kiroho

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Picha: Sababu za kiroho kwa nini Simba wanaogopa kupeleka timu uwanjani

    " Wajomba zangu nisiwafiche, Kwa Yanga hii Simba hamchomoki"
  2. Nguvu ya kiroho ya maji ya kisima kisichokauka

    Habari wakuu Naamini wengi mnavijua visima ambavyo miaka mingi havikaukiwi maji . Maji hayo yana nguvu kiroho endapo yatatumiwa ipasavyo, Kiimani inaaminika maji haya mtu akiyaoga kwa kunuia au kumwaga eneo la kazi, basi jambo lake halitakauka kama maji hayo yasivyokauka ktk kisima hicho...
  3. Kwenye dini kila kitu kinafanya kazi katika ulimwengu wa kiroho, Lakini likija suala la pesa 💵 hilo ni la kimwili.

    Kwenye imani za kidini utaambiwa maisha yako si ya kimwili ni ya kiroho. Lakini likija suala la pesa hilo ni la kimwili na wala halina mjadala kuhusu kutoa hela..😂 Kama maisha yako ni ya kiroho, Kwa nini utoe fedha kimwili? Kama maisha yako ni ya kiroho, Hata hela na sadaka inabidi zitolewe...
  4. Kila mtu ana aura. Aura ni kiputo cha mwanga wa kiroho, sauti na hisia ambayo inamzunguka kila mtu

    kila mtu ana aura. Aura ni kiputo cha mwanga wa kiroho, sauti na hisia ambayo inamzunguka kila mtu. ✍️ Kupitia mbinu rahisi na mazoezi, unaweza jifunze kufahamu zaidi aura zako na za watu wengine. ✍️ Kwahiyo kadri unapopata mwamko wako wa kiroho basi utauona huu ulimwengu ni mpya kwako...
  5. Natamani shuleni tungekuwa tunafundishwa teknolojia ya nguvu za giza na kiroho

    Habari yenu ndugu na jamaa zangu ! Kwanza ninge elezea kuwa hiki nilicho andika hapa sio hadithi ya kufikirika bali ni mambo halisi yaliyopo mitaani na kwenye yetu. Kwanza nianze na historia Fupi ya maisha yangu shuleni. Nisingependa kutaja jina langu ,ila kwa ufupi nilianza shule ya msingi...
  6. M

    Kama haupo vizuri kiroho ni ngumu ku-run biashara kubwa

    Wakuu ulimwengu wa biashara upo kiroho zaidi Ukiachana na kuwa smart kichwani Ila inabidi uwe vizuri kiroho. Nimefanya biashara kubwa nimejionea hili swala. Don't hustle in vain nigga Pray pray pray.
  7. Tundu Lissu aongezewe ulinzi wa kiroho, ni mbeba ajenda za Taifa letu pendwa la Tanzania

    Poleni na hongereni na kutafuta mkate wa kila siku. Leo Tundu Lisu ameuthibitishia uma wa Watanzania na Dunia kwa ujumla kuwa yeye yupo serious katika kuleta ukombozi wa mara ya pili dhidi ya utawala wa CCM na serikali yake , ambae ni mkoloni mweusi. Ninaomba watanzania wote wenye moyo wa...
  8. Punyeto au kujichua na madhara kiroho

    Hello jamiiforum. Hope mko salama Happy birthday to me , Nimezaliwa tarehe 2 Mwezi wa pili Miaka mingi iliyopita. Hivyo ni kumbukizi nzuri kwangu Leo tuone madhara ya punyeto kiroho si kimwili, ipo hivi punyeto au kujichua ni hali ya kujisisimua kwa kuvuta picha ya mtu fulani anatevutia...
  9. Tiba ya maziwa kiroho

    Hellow wakuu mpo? Hakuna asiyeyafahamu maziwa, kila mtu anayajua maziwa ni lishe muhimu kwa binadamu sababu yana virutibisho vyote muhimu. Yanaponya maradhi mbali mbali na kuua sumu yeyote mwilini. Je wajua maziwa fresh yanaweza kutatua changamoto mbali mbali za kimaisha ikiwemo kusafisha...
  10. T

    Goodluck Gozbert kiroho yupo sahihi kuchoma gari soma hii.. 1Sam15-20

    Ndugu zangu shetani hajalala shetani anafanya kazi mpaka sasa. Kuna watu hawajuwi vile shetani anafanya kazi ila kwa wale tuna soma Biblia shetani sio kiumbe mzuri. Shetani ktk hii dunia ya leo anafanya kazi kwa namna ukijuwa unaweza kuogopa watu,zawadi,maneno,vyakula, macho ya watu nk. Ndugu...
  11. Kuna uhusiano gani wa sadaka ya damu na familia yako kiroho?

    Kumesikika stori nyingi kuwa unapoenda kwa mtalaam na unapotoa kuku/mbuzi/ng'ombe etc kama sadaka pale unapotaka mafanikio ya jambo fulani kinachofatia kiroho ni wewe kukabidhi familia yako katika mikono ya giza, yani hatma ya utimamu au uzima wa mke au wanao unanaweza kuwa affected na zile...
  12. Hii picha katika ulimwengu wa kiroho ina maana gani?

  13. Fahamu matokeo ya meditation

    Changamoto kubwa ya wengi si kushindwa kufanya meditation, bali ni kitopata matokeo ya nia zao za kumeditate. Mabingwa wa meditation kila wakati wanasisitiza faida zitokanazo na meditation, lakini sijaona hata mmoja akitaja hasara na kutoa suruhu kwa wanaofanya hivyo bila kuona mabadiliko...
  14. Namuona Mwamposa nyuma ya anguko la kiroho la Mch. Moses Magembe na Ustaz Mazinge

    Kuna mambo hapa duniani huwezi kuyaelewa mpaka Likud akueleweshe. Nianze kwa ku declare interest. Am neither a Christian nor a Muslim. Mimi sio Mkristu wala si muislamu. Ingawa nimezaliwa sio tu kwenye familia ya kiislamu bali natoka kwenye kabila ambalo asilimia 99.9 ni waislamu. So...
  15. Vifo vya wagombea urais mwaka 2015 (Magufuli, Lowassa na Anna Mghwira) vinatoa tafsiri gani katika ulimwengu wa kiroho?

    Mwaka 2015 nature au universe ilizungumza na watu na watu wakazungumza na nature . Nature ilihitaji mabadiliko kupitia Kwa viongozi waadilifu na ambao wapo tayari kuongoza nchi. Walichokosea Ccm, Chadema na Act ni kushindwa kutap na universe ili kupata matokeo chanya. Magufuli - huyu nature...
  16. Familia Takatifu: Mtindo wa Kiroho wa Kimungu katika Janga la Kivunjiko cha Familia za Kisasa na Mfano wa Maisha ya Kimungu Katika uhalisia

    👉🏾Katika ulimwengu wa leo, ambapo familia nyingi zinapitia majaribu makubwa ya kijamii na kiuchumi, ni vigumu kuzipata familia zinazoonyesha umoja, upendo, na utakatifu wa kweli. Hata hivyo, Familia Takatifu Yesu, Maria, na Yosefu ,inaendelea kuwa kivuli cha matumaini, ikitufundisha kuwa familia...
  17. KIROHO, Mbowe sio mwenyekiti hata akishinda hivyo kama yupo na Baba wake wa kiroho amsaidie kumpatia haya mafunuo.

    Kikawaida kinachomweka MTU madarakani au kumpa kibali huwa ni nature . Na nature huwa inazungumza na watu Kwa majira tofauti , tofauti. Hivyo nature ilimchagua Lissu na kumpitisha kuwa Mwenyekiti. Endapo atalazimisha Kwa kuikataa sauti ya ndani , sio utawala wale utakumbwa na misukosuko bado...
  18. Hizi ndo Sababu za kiroho kwanini Beatrice Mwaipaja hatofanikiwa na ataendelea kuwa chini zaidi

    Habari wakuu . Kwanza pole Sana Beatrice Mwaipaja na pole Sana Martha Mwaipaja . Naanza hivi Martha Mwaipaja , she was no body hakuwa chochote na ameishi maisha ya kawaida Sana muda mrefu . Ila ameanza kufanikiwa baada ya yeye kuanza kupenda mafanikio ya wenzake Kama Diamond n.k Na kuujua...
  19. Mbowe ni kiongozi mzuri ila kiroho ameshakataliwa na akilazimisha kutaka kuwa Mwenyeketi itamletea madhara hasi.

    Kwanza hongera Sana Mh Mbowe Pia hongera Kwa uongozi wako wa miaka 20 Kama mwenyekiti wa chadema na miaka 15 Kama Mbunge. Swala la wewe kuwa mwenyekiti wa hicho chama hautaweza na ukilazimisha itakuletea madhara hasi. Yapi madhara hasi yatatokea Utakosa nguvu Utakosa Sauti ya kusikika...
  20. Yoda na Infropreneuer njoeni hapa niwaelekeze kitu kuhusu upingaji wenu wa ulimwengu wa kiroho

    Yoda Infropreneur Kwanza Infropreneur unapokuwa unafanya debate au open dialogue usipende kuweka hisia mbele, weka intuition mbele, maana una bwaja bwaja sana. Ni kweli seeing is believing kwamba mnahitaji uhakika wa shetani physically, Mungu physically na uchawi physically ndio kweli muamini...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…