Mpaka leo najiuliza hili Swali ni kwanini Taasisi Kubwa na Muhimu kabisa za Masuala ya Fedha Duniani (Ulimwenguni) za WB (Benki ya Dunia) na IMF (Shirika la Fedha Duniani) kwa Siku za karibuni na niweke tu wazi tokea 2016 hadi huu wa 2020 wamekuwa ' Wazito ' mno Kuisaidia Tanzania kwa Pesa...
Nimeikuta hii kwenye makala moja ya kitabibu kwamba kirusi cha corona kinachosababisha ugonjwa wa Covid 19 kina uwezo wa kusafiri umbali wa futi 13.
Hivyo wataalamu hao wanashauri kàtika mkusanyiko wowote umbali kati ya mtu na mtu kwa kila upande ili kujilinda na maambukizi ni lazima uwe mita 4...
Kama ulidhani ujio wa hili Janga Kubwa na baya Ulimwenguni la CORONA halina Faida kwa upande mwingine utakuwa umekosea sana na unajidanganya mno. Katika hali isiyokuwa ya Kawaida Serikali ya Afrika Kusini kupitia Waziri wa Polisi Bwana Bheki Cele amekishukuru kupita maelezo Kirusi kibaya cha...
Ugonjwa wa COVID -19 ambao ni wa homa ya mapafu waendelea kuua watu duniani huku kukiwa hakuna dawa ya kukabiliana nao.
Na kwa mujibu wa wataalam mbalimbali duniani, hata dawa hiyo kuwa tayari kwa matumizi itachukua miezi karibu 18.
Ugonjwa huu uliripotiwa mwaka jana na tangu hapo hadi leo...
Ugonjwa huu uliwai kuibuka duniani mwaka 1918 ambapo uliua watu takribani milioni 50 duniani, ulikuwa unaitwa Flu Influenza epidemiki H1 N1 ambapo wanasema ulianzia Uhispania na China baadaye kuenea Ulaya, Asia, Amerika na afrika. Historia haisemi wazi wazi kuwa vita ya kwanza ilisitiswa na...
Kirusi cha Corona, sio tu ni kirusi kinachoathiri watu kiafya pekee, bali kiuchumi pia. Na kuna uwezekano mkubwa wa uchumi kubadilika kwa kipindi hiki.
Had sasa kirusi hiki kimeshaathiri burudani, usafiri na utalii kwa kiasi kikubwa kwa kuwa ni shughuli hizo zimepata zuio la wazi. Mambo mengine...
Kirusi cha korona (Corona virus), ni kimelea chenye gamba na kutunza vinasaba vyake katika malighafi za RNA. Corona virus ni kisababishi cha magonjwa mbalimbali na vimelea hivyo vina makabila mbalimbali. Fahamu kinachojiri kuhusiana na kirusi cha Corona (Coronavirus) - JamiiForums
COVID-19-...
Hali ya maambukizi ya Covid19 duniani hadi kufikia 16/03/2020
Kenya wamethibitisha uwepo wa watu 3 wenye Covid19 na tayari leo Rais Kenyatta katangaza kufungwa kwa shule na taasisi zote za elimu nchini kuanzia kesho.
Pia amefunga mipaka yake kwa raia wa nchi yoyote ambayo imeshatangaza kuwa na...
Hapa kuna maelezo mazuri toka DW yakieleza theories mbalimbali juu ya "kwa nini ugonjwa wa Coronavirus haujaripotiwa Afrika".
Moja ya sababu zilizotaja ni uwezo mdogo wa maabara za nchi nyingi za Afrika zmbazo hazikuwa na uwezo wa kutest coronavirus.
Hadi wiki iliyopita ni maabara za nchi...
Every thing that happens in the physical world, represents something in the realm of the spirit.
In other words, kila kinacho tokea katika ulimwengu wa damu na nyama huwa kinaanzia kwenye ulimwengu wa roho.
Back to my point: Kuenea Kwa kirusi cha Corona nchini China ni adhabu kutoka Kwa...
Kasi ya maambukizo ya kirusi corona inaongezeka na kuna uwezekano idadi ya wagonjwa ikaongezeka pia, Kamisheni ya Afya ya Taifa ya China imesema Jumapili.
Wakati huohuo watu zaidi ya 2,000 wameambukizwa duniani na 56 wamekufa kutokana na ugonjwa huo.
Kirusi hiki, kinaaminika kuwa kilianza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.