kirusi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. T

    #COVID19 Kirusi kipya aina ya Lambda chagundulika huko Peru, chanjo haziwezi kukizuia

    Taarifa mpya ni kwamba, kirusi cha Covid 19 ambacho kinajibadili ama mutate kila siku kimekuja na aina mpya ya kirusi kinaitwa Lambda. Lambda imegundulika huko nchini Peru. Kirusi cha Lambda kimeonyesha kua hizi chanjo zilizopo haziwezi kukizuia, kiko resistance dhidi ya chanjo zilizopo...
  2. J

    #COVID19 Kirusi cha Delta kimesambaa na kufikia Mataifa 104

    Kirusi cha Maambukizi ya #COVID19 aina ya Delta kimesambaa kwa haraka na kuyafikia Mataifa 104. Inaelezwa kuwa kimefika hata kwenye mataifa mabayo yalionekana kuanza kupunguza kwa kiasi kikubwa kasi ya maambukizi Mkuu wa Shirika la afya Duniani, Tedros Adhanom Ghebreyesus ameonya kuwa kieusi...
  3. J

    #COVID19 Waziri Gwajima: Elimu kuhusu Corona inatolewa na Wakuu wa Mikoa na Wilaya. Kirusi kinabadilika badilika siyo kama mwanzo!

    Waziri wa afya Dkt. Gwajima amesema wagonjwa wa Corona wanaongezeka hivyo wananchi wachukue tahadhari. Kwa sasa elimu ya kupambana na Corona inatolewa na Wakuu wa Mikoa na Wilaya kwa sababu kirusi kinabadilika badilika na sisi tunabadili style ya kukikabili kwani Wizara ina mambo mengi sana ya...
  4. M

    #COVID19 Kwa jinsi kirusi cha Corona cha India kinavyosambaa sasa Afrika, nikiambiwa hakijafika Tanzania nitashangaa

    Tafadhali Mamlaka husika chukueni Tahadhari haraka kwani tayari Kirusi hatari na Kipya cha Corona kilichopo nchini India kimeanza Kusambaa Kwetu barani Afrika. Mpaka sasa Kirusi hiko kimefika nchi za Nigeria, Algeria, Congo Brazaville, Kenya, Uganda, Morocco na Afrika Kusini kwa mujibu wa...
  5. B

    Meli ya India yawasili Afrika Kusini na kile kirusi Baba lao

    Mabibi na mabwana kutokea Afrika Kusini, kuna habari za meli kuwasili huko ikiwa na mzigo wa hatari na wa kutosha kutokea India: https://www.enca.com/news/vessel-india-docked-durban-crew-tests-positive-covid-19 Huu umewasili kwenye meli. Tena bila shaka kabla ya kutoka India walipimwa dhidi...
  6. Fantastic Beast

    #COVID19 Machozi ya Dkt. Mpango yasiende bure

    Kwanza naomba nianze kwa kumpa pole Dkt. Philip Mpango kwa kupambania afya yake kwa hizo wiki 2. Mungu amjalie apone kabisa mapema ili aweze kujumuika na familia yake. Tukirudi kwenye mada, kwanza kama hujaitazama ile interview nenda youtube ukaitazame ndipo urudi hapa kuendelea kusoma. Kama...
  7. S

    Kirusi cha Corona kwenye nguo kinaishi siku mbili

    Huyu ni mwanasayansi gani asiyetambua ukweli? Kirusi cha Corona kwenye nguo uhai wake siku mbili na kwenye vyuma kinaishi hadi siku nne. Kontena tuka huko kwa mabeberu usafirishaji unachukua wiki tatu hadi mwezi kufika Tanzania. Sasa virusi gani tunavyoletewa toka kwa mabeberu? Propaganda...
  8. comte

    #COVID19 Janga la kirusi cha Corona na ugonjwa wa COVID-19: Dunia sasa yaanza kutuelewa na kutumulika namna Tanzania tunavyokabiliana nayo chini ya JPM

    Even as the world struggles to grapple with the brutal third wave of the COVID-19 pandemic, a small but vocal group of skeptics insists that sinister forces are exaggerating the effects of the virus, control measures like lockdowns are unnecessary, and newly developed vaccines are unsafe. These...
  9. G Sam

    Bilionea wa Kirusi akutwa akiwa amefariki dunia ndani ya hoteli Zanzibar

    Mambo ndiyo kama hivi wadau! ========== Bilionea wa Kirusi, Igor Sosin amefariki kwenye mapumziko mjini Zanzibar akiwa na mwanae wa kike, Taisia pamoja na mwanamke ambae hajafahamika. Hii ni miaka mitano tangu mtoto wake wa kiume, Egor alipomnyonga mke wake wa pili na waya wa simu mwaka 2015...
  10. T

    Taiwan yaungana na Marekani, yadai Huawei ni kirusi cha kichina, Trojan Horse, yadai wao walishaipiga marufuku toka 4G inaanza

    Waziri wa digitali wa Taiwan amesema Huawei ni kirusi cha kichina au Trojan horse kutoka China na ni hatari kuitumia kwenye mfumo wa mawasiliano ya nchi Waziri huyo ambae zamani alikua muiba taarifa za kimtandao ama kwa kimombo hacker anasema wao Taiwan walishaliona hilo la Huawei muda mrefu...
  11. Nyani Ngabu

    Kile kirusi vipi?

    Sasa hakibambi tena kama ilivyokuwa! Zile hekaya za makaburi ya watu wengi [mass graves] hazivumi tena. Hata makamanda nao naona wamekubali matokeo. Wameona kirusi hakina shobo kivile. Nimemwona ‘jasusi’ mbobezi akiselfika na wanasiasa wa upinzani bila barakoa wala tahadhari yoyote dhidi ya...
  12. Influenza

    Rais wa Brazil, Jair Bolsonaro atangaza kupata Corona

    Kupitia chaneli ya Taifa, Rais Jair Bolsonaro (65) ametangaza kupata maambukizi ya #CoronaVirus baada ya kufanyiwa vipimo kwa mara ya nne siku ya Jumatatu kufuatia kuonesha dalili za ugonjwa huo Bolsonaro amekuwa mara kwa mara akipuuza ugonjwa huo huku akiuita ni mafua madogo ya kawaida na...
  13. MK254

    Madagascar waongeza lockdown baada ya kirusi kuzingua balaa, hivi hawa si ndio Wabongo walifuata dawa yao kwa ndege

    Nakumbuka picha za mawaziri wa Tz wakinywa vikombe vya dawa ya Madagascar iliyofuatwa kwa ndege ya ikulu, wabongo wakawa wanatokwa mipovu walipoambiwa muhimu hiyo dawa ikafanyiwa ukaguzi wa kisayansi kabla ya kuichangamkia kama walivyofanya kwenye kikombe cha babu. Sasa hao wenzetu Madagascar...
  14. MK254

    Iran walialia baada ya vinu vya nyuklia kupigwa kirusi, waapa kulipiza kisasi

    Hii hatari sana kuwa na kinu cha nyuklia ambacho kinashambuliwa kizembe hivi, yaani ni kama huwa wanatumiwa ujumbe wa salamu, kwamba muda wowote wanaweza kusambaratishwa kwa kutumia vitu vyao wenyewe. === Iran is claiming a fire and possible explosion at its Natanz nuclear plant on July 2...
  15. B

    Corona: New Zealand siku ya 17 leo bila ya kirusi Corona nchini

    Mabibi na mabwana hii ni habari njema na kumbe kweli inawezekana. New Zealand kafanikiwa kumgaragaza kirusi Corona vilivyo. Hii leo kwa siku ya 17 hawana mgonjwa hata 1 wala maambukizi yoyote. Yote hii si kwa nyungu, maombezi wala mitishamba. Si kwa ubabarishaji wala kwa takwimu magumashi bali...
  16. Geza Ulole

    Balozi wa Kenya nchini Tanzania: Hatuiangalii Tanzania kama jirani bali kama Ndugu. Sisi sio maadui, adui yetu ni Corona

    Balozi wa Kenya nchini Tanzania, Balozi Kazungu amezungumza na vyombo vya habari ili kuweka mambo sawa. Balozi kazungu amesema... Rais Kenyatta amenituma hapa, anasema Kenya haiiangalii Tanzania kama jirani bali kama Ndugu, sisi sio maadui, adui yetu ni corona, ndio maana alikuwa Rais wa kwanza...
  17. wanzagitalewa

    Teknolojia inavyotusaidia kupambana na Kirusi cha Corona

    Mlipuko wa homa ya kirusi cha corona umeleta athari nyingi kwa jamii zetu na kuathiri kwa kiasi kikubwa wananchi na watoa huduma ya afya barani Afrika na duniani kote. Nchi mbalimbali zimechukua hatua kusaidia taasisi za afya kama hospitali kuweza kuhudumia idadi kubwa ya wagonjwa ambayo kwa...
  18. Pinkman

    Coronavirus found in men's semen

    (CNN)The new coronavirus can persist in men's semen even after they have begun to recover, a finding that raises the possibility the virus could be sexually transmitted, Chinese researchers said Thursday. A team at Shangqiu Municipal Hospital tested 38 male patients treated there at the height...
  19. mng'ato

    Kwa nini sabuni inaua kirusi?

    Na sabuni hio hio kwny SELFIE ni hatari pia.
  20. wanzagitalewa

    Sekta binafsi Tanzania inavyosaidia kupambana na kirusi cha Corona

    Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu Katika siku za karibuni kumekuwa na habari nyingi kuhusu hatua mbalimbali zinazochukuliwa kupambana na kuenea kwa homa ya kirusi cha corona. Wiki hii serikali ya Tanzania imetangaza mpango kujenga hospitali ya kupambana na magonjwa ya mlipuko kama homa hii ya...
Back
Top Bottom