Wakati Manara Yuko Simba tulidhani ni kawaida kumuona akig'ara Kwa umaarufu. Tulidhani alistahili kuwa hivyo kutokana na nafasi yake. Lakini uchunguzi umeleta mambo tofauti kabisa.
Katika kauli zake amekua akitamka vita ya umaarufu, na maranyingi amekua alisema anapigwa vita Kwa umaarufu wake...