kiroho

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Manfried

    Sababu za kiroho kwanini uvae msalaba ?

    Sitoelezea Sana kuhusu swala la msalaba siku ya Leo . Ila Msalaba huwa unabeba nguvu ya kufatwa . Hivyo haijalishi ni muislamu au Christian KIROHO unashauriwa kuvaa msalaba. Ili kuvuta watu Msalaba huwa unatangulia na watu wanafata nyuma. Ntarudi kuendelea ....
  2. J

    Aina za Uponyaji wa Kiroho

    Aina za Uponyaji wa Kiroho Uponyaji ni nini Uponyaji ni tendo la kiimani la kupokea uzima katika roho au mwili kwa njia ya kuombewa, kuwekewa mikono au kulisikia neno sahihi la Yesu Kristo. Tendo hili la kiimani humletea muumini uzima wa kiroho na afya ya kimwili pale ilipopunguka. Wengi...
  3. LIKUD

    Sababu za kiroho kwa nini unatakiwa kula mananasi kwa wingi kwenye msimu huu wa Mananasi

    Sababu ni moja tu nayo ni👇👇👇 Kwa sababu huu ni msimu wa Mananasi. Katika ulimwengu wa roho, kunapokuwa na msimu wa kitu fulani, tafsiri yake ni kwamba muda huo ndio muda sahihi wa kufanya kitu hicho. Mifano kupanda mazao msimu wa mvua zinapo anza. Sasa hivi ni msimu wa Mananasi, tafsiri yake...
  4. G

    Sio vizuri kwenda guest house na mtoto mdogo! Kiroho ni mbaya sana.

    Wakuu habari. Kwa wale wapenda mambo ya kikubwa! Kwenda na mtoto wako guest house Kuna mfanya kiroho kuchukua vitu vilivyowahi kifanyika kwenye hicho chumba. Usije shangaa mtoto wako mbona nikahaba au shoga kumbe chanzo ni wewe kwenda naye kwenye nyumba za kulala wageni. Haijarishi unaenda...
  5. R

    Ikiwa unatumia muda mrefu kwenye kioo kujipamba kuliko maandalizi ya kiroho siku ya ibada jua hakuna ibada bapo!

    Salaam,Shalom!! Imeandikwa ( mithali 16:1), maandalio ya moyo ni ya mwanadamu, Bali.... Pana mtumishi mmoja pia aliwahi kuimba kuwa, Ibada huanzia nyumbani. Sasa TOBA, msamaha, utakatifu wa mwili NAFSI na Roho, ni vitu vinavyotakiwa kuanzia nyumbani. Kuoga, kusafisha mwili ni muhimu ila muda...
  6. Gemini Are Forever

    Nahisi kutokuwa sawa kiroho. Pepo wachafu wameniingilia!

    Habari ndugu zangu! Nimebadilika sana, nahisi kutokuwa sawa kiroho! Nipo mbali na nyumbani tangu 2021, yaani huwa tu naenda kusalimia na kurudi. Nipo Dodoma kikazi na tangu nije huku nimeona nimebadilika sana! Hapo kabla nilikuwa mkimya sana nisiyependa kukaa sehemu zenye watu yaani kiufupi...
  7. Daktari W Sindabhalla

    Wapi naweza kupata Huduma za kiroho (Fellowship) kwa Dar

    Habari wanajamii. Naomba msaada Kwa yeyote ayefahamu Mahali Kuna HUDUMA YA FELLOWSHIP Kwa Mkoa wa Dar es Salaam. Mimi Ni Muumini wa Hii Mambo ila sio UWATA. Nipo Dar Kwa Muda kidogo ila Sijui mahali nitashiriki Huduma kama Hii hapa Dar. Mimi Nipo Kimara Baruti. Kwa anayefahamu Naomba...
  8. technically

    Bora kufa kimwili kuliko kufa kiroho

    Kufa unatembea ni kubaya Sana Bora kufa na kuzikwa Watawala wa sasa wanatembea wakati wamekufa kiroho CCM inatwala wakati imekufa kiroho Serikali ya awamu ya 6 imekufa kiroho Ila kimwili inatawala!.. Ndio maana ni ngumu Sana Sana kufanikiwa kwa sasa!!
  9. Mshana Jr

    Sadaka katika mtazamo wa kiroho

    Sadaka ni tenda la kiimani la kiroho .. Sadaka haitolewi kwenye nyumba za ibada tuu.. Hizi zenye imani juu ya Mungu moja na dini zake Sadaka pia hutolewa kwa miungu Sadaka pia hutolewa na wapagani Sadaka pia hutolewa kwenye vilinge vya mambo ya giza Sadaka pia hutolewa kwa masanamu Sadaka pia...
  10. bjhjhj

    Watumishi makanisa ya kiroho muwe mnaenda na mahospiltali kufanya miujiza msitufanye wajinga

    Tangu dunia iumbwe sijawahi kuona watumishi wa makanisa ya kiroho wametenga hata jumapili moja kutembelea mahospitalini kufanya miujiza ya kuponya wagonjwa kule. Mie nahisi kuna jambo nyuma ya pazia
  11. R

    Makanisa ya kiroho yaanze mfumo wa kuhakiki sadaka na matumizi yake kudhibiti wahubiri matapeli

    Najua wako wahubiri watapinga pendekezo langu lakini nipo tayari kuwajibu. Imani ya kikristo imegeuka kuwa genge la wezi. Kila kukicha anaibuka mtume au nabii na aya zake za biblia ( mostly taken out of context or not existing!) kuhamasisha kumtolea Mungu ( of course ni kumtolea huyu mhubiri!)...
  12. Oscar Wissa

    Umuhimu wa Kiongozi wa Kiroho Kuwa na Muda na Wakristo ili Kuwaimarisha

    Katika utumishi wa Mungu, mahubiri pekee hayawezi kuwatosheleza waumini kupata uimarishaji wa kiroho. Ingawa mahubiri ni muhimu, watu wanahitaji zaidi ya neno linalotolewa madhabahuni. Wanahitaji muda wa kibinafsi na viongozi wao wa kiroho ili kupata msaada wa kiroho na kiushauri, kuelewa...
  13. incredible terminator

    Je? Nyuki wanamaana yoyote kiroho?

    Wakuu Habari ya Majukumu, leo Jioni kuna nyuki wamekuja na kutua kwenye mti ambao uko nyumban kwangu wa kivuli, hapa najiuliza namna gani naweza kuwatoa kwa usalama wa familia yangu, maana nina watoto chini ya miaka 10 wakorofi sana, wasiwasi wangu ni Vipi endapo watawabonda mawe? Na je katika...
  14. Pdidy

    Irene Uwoya kaanguka Kiroho muombeeni

    KAMA UNACHEZA NA MUNGUU NDUGU HIZI NDIZO ADHABU ZAKO KIFUPI NI ALBADILI YA KIKRISTO Bwana asifiwe...... nakupa kwa uchache tu mistari ya Zaburi 109 kila anayepita njia yako anakutesa... usimjibu kuna namna ya kufanya kisha msomee zaburi hii ... tuanze mstar wa sita.. hiihabaki mtu🤣🖐 6 Uweke...
  15. Mandela5599

    Mungu anaongea na watu mara nyingi. Wengi hawaelewi kwa sababu ya ujinga wao wa mambo ya kiroho

    Mungu ni roho, Mungu anaongea kiroho Haongei kama sisi wanadamu, ana namna zake ambazo ni muhimu uzifahamu KUNA NJII KUU 3 ZA MUNGU KUONGEA NA WEWE 1. KUPITIA NDOTO/MAONO 2. KUPITIA NENO LAKE. Biblia Takatifu 3. KUPITIA WATUMISHI WAKE(MANABII, WALIMU N.K LEO TUONE NJIA YA NDOTO Ndoto...
  16. Kichwamoto

    Hongera sana kwa Hotuba yako Godbless Lema, Mungu akupe maisha marefu usipungukiwe kiroho

    Leo Tarehe 20-09-2024 NDUGU Godbless Lema Amefanya mapitio ya maudhui na ujumbe wa Rais Hassan wa Jamhuri ya Tanzania Ndugu Godbless Lema ametoa hotuba nzuri sana, na hapa niwape tahadhari wana CCM wenzangu umoja wetu uliotukuka ni Utanzania wetu na Ubinadamu wetu. Sisi sote ni NDUGU hii ni...
  17. Wauzaji wa containers

    Kiroho unajuaje kuwa huu ni wakati wa MUNGU.?

    Unawezaje kujua kuwa huu ndo wakati wa MUNGU?
  18. Morning_star

    Kama hutaki kupigana vita vya kutumia nguvu za kiroho Mungu/giza kamwe sahau maisha safi! Utaishia kuwa masikini!

    Kuna wazazi hawataki watoto wao waongoze darasani kwa kuogopa kulogwa! Kuna watu wakichomoza katika biashara watagundua adui wake wa kwanza ni shetani baada ya kuanza kutupiwa majini na ndoto za mashambulizi usiku na nyoka/wanga/unawindwa kuuawa! Kama una ndoto za kuwa kiongozi kama ujajijenga...
  19. R

    Mambo ya kiroho!! Roho ni nini?

    Wahubiri wa imani ya Kikristo, ni muhimu kutoa maelezo fasaha mnapozungumzia masuala ya ulimwengu wa roho. Mara nyingi, unamsikia mhubiri akisema, "Naona katika ulimwengu wa roho..." lakini ni vema tukajiuliza, roho ni nini? Je, ninyi pia mmekaririshwa tu kwamba roho siyo kitu chenye asili ya...
  20. matunduizi

    Namshukuru Sana Mungu kwa hii Bar Jirani inayokesha siku Tatu kwa wiki, imenikuza Sana Kiroho.

    Mwalimu Yesu aliwahi kusema, Wana wa giza wanamaarifa katika Mambo Yao. Na sisi watu wa rohoni tusiwe wajinga kwenye Mambo ya rohoni. Hawa jamaa wao huwa wanaanza Kula stare he na kukesha siku Tatu mfululizo. Ijumaa, Jumamosi na Jumapili. Huwa nawafuatilia wako siriasi Sana na ratiba ya...
Back
Top Bottom