cha kufanya hivyo.
Chalamila ametoa kauli hiyo leo, Jumatatu Januari 22, Jijini Dar...
RC, hana mamlaka ya kutoa AMRI kwa JWTZ. Kanuni za jeshi zinamtaka yeye (RC) kufanya maombi kwa fomu maalum kwa Waziri wa Ulinzi ili jeshi lije uraiani. Lakini, kuna masharti, kabla ya kupeleka ombi, ni lazima eneo husika liwe na FUJO (riot) au shughuli hatarishi ambapo jeshi hupelekwa KULINDA...
Abiria wa Treni ya TAZARA iliyotoka Zambia wameshushwa mpakani Tunduma ili Treni ipulizwe dawa ya kuua vimelea vya Ugonjwa wa Kipindupindu.
Mganga Mkuu wa Halmashauri ya Mji Tunduma, Dr. Enock Mwambaraswa amesema hatua hiyo imekuja kutokana na taarifa za kuwepo kwa Ugonjwa wa Kipindupindu...
Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto (UNICEF) limezitahadharisha Nchi za Afrika zinazokabiliwa na Kipindupindu na kueleza kuwa endapo hazitafanikiwa kudhibiti Ugonjwa huo unaweza kusababisha Shule kufungwa.
Dkt. Paul Ngwakum ambaye ni Mshauri wa Afya wa Kikanda wa Shirika hilo katika...
Waziri wa Afya anatangaza uwepo wa Janga la KIPINDUPINDU kama kitu cha kujivunia kama taifa. Leo nimeenda restaurant Mnazi Mmoja nimeghairisha hata Kula kutokana na mazingira machafu kuanzia jikoni, wahudumu na vyooni. Hapo Kuna Afisa Afya kila Kata anapiga daily kuokota maokoto ya kumalizia...
Nyumba za Ibada zimetakiwa kufanyika kwa muda usiozidi Saa 2, agizo linalolenga kupunguza kuenea kwa Ugonjwa 2a Kipindupindu nchini humo
Pia, biashara za Vyakula ambavyo vimeshapikwa tayari kwa kulipwa imepigwa marufuku pamoja na Waumini kutakiwa kutosalimiana kwa kushikana Mikono ili kuepusha...
BUKOBA, Kagera: Watu wanne wamelazwa katika Hospitali ya Wilaya Bukoba Nshambya Manispaa ya Bukoba mkoani Kagera baada ya kuugua ugonjwa wa kipindupindu.
Mkuu wa Wilaya Bukoba, Erasto Sima amesema hadi kufikia January 8, 2024 tayari wamepokea wagonjwa wanne ambao wameonesha viashiria vya...
MKUU wa Mkoa wa Shinyanga, Christina Mndeme amesema watu 18 kati ya 41 ambao walikabiliwa na tatizo la kuhara na kutapika, wamebainika kuwa na ugonjwa wa kipindupindu mkoani humo.
Desemba 28 mwaka Jana, Mkoa wa Shinyanga katika Kata ya Kagongwa wilayani Kahama, kulitokea vifo vya watu watano...
Miji ya Lusaka na Zimbabwe imekumbwa na tatizo la kipindupindu. Mji wa Lusaka watu wanakufa na kipindupindu kama walivyokuwa wanakufa kipindi cha Corona.
Sijui ni mlipuko au ni Uchafu. Wajuzi wa Mambo tuelimisheni
UGONJWA wa Kipindupindu umetajwa kuibuka katika Kata ya Kagongwa, Manispaa ya Kahama mkoani Shinyanga huku ikielezwa kuwa watu watano wametajwa kufariki dunia na wengine watano kuthibitika kuwa na maradhi hayo.
Wakati hali ikiwa hivyo, wakazi 452 wa eneo hilo wamewekwa chini ya uangalizi wa...
Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Dkt. Yahaya Nawanda amezungumzia madai ya uwepo wa mlipuko wa maambukizi ya Kipindupindu katika Wilaya ya Bariadi Mkoani hapo akisema kuwa kilichotokea ni magonjwa ya tumbo na tayari Serikali inachukua hatua kisha akatoa ushauri kwa Wananchi.
Amesema hayo siku chache...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.