Tukianza na Kiboko ya Wachawi ufafanuzi wake ni kuwa Serikali haijakosea kufunga huduma bali mafundisho yake hayana staha
Kosa lake kubwa ni kutumia mgongo wa Shetani kwa lengo la kujipatia fedha badala ya kufundisha habari za Mungu
Kutumia mgongo wa Shetani kwa maana ya kuzungumzia machafu ya...
Hawa manabii waliozuka na kujaa kama nzige wanajipatia waumini wa kuwapa utajiri.
Hao wasomi, waislamu na wanasiasa wanawapinga ovyo mtandaoni lakini pembeni utakuta wananunua maji, chumvi, mchanga na mafuta ya upako.
Hapa mtandaoni jamii forums sijawahi kuona mtu akisema wazi kama ni mfuasi wa...
Words are instrument of creation. Maneno yanaumba.
Kwa muda wa miaka minne mashabiki wa Yanga wamekuwa wakisema " Chama kasajiliwa Yanga, Chama kasajiliwa Yanga"
Hatimaye Chama kasajiliwa Yanga kweli.
Kwa miaka yote hiyo wakati mashabiki wa Yanga wakisema " Chama kasajiliwa Yanga" hawakuwa...
NGUVU ZA ULIMWENGU.
Nguvu za full moon.
Full moon ya mwezi June itakuwa kuanzia tar 22 Hadi 24 .
Mambo ya kufanya .
👉Kuachilia.
Kuachilia ni sehemu ya kujiponya mwenyewe na kutua mizigo na mahangaiko ambayo yameweza kukusumbua kwa muda mrefu .
Waweza achilia roho ya madeni,roho ya kuchukiwa...
Kitabu kinaitwa TOBA na kimeandikwa na Mai Godrey.
Ni kitabu chenye sala za TOBA za aina nyingi ambazo ukizisali kwa Imani na utulivu unatengeneza ukaribu na Mungu wako.
Kuna wakati nilipitia changamoto nzito na nikachagua moja ya sala za TOBA kwa siku 21 nikawa naamka saa 8 usiku na pia...
1.Nataka Nisaidiwe Kuamsha/Kuzindua Kundalini Gharama Shilingi NGAPI?
🗣️JIBU;- Kuamsha Kundalini Hakuna Atakae kusaidia Si mchawi wala mganga Wala mtabiri Wa Nyota, Hakuna Dawa wala Pete ya kuvaa Itakayo Kusaidia Kuamsha Kundalini.
✍️Hii Ni Nguvu Yako mwenyewe Ipo Ndani YAKO, Mwenye Jukumu La...
Mambo au Tabia Zinazofanya Kufifisha au Kudhoofisha Malango Yako/Nishati ya Ndani
1. 😞😞 Uzinzi au Ngono Hulela
Ni vyema kuwa na mke/mume au mtu mmoja kwa nia ya mahusiano na sio kutangatanga. Mara leo uko huku, kesho kule, hapo utavaa karma nyingi ambazo hazikuhusu. Sio kila umuonae anakufaa...
Mafundisho mapya ya kanisa kuhusu "matukio ya kimuujiza" yatatangazwa kwenye mkutano na waandishi wa habari utakaofanyika na Vatican siku ya Ijumaa. Taarifa hii imechapishwa kwenye tovuti ya Ofisi ya Vyombo vya Habari ya Holy See, na ndio sababu baadhi ya machapisho yameripoti kimakosa kuwa...
Shalom,
Dunia ni darasa lefu na linamaudhui yasiyo na mwisho. Pamoja na muonekano wangu wa kipedejee, na vipesa vya kawaida vya kujimudu .
Sifa yangu kuu ni Ubahili wenye logic sana, sambamba na hilo pesa yangu inatoka kwa sababu maalumu naogopa sana kuishiwa au kuwa mufilisi.
Sasa basi...
Jina la ukoo lina nguvu sana. Jina la ukoo Sio jina kama unavyoliona. Ni damu ya uzao.
Hata kama umezaa na mtu na ukabadilisha jina la mtoto kisa baba yake HATOI matumizi au kisa umehangaika na MIMBA pekeako. Kumbuka damu ya mtoto NDIO imelala na jina hilo.
Vyote vinavyohusiana na mtoto huyo...
Kuna muda napata ideas fulani akilini na moyoni mwangu kuwa nifanye na muda huo huo akili inasema ukiifanya hii inaweza badili maisha yako, lakini napo taka kuanza kuifanyia kazi, nashidwa kuendelea na roho nyingine nyuma Ina nambia muda Bado utafanya tu baada ya miezi kadhaa,Kisha na cease na...
📣📣📣📣📣📣📣📣📣📣
HASARA ZA KUPIGA PUNYETO KIROHO
🗣️Amani kwenu wakuu. Leo tutaongelea hatari inayomkabili mpiga punyeto kiroho. Ni ukweli usiopingika kwamba asilimia kubwa ya vijana na wazazi wa kileo wamejiingiza kwa nguvu kwenye utamaduni huu mchafu na hatari. Kwa nini nasema ni hatari...
Ijumaa hii ya 29/03, Simba anacheza na Al Ahly ya Misri katika mechi ya kwanza ya robo fainali ya CAFCL. Ijumaa hiyo hiyo ni mwanzo wa maadhimisho ya kufa na kufufuka kwa Yesu Kristo. Kuna mfanano mkubwa kati ya sikukuu ya Wayahudi inayoitwa Passover na sikukuu ya Wakristo ya Pasaka. Sitaenda...
Karibu hapa askofu Josephat gwajima! Heri konzi Moja pamoja na furaha ! Kuliko konzi mbili pamoja na huzuni ,nakuuliza askofu wangu ndugu Josephat kwamba hulioni anguko lako Bado najua Unafahamu thamani na heshima ya kuhani wa mungu ! Mimi nauliza tu Bado tuendelee kuiamini mikono yako...
Wiki iliyopita Baba mkubwa wangu alifariki, Siku mbili zijazo kuna msiba wa jirani nyumba zetu pua na mdomo, ghafla tena kuna msiba wa mama wa jirani yangu wa ofisini,
Documentary iliyoachiliwa na Shirika la habari Duniani (BBC) ikionesha mashahidi wanaoonesha maovu dhidi ya Mtumishi wa Mungu mwendazake T.B Joshua ni ishara tosha kuwa nguvu ya Imani na ukuaji wa kiroho Afrika ni tishio Kwa kikundi fulani cha watu kutekeleza ajenda zao.
Ukweli ni kwamba Afrika...
Kiukweli natangaza rasmi mimi na mke wangu tuko mbioni kuachana rasmi katika muunganiko wa ndoa yetu kabisa kila mtu akatafute changamoto nyingine za kimaisha aisee
Wakati namuoa tulikubaliana abadili dini lakini yeye amengeuka sana sasa tumeamua kuachana rasmi kila mtu atunze furaha yake...
Kwa sababu Chanika kuna " uhai" .
Huhitaji kuwa expert wa kusoma alama za anga na alama za ardhi kun'gamua kwamba chanika kuna " uhai" . Kama sauti yako ya ndani ( inner voice) ipo active and effective, siku ukifika Chanika uta detect " uhai" juu ya ardhi ya chanika.
Siku hizi wafanya biashara...
Hii ni kwale waaminio tu. Kwa wewe usie amini baki na maneno yako kwa sababu yanafaa zaidi kukaa kwenye kichwa chako kuliko kwenye uzi wangu.
Now lets go watu wangu. Uzi ulio pita nilitoa maelekezo namna gani unatakiwa kufanya kama kweli upo serious unataka kufanikiwa kupitia madhabahu ya...
Mungu alimuumba mwanadamu tajiri na mwenye vingi.
Adamu alikuwa ni mtu aliyepungukiwa kitu kimoja tu dunia nzima. katazo la ulaji wa mti wa mema na mabaya. Baada ya shambulizi la kiroho ndio manadamu akaanza kuwa na mapungufu na masikini wa vitu.
Kwa mkristo kuishiwa, kupungukiwa isichukuliwe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.