Wizara ya Afya nchini Malawi imesema hadi kufikia Agosti 16, 2022 Watu 44 walifariki dunia kutokana na Ugonjwa wa #Kipindupindu huku maambukizi yakifikia watu 1,073.
Licha ya kampeni ya Chanjo ya nchi nzima iliyoanza mwezi Mei bado maambukizi yamezidi kuongezeka kufikia wilaya 10 kutoka nane...
Wanasayansi wanasema mvua katika Mji wa Mariupol inaweza kusababisha mlipuko wa kipindupindu kutokana na Mifumo ya maji kuharibiwa kutokana na mapigano yanayoendelea kati ya Ukraine na Urusi
Meya wa Mji huo, Vadym Boichenko amesema mbali na Mifumo ya Maji kuharibiwa, maji katika baadhi ya...
Uwepo wa miundombinu ya usafi wa mazingira kama vile vyoo unachochea afya kwa sababu vinaruhusu watu kutupa taka zao ipasavyo, kuzuia uchafuzi wa mazingira yao na kupunguza hatari kwao wenyewe na majirani zao. Duniani kote, watu wengi hawana huduma za vyoo, na hivyo kusababisha utupaji usiofaa...
Kipindi hiki cha December kuelekea January, ni kipindi cha msimu wa maembe, matunda ambayo msimu wake huambatana na mlipuko wa ugonjwa wa kipindupindu.
Hata hivyo, kwa miaka karibu mitatu sasa , sijasikia habari ya mlipuko wa kipindupindu katika maeneo yoyote ya nchi yetu kama ilivyokuwa...
Mamlaka Nchini Niger zimesema watu 83 wamefariki dunia kutokana na Ugonjwa wa Kipindupindu ikielezwa zaidi ya Visa 2,300 vimeripotiwa tangu Machi 13
Mikoa sita kati ya nane ya Taifa hilo limeathiriwa na Ugonjwa huo ambao umekithiri zaidi kutokana na mafuriko. Mapema mwezi Agosti, Waziri wa Afya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.