MKUU wa Mkoa wa Shinyanga, Christina Mndeme amesema watu 18 kati ya 41 ambao walikabiliwa na tatizo la kuhara na kutapika, wamebainika kuwa na ugonjwa wa kipindupindu mkoani humo.
Desemba 28 mwaka Jana, Mkoa wa Shinyanga katika Kata ya Kagongwa wilayani Kahama, kulitokea vifo vya watu watano...