Kirua Vunjo Magharibi is a town and ward in the Moshi Rural district of Kilimanjaro Region, Tanzania. Its population according to the 2012 census was 12,840.
Ikiwa ni zaidi ya siku 20 zimepita tangu mwili wa mzee aitwae John Kombe (73) mkazi wa kata ya Kirua Vunjo Magharibi mkoani Kilimanjaro, kudaiwa ulikutwa umefungiwa kwenye dula lake na watu wasiojulikana huku ukiwa majeraha, Jeshi la polisi mkoani humo limesema bado linaendelea na uchunguzi, na...
TAARIFA KWA UMMA
KUHUSU KUSITISHA UCHAGUZI KATIKA KATA YA KIRUA VUNJO MAGHARIBI
Tafadhali rejea somo tajwa hapo juu.
Kwa kuzingatia masharti ya Kifungu cha 71(1) cha Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani Na. 1 ya Mwaka 2024 na kwa barua yenye Kumb. Na CMV/U.30/10/VOL.II/45 ya tarehe...