JamiiForums , Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), Jukwaa la Katiba (JUKATA), Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Taasisi ya Twaweza na Centre for Strategic Litigation (CSL) wametoa maoni kwenye Miswada ya Sheria ya Uchaguzi na kushauri kusiwe na gharama za kupata Kitambulisho kipya...
Tangazo la kitabu kipya kuhusu taaluma ya Ujasusi. Bei sh 45,000/= (free delivery jijini Dar, mikoani sh 5,000/=). Whatsapp/M-Pesa 0767-340-975
Yaliyomo kitabuni
👉Maana ya ujasusi
👉 Historia ya Ujasusi
👉 Aina za Ujasusi
👉 Ujasusi wa kimtandao
👉Ujasusi kama nyenzo ya diplomasia
👉Ujasusi...
Habari nina kitanda kipya cha chuma kinauzwa
Kipo moshi , na pia kuna BED SOFA MPYA , valvet , BED BOX , PALLET BED KAMA ZOTE.........OFISI ZETU ZIPO MOSHI......
MAWASILIANO NI. 0672701329
Ndani ya shamrashamra za kazi bora zaidi kuwahi kutokea duniani nakutana na santuri hii iliyorejesha matumaini kwa Walimu.
Twende tuendavyo Mwalimu anabaki kuwa Mwalimu. Mother of all professionals.
Wanajamvi kwema.....
Nachelea kusema katika siasa hakuna jambo linaloweza kutokea bila lengo. Mambo yote katika siasa hubuniwa na wabobezi, hupangwa, huchakatwa na hatimae hutekelezwa na wataalamu kwa umahiri, umakini na weledi wa viwango ili kusudi kuyafikia malengo yaliyowekwa kwa uhakika na...
Naona kuna umuhimu wa kuanzisha chama kipya cha kisiasa, hivi kuna ugumu gani? Au wasajili watatuzuia, au watapoteza kwa kutumia wasiojulikana!
Najiuliza tu, kuna watu hapa Tanzania hawana hata kwa kwenda, kama Dr. Slaa, amekataliwa CHADEMA, amekataliwa CCM, na anapenda kuendelea na siasa.
Au...
🔰 𝗨𝗩𝗖𝗖𝗠 𝗞𝗜𝗨𝗧
🗓️ 𝗔𝗚𝗢𝗦𝗧𝗜 31, 2023
FAHAMU KUHUSIANA NA TEUZI YA NAIBU WAZIRI MKUU KIKATIBA IMEKAAJE?
Reuben Paul Mboje, Mwanasheria-UVCCM KIUT
Tarehe 30/08/2023 watu wanashangazwa kuona barua kutoka kwa Katibu Mkuu Kiongozi inayohusu uteuzi na kuhamishwa kwa mawaziri katika nafasi walizokuwa...
Iko hivi, vikao vya chama mambo yamekuwa magumu, wanachama hawaaminiani, hadi kwenye jimbo langu, Mwenyekiti wangu yupo mguu ndani mguu nje, helewi nini kinandelea.
Anasema hiki sio chama alichokuwa anakijua na kukipigania. Influence imeshuka, watu hawaelewi, sijui campaign mambo yatakuwaje...
Watani, Ndoa ya CHADEMA na Dkt Slaa inaelekea mwisho, Slaa anaelekea chama kipya.
Walijaridu kuforce bond kwenye mkutano wa Temeke, picha halisi ilionesha chemistry kati ya Dkt Slaa na CHADEMA haikubali, ndio maana Slaa toka mkutano wa Temeke ameachwa rasmi kutumika kwenye mikutano ya CHADEMA...
KITABU KIPYA: SAL DAVIS AN AUTOBIOGRAPHY
Ndugu zangu kitabu cha maisha ya Sal Davis leo kimechapwa na Amazon kama mnavyoona hapo chini.
Kitabu kilichukua muda kwani si kazi nyepesi kumkalisha Sal kitako mahali pamoja kwa muda mrefu labda awe kakaa Barzani.
Kitabu hiki tulikimaliza Nyali...
Labda ningependa kuwatafakarisha watanzania wenzangu kwa jambo hili.
Hivi tunaweza kutoza shilingi ngapi ili kuruhusu mtu kuzidisha mwendo kasi kwenye barabara za makazi ya watu? Au kumruhusu mtu kukata viungo vya albino? Au kufanya uwindaji haramu kwenye mbuga na bahari?
Ninacho jaribu kusema...
NATAMANI KUWAOMBA MSAMAHA KINA CHIEF MANGUNGO
____________________
Kuna nyakati huwa Natamani Sisi Watanzania Kuwaomba Msamaha mababu zetu akiwemo Chief Mangungo kwa KUWACHEKA na Kuwa na HASIRA nao kwa kuingia Mkataba wa Ulaghai na Dr. Carl Peters wa Ujerumani ambao ndio uliidhinisha mwanzo wa...
Zumaridi anawafundisha watoto kwamba yeye ni mungu, yeye ndie msaada na ndie anayewakinga na mauti, anasema yeye ni mtawala wa dunia mzima na anayetawala vitu vyote vya duniani na mbinguni tena wake kuna uzima wa milele.
Halafu anawaambia watoto leo atawapikia tena wali😎😎😎
Inatisha...
Huwa nashangaaga sana mtu kapigwa vizinga ama kazungushwa sana halafu siku ya siku dem kaamua au kabananishwa kutoa mzigo, Mtu anajisifia nimekamua sana nimemkomoa, hivi upo serious kabisa mwanamke alieanza mapenzi tangu kavunja ungo umekutana nae akiwa kwenye 20's unaweza kumkomoa kwa game ...
KITABU KINGINE CHA SHEIKH PONDA KIMEZINDULIWA: WALIOPOTEZWA TANZANIA.
Katika kipindi cha miaka mitatu nimekuwa nikipokea vitabu kutoka kwa waandishi wakiniomba nifanye pitio yaani, "book review," kwa nia ya kuvitambulisha vitabu hivi kwa wasomaji na wananchi kwa jumla.
Kitu kinachojitokeza kwa...
Nilikuwa nasikiliza clip ya ya mwaka jana (Jul) ya Afisa mafao wa mkoa wa Mwanza (James Oigo)
akielezea ukokotoaji mpya wa mafao ya mstaafu na pension (33%).
Akatolea mfano kwa Mstaafu aliyekuwa na mshara wa shs milioni mbili (2000,000) kwa mwezi; Akasema ataishia kulipwa shs Milioni 30...
Wasalam wana ndugu TZ ni ngumu lakini yabid tupambane nayo maana ndiyo nchi yetu pendwa.
Leo nimekuja kwenu bila ihana pia sikatai kukosolewa maan sijui kila kitu ila nakuja kwa jambo na hoja ya msing ya mifuko ya jamii kama PSSF na NSSF.
Jamani serikali tunaomba mzingatie mambo kwenye kulipa...
Nauli ya kuja Blantyre au Lilongwe nchini Malawi hata Masikini GENTAMYCINE anaweza Kujichanganya na akaja kisha tuendeleze Mipango yetu na Majungu ya 2025 na ile Kabambe ya 2030.
Sasa nakutupa Jijini Havana nchini Cuba ( ambako ni mbali Kijiografia ) ili tuone kama Wanafiki Wenzako wa Chama Cha...
WANACHAMA WA CHAMA KIPYA CHA SIASA WAMEKUJA KUHAKIKIWA NA MSAJILI WA VYAMA ARNAUTOGLO HALL 1993
Asubuhi na mapema tulikuwa tumeshafika Ukumbi wa Arnautoglo tumekuja kuhakikiwa kwa ajili ya chama chetu kipya cha siasa.
Ukumbi huu una historia kubwa sana katika siasa za kudai uhuru wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.