UTANGULIZI
TAFADHALI NAOMBA NISIRUSHIWE MADONGO,MIMI NI MJUMBE TU.HATA HIVYO NIKIRI KWAMBA HILI WAZO NIMELIPENDA, INGAWA MIMI NI MWANA CCM.
NIKIRI KWAMBA BAADA YA MIAKA 61 YA UHURU, BADO CCM INATUPIGISHA WATANZANIA MAKIDA MAKIDA.
KWA BAHATI NZURI MAGUFULI ALIBADILI SYSTEM YA UONGOZI TANZANIA...
Ahlan wa Sahlan
Katika kuperuzi mtandaoni nimekutana na habari zinazotrend zinazomuhusu mwanamuziki Harmonize aka Bakhresa kuwa anapigana juu chini ili aweze kurudiana na muigizaji Kajala.
Kwa haraka haraka mtu anaweza kusema kuwa Harmonize anatafuta kiki ili atrend mitandaoni ila kwa jicho la...
Wakati wa late Presida JPM ilionekana kuwepo tabia ya kusifu, kuabudu nk na baadhi ilionekana wanafanya kwa hofu au kujipendekeza kwa mkulu.
Pamoja na madudu yaliyotokea pale TBC, ndugu Ryoba anaendelea kupigwa mawe kwa kuonekana alikuwa akiendesha kipindi kumsifia mbendembende late JPM...
Wataalamu kutoka Chuo Kikuu cha Oxford nchini Uingereza wamegundua virusi vipya vya Ukimwi wanavyoita ‘VB variant’.
Wanasema virusi hivyo ni hatari zaidi ikilinganishwa na vile vilivyokuwepo katika sehemu tofauti duniani tangu miaka ya themanini na vimekuwapo nchini Uholanzi kwa muda mrefu...
Nchi ya Rwanda imefanikiwa kupata chanzo kipya cha umeme kupitia gesi ya methane iliyoko ziwa kivu ziwa lililobatizwa jina la utani la killer lake
mpaka sasa inakadiliwa kuwa chanzo hicho kipya cha umeme kitaweza kuchangia hadi 30% ya matumizi ya umeme wa nchi nzima
Nimeikuta hii habari kwenye ukurasa wa Millard Ayo. Kirusi hicho ni hatari zaidi ya kile cha mwanzo.
Kinashambulia kinga za mwili mara mbili zaidi ya kile cha awali. Mpaka sasa hakuna dawa wala chanjo ya hicho kirusi.
Corona inasuasua, hapa tusipokuwa makini tutapatikana.
===
Wakati dunia...
Kwanz kabisa napenda kuwasalimu kwa jina la alietuumba, ambae ni muweza wa visivyowezwa. Ama baada ya salam napenda nijielekeze katika mada yangu ili kila mwenye uwezo thabiti wa kuchangia aweze kuchangia.
Mada hii ni nzito na inawafaa zaidi wale ambao akili zao zipo huru, hazijafungwa wala...
Kwa speed hii wanayokwenda nayo, nashawishika kuamini kuwa Bado siku chache sana tutajua nani Yuko nyuma ya kile chama kipya.....
Wenye chama Chao watajitokeza mapema tu, hakika vita vya panzi furaha kwa kunguru. Wacha wararuane....
Tafiti zimeonyesha kua chanjo ya J&J na chanjo ya China, Sinopharm hazina uwezo wa kumkinga mtu pale atakapopatwa na kirusi kipya cha corona cha omicron.
Utafiti umeonyesha kwamba chanjo hizo hazina uwezo wa kutoa kinga yoyote kwa mgonjwa wa omicron.
Kwa sasa kama umechanja hizo chanjo ni...
Wanajamvi
Kuna huu ugonjwa ( kirusi kipya ), ambao unasambaa kwa kasi sana Tanzania
Dalili zake ni zipi.? kama ushawahi kupata
Mimi najisikia uchovu sana, kuanzia kichwani mpaka mguuni
Je wewe kama umeumwa, unajisikiaje.? Na kama umepona umetumia dawa gani.?
Naanza uzi huu kufuatia maelezo ya wale waliofuatia kesi hii kwa karibu kwamba wamejifunza/gundua mengi ambayo hawakuwa hapo mwanzo wanayajua.
Sasa ili kuwafirikisha wale wasioifuatia, au waliokuwa na gape ya kufuatia, tupe uliloligundua kwa sharti ueleze shahidi nani alilisema, hoji hilo. Hii...
Ni nani yuko nyuma ya Chama hiki kipya Cha Siasa cha 21 Tanzania.
Bahati mbaya sana wanaoanzisha vyama hivi wanashindwa kabla ya kuanza.
Ukweli ni kwamba CCM hakuna wakuitoa kwa sasa kwa mamna ilivyo na sera na dira zinazoeleweka.
CCM ni chama zao la kutafuta maendeleo na haki ya kila...
Hadi pale kirusi cha Corona kitakapo tokomezwa inafahamika kuwa zitakuja variants hatari zaidi za kirusi hiki.
"Dhana kamili ya kuwa hakuna aliye salama hadi sote tuwe salama."
"Omicron" ndiyo iliyo variant mpya zaidi ikitokea Afrika Kusini.
Nchi kadhaa duniani zinachukua tahadhari kukizuia...
Katika viongozi wachache tuliyobaki nao katika kujenga hoja na kuwa mkweli ni Jenerali Ulimwengu.
Hotuba nyingi za mwanasiasa huyo inanikumbusha jinsi Mwalimu Nyerere alivyokuwa akitoa hoja.
Hongera sana Mheshimiwa Jenerali Ulimwengu na watanzania tutaendelea kusikia na kupokea ushauri wako...
Kwa hakika tangu kesi nzito hii kwa jina imeanza, ushahidi wa kuendana nayo umeshindikana kutolewa.
Bila shaka kwa upande wa mashtaka, ushahidi wa Luteni Urio ulikuwa ndiyo wa muhimu zaidi.
Lakini kama ni hawa kina Mahita, Kaaya, Wauza mbege, Kingai au yule jamaa wa Tigo, labda ilikuwa muda...
MWANAMKE MWANAMAPINDUZI
Hiki ni kitabu kinachohusu maisha ya Biubwa Amour Zahor kilichoandikwa na Zuhura Yunus.
Kitabu hiki kinahusu maisha yake Bi. Ubwa akiwa msichana mdogKio wa Kiarabu katika mapinduzi ya Zanzibar ya mwaka wa 1964.
Nilipoanza kukisoma kitabu ghafla ikanijia filamu fupi...
Disclaimer (Andiko hili ni kutoka clickhabari.com)
Imebaki miaka minne kuelekea Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025 nchini Tanzania. Chama kipya cha siasa kilijulikano kama Umoja Party (UP) kimeibuka kuomba usajili wa muda. Chama hicho tayari kimewasilisha maombi ya usajili wa muda ili kuanza kutafuta...
Imebidi kujiridhisha mambo kadhaa kwanza:
Amesikika shahidi #5 kwenye kesi hii akijitambulisha kama Fred Kapala (lawyer), japo TLS anasomeka kama Fred Kapara:
Ikumbukwe Fred Kapara aliwahi ibuka pia kwenye case almaarufu ya kujiteka kwake bwana Abdul Nondo. Huko pia bwana huyu alikuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.