kipya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Uhakiki wa Wanachama Chama Kipya Cha Siasa 1993

    WANACHAMA WA CHAMA KIPYA CHA SIASA WAMEKUJA KUHAKIKIWA NA MSAJILI WA VYAMA ARNAUTOGLO HALL 1993 Asubuhi na mapema tulikuwa tumeshafika Ukumbi wa Arnautoglo tumekuja kuhakikiwa kwa ajili ya chama chetu kipya cha siasa. Ukumbi huu una historia kubwa sana katika siasa za kudai uhuru wa...
  2. Kipindi cha kuvunja taa ya V8 na kukimbia sasa kimepitwa na wakati, kijana anatengeneza taa kwa pesa ya supu Tabata

    Mabibi na mabwana, kile kipindi cha kuvunja taa ya V8 na kukimbia eneo la ajali sasa kimepitwa na wakati, kwa sasa ukivunja taa ya V8 wewe simama ongea tu na mwenye gari kisha mpeleke Tabata Sanene kwenye kiwanda cha kutengeneza taa, badala ya kutumia milioni 4 kununua taa moja, sasa utatumia...
  3. Tundu Lissu, Sisi wastaafu tunalia na kikokotoo kipya!! Tukumbuke kwenye hoja zako 2023 ndo hii imefika

  4. P

    Muonekano wa kituo kipya cha daladala cha Kinyerezi

    #mamayukokazini #mamaanafanikisha #kaziiendelee
  5. TANZIA Msanii Wa Muziki Wa Kizazi Kipya Hamis Juma Mbizo (H Mbizo) Afariki Dunia

    Msanii wa muziki wa kizazi kipya aliyewahi kutamba na ngoma yake ya Nilonge Nisilonge miaka kadhaa iliyopita, Hamis Juma Mbizo (H Mbizo) amefariki dunia. Msiba wa H- Mbizo umetokea katika hospital ya mkoa wa Morogoro alipolazwa kwa wiki mbili kufuatia matatizo ya mgongo. Mdau mkubwa wa sanaa...
  6. Biashara gani nifanye karibu na Kituo kipya cha Polisi?

    Shalom, December 2022 nilienda likizo nyumbani, nimefika nimekuta wamejenga kituo kipya na kikubwa Cha Polisi. SI mbali na makazi yetu ya asili, nikawaza namna ambavyo naweza kuanzisha biashara Ili kutoa huduma huku nikijiongezea kipato. Nimekuja mbele yenu mnisaidie mawazo, kutokana na...
  7. B

    Orodha ya Wasanii Bora wa Muziki wa Kizazi Kipya mwaka 2022

    1. Harmonize 2. Alikiba 3. Marioo 4. Mboso 5. Diamond 6. Nandy 7. Ney wa Mitego 8. Maarifa 9. Rayvanny 10. Zuchu
  8. Mambo ya kuzingatia unapotaka kuwa nabii wa kizazi kipya

    Ninaposema nabii wa kizazi kipya namaanisha nabii ambaye amekuja kwa lengo lake mwenyewe, yaani hajatumwa. Sasa nini unatakiwa uwe navyo ili usichokwe haraka? 1. Sauti ngumu. 2. Kuwa mbunifu wa kutafuta majina mazuri ya ibada. Kila wiki unaleta jina jipya, mara ibada ya ukombozi, ibada ya...
  9. Kitengo kipya cha majanga ajali kushughulika katika kuokoa maisha ya watu

    Wizara ya Afya imeendelea kuboresha mikakati ya kuokoa maisha ya watu kutokana na majanga na ajali kwa kuanzisha Kitengo mahsusi kitakachoshughulika na kuokoa maisha ya watu kutokana na ajali. Hayo yamesemwa na Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu leo akiwa katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa...
  10. K

    Cheo kipya cha Muundo walimu wenye MASTERS

    Wanagenzi ni kweli kwamba kuna cheo kipya cha muundo kwa waalimu wenye masters degree.
  11. Kiwanda kipya cha kuunganisha magari Kimefanikiwa kutoa ajira mpya 3000

    Ni huko nchini india, ni kwa kupitia makubaliano maalum ya kugawana teknolojia na kampuni ya Leyland ya Uingereza, makubaliano kama haya yamekuwa yakofanyika na kampuni ya Hyundai ya Korea kusini. Video chini inaonyesha zoezi la kuunganisha magari. ========================
  12. J

    SoC02 Chanzo kipya cha ajira kwa vijana

    UTANGULIZI "Ajira kwa vijana" umekuwa ni wimbo wa Kila siku ambao watu kama wanasiasa na viongozi wengi wa serikali na wasio wa serikali(NGOs) wamekuwa wakiuimba Kila siku na mara nyingine viongozi wa kisiasa wamekuwa wakiuimba kama njia Yao nzuri ya kuwahadaa vijana na wazazi wa vijana hao Ili...
  13. Kitabu kipya: ''Juhudi na Changamoto'' - kalamu ya Sheikh Ponda Issa Ponda

    KITABU KIPYA "JUHUDI NA CHANGAMOTO" KALAMU YA SHEIKH PONDA ISSA PONDA Sheikh Ponda Issa Ponda ameandika kitabu. Mwaka ni 1998 niko ndani ya basi la Raha Leo natokea Tanga. Karibu Maghrib inaingia basi linakaribia Msikiti wa Mwembechai. Msikiti huu ulivamiwa na askari wakakata umeme wakaingia...
  14. Ulaya wasifia uchaguzi wa Kenya na kusema umeweka kiwango kipya Afrika

    Vyombo vyote vya habari vina takwimu za matokeo kituo kwa kituo, data zipo kote, kila mmoja yupo huru kukotoa na kuibua popote penye tashwishi au kasoro, binafsi sikumchagua Ruto, sikumpa kura yangu ila nimependa namna uchaguzi uliendeshwa kwa njia za wazi kabisa, Afrika haijatokea uchaguzi...
  15. M

    KWELI Seif Maalim Seif ndiye mwanzilishi wa Umoja Party (UP)

    Chama cha siasa kilijulikano kama Umoja Party (UP) kimeomba usajili wa muda. Chama hicho tayari kimewasilisha maombi ya usajili wa muda ili kuanza kutafuta wadhamini kwa lengo la kupata usajili wa kudumu. Maswali yalikuwa mengi kuhusu nani hasa mwanzilishi wa chama hicho.
  16. M

    SI KWELI Mgonjwa wa Omicron aripotiwa Tanzania, alazwa Hospitali ya Amana

    Wakati Rais Samia akimpolea Rais wa uganda Yoweri Mseveni uwanja wa ndege jijini Dar kuna taharuki ya kuwepo mgonjwa wa kwanza wa kirusi kipya kilichogunduliwa Afrika ya Kusini siku tatu zilizopita. Mgonjwa huyo Mzungu Rais wa Botwana aliyedaiwa kuingia nchini kutokea mjini Johannesburg Afrika...
  17. Kirusi kipya kinachosambazwa na mbu kinaweza kusababisha kiharusi na kifo

    Kirusi kipya "West Nile" virus kimeripotiwa huko Oklahoma ambapo visa 10 vimeripotiwa CDC, hali hii imetia hofu hasa kutokana na kuongezeka kwa ama kipindi hiki cha majira ya joto My take: Kuibuka kwa magonjwa mapya duniani kunashiria hatari zaidi ========= US health officials brace for...
  18. Kiundwe chama kipya kuwakomboa watanzania kiuchumi na kisiasa. Vilivyopo havina nia thabiti. CCM na wapinzani wanacollude kuwahadaa Watanzania

    Haiwezekani hali ilivyongumu alafu watu wanachukulia mzaa maisha ya watanzania. Taifa lina rasilimali lukuki lakini umaskini umetamalaki kila kona ya Tanzania. Watu wanaishi maisha ya kubangaiza kula kwa tabu, kuvaa kwa tabu hata kulala kwa tabu. Leo hii ni siasa za unafiki zinaendelea tu na...
  19. Je, Chama kipya cha Umoja Party kinaratibu upandaji bei wa Mafuta?

    Salaam Wakuu, Chama kipya cha Siasa kinachoitwa Umoja Party, inasemekana ni chama kinachofuata, Uongozi wa Hayati Magufuli. Inasemekana Vigogo wengi wa CCM wapo nyuma ya hiki chama. Wafuasi wengi wa Umoja Party wanadai Rais Samia hafanyi kazi kama Magufuli, na Watu Magufuli aliowaamin kama...
  20. Ivi azamtv offer ya kisimbuzi kipya ipo?

    Mambo vipi wakuu, nahitaji kujua kitu. Ivi ile offer ulikua ukinunua kisimbuzi kipya unapewa mwezi mzima bure amna ama?, Nauliza ivyo maana nimenunua kipya leo kuwasha naona free local chanel Cha antena 99k
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…