kisasa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Last Seen

    Mwamposa ajenga hotel ya kisasa jijini Mbeya

    Mtume Boniface Mwamposa wa kanisa la Arise and Shine lililopo kawe Jijini Dar es Salaam amejenga hotel ya kisasa jijini Mbeya ambayo imezinduliwa leo hii na Spika wa Bunge la Jamhuri ya mmMuungano wa Tanzania Dr.Tulia Ackson. Mtume Mwamposa amejenga hotel hiyo ili kurudisha fadhila kwa jamii...
  2. wilcoxon

    Treni ya kisasa ya Dkt. Mwakyembe na Dkt. Robert Shumake kwa mkoa wa Dar es Salaam iliishia wapi?

    Ni zaidi ya miaka nane sasa imepita toka Dr. Mwakyembe autangazie umma juu ya mradi wa treni ya kisasa kwa mkoa wa Dar es Salaam lakini mpaka leo hakuna taarifa yoyote kuhusu huu mradi ulifikia wapi. Pia Mwakyembe alisisitiza kuwa huyu baba alikuwa tayari kuleta hizo treni hata kesho yake tu.
  3. uberimae fidei

    Tunauza Viwanja na Mashamba Chalinze na Dar Es salaam

    *ENEO LINAUZWA* Eneo lenye ukubwa wa *ekari ishirini* linauzwa *Pingo, Chalinze*. Eneo linapakana na *Chuo cha Ualimu Chalinze* kwa mbele na kwa upande wa kulia ni *kiwanda kipya cha vigae cha Twyford* kinachojengwa hapo Pingo.Kama ambavyo baadhi watakuwa wanajua, kiwanda cha vigae kitaajiri...
  4. Girland

    Dini za kilokole na imani za ajabu

    Imeandikwa: MTAIJUA KWELI NAYO KWELI (Siyo uongo) ITAWAWEKA HURU, kumekuwepo ongezeko kubwa la makanisa na madhehebu mbalimbali huku kila moja wakija na vimbwanga vyake. Achana na maji ya upako, yanayotumika na makanisa au Chumvi, au Uvumba na vitu vingine kedekede ifuatayo ni list ya...
  5. Pascal Mayalla

    Hongera TRL kwa Mabehewa Mapya. SGR ni Reli Mpya ya Kisasa; Je, Mabehewa Haya ni Mapya ya Kisasa? Hakuna Ubaya Kutumia Mitumba, Ila Tuambiwe Ukweli!

    Wanabodi, Kama kawaida yangu, kila nikipata fursa, huja na makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa" Hili ni maslahi ya taifa ya pongezi kwa TRC nimeona mzigo wa mabehewa mapya ya kisasa ya reli ya kisasa ya SGR ukipokelewa bandarini, DSM, hivyo hatua ya kwanza ni kutoa pongezi kwa TRL kwa kazi...
  6. MTV MBONGO

    Kuweni makini: Nyumba za kisasa zisizoonyesha bati juu zinavuja mno, msikimbilie kujenga

    Wadau habari zenu, Utafiti wangu wa kina umebaini kuwa watu wengi Leo hii wanajenga kwa kasi sana nyumba za kisasa zisizoonyesha bati lake. Ila wengi mno wanalia kipindi cha mvua, hazitililishi maji vizuri na hivyo kuharibu sana Ceiling boards na Gypsum na kulowanisha kuta. Nimeshuhudia wengi...
  7. Chagu wa Malunde

    Kazi inaendelea kwa Kishindo. Bil 165 kujenga uwanja wa kisasa Dodoma. Mama Samia anaupiga mwingi

  8. F

    INAUZWA Wall Pannel - ukuta wa kisasa

    Wale watumiaji wa kuta za kupachika yaani 'Wall pannels' za kisasa, ninazo za kutosha. Njoo Tabata Segerea nikuuzie. Simu: 0755726772
  9. L

    China inaithibitishia dunia kuwa njia za kisasa

    Mkutano Mkuu wa 20 wa Chama cha Kikomunisti cha China CPC ulimalizika hivi karibuni mjini Beijing. “Njia ya China Kujiendeleza Kisasa” iliyotolewa kwenye Mkutano huo sio tu ilivunja mantiki ya baadhi ya nchi kwamba "usasa ndio mtindo wa kimagharibi”, bali pia inatoa njia mpya ya kujiendeleza...
  10. Idugunde

    ACT Wazalendo kuzindua Ofisi Mpya ya kisasa huku CHADEMA wakiwa wamepanga uswahilini zaidi ya miaka 20

    Penye njia pana njia Act Wazalendo wana nia thabiti ya kuwa ruling political party. Chadema imejaa waswahili na wajanja ambao hawana nia njema kabisa.
  11. matunduizi

    Wakuu na wajuzi, Israel (Mossad) imeruhusu vipi Iran kumiliki drones na silaha za kisasa hivi?

    Iran ni adui mkuu wa Israel kwa sasa. Na Israel inekuwa ikuhujumu mikakati ya kisiraha hatarishi ya Iran miaka yote. Ikumbukwe Moja ya sababu kushindwa kutoa mifumo ya Ulinzi Kwa Ukraine, Israel walesema mifumo yao ni Kwa ajili ya magurunet tu ya kawaida haitaweza kupangua makombora ya kisasa...
  12. J

    Plot4Sale Tunauza Viwanja, Nyumba na Mashamba Dar es Salaam

    1- kinauzwa kiwanja mbezi ya goba kulangwa sq 400 Bei million 17 (maongezi yapo) kilipo si mbali na barabara (dk7- 10 main road) 2- kiwanja kinauzwa MBEZI GOBA sqm 1000 Bei million 57 (maongezi yapo)pia hakipo mbali na barabara 3. Nyumba ya vyumba 6 Mbezi beach Goigi (dk 10 bagamoyo road)...
  13. Zekoddo

    Nasumbuliwa na Mafua, Naomba dawa za Asili na Kisasa zinazosaidia

    Wadau,, me kijana wenu hapa nimekuwa Susceptible sana na hii homa ya Mafua,,, kwa experience yangu Sasa siwezi maliza miezi miwili bila Mafua na yakinishika Huwa yananishika kweli.. Yaan inafikia kipindi nikiwa safe namuogopa sana mtu anayeumwa Mafua maana nikimkaribia tu sichelewi kuyazoa. So...
  14. DMmasi

    Tamaduni zetu za kisasa kwenye jamii na madhaifu yake

    SEHEMU YA KWANZA Habari zenu wana jamii wenzangu natumai muwazima wa afya, kwa walio na changamoto mbalimbali poleni sana niseme tuu ikiwa tunaishi tumaini lipo tusikate tamaa. Baada ya salamu ningependa kutoa ufafanuzi mfupi juu ya uzi ninaokwenda kuushusha. Kwanza huu ni mtizamo binafsi...
  15. H

    SoC02 Mkakati wa kutoka katika kilimo cha asili kwenda kilimo Cha kisasa Cha umwagiliaji

    Kwanza natoa shukurani zangu nyingi sana kwa kupata nafursa ya kutoa mawazo yangu kuhusu kilimo Tanzania. Wakulima wamelima kwa muda mrefu sana kwa lengo la kuuza mazao yao na kupata chakula na ziada kidogo ya mazao inayopatikana huuzwa kwa kupata fedha za matumizi ya kilasiku. Uhalisia ni...
  16. mirindimo

    Upigaji Uyui: Waziri Mkuu ashangazwa kibanda cha Mlinzi VETA kujengwa kwa Tsh. milioni 11, aagiza waliyosimamia ujenzi kukamatwa

    Tozo ilivyojenga ofisi ya 11,000,000, unaambiwa ni ofisi ya kisasa zaidi. - Waziri Mkuu Majaliwa akiwa ziarani Wilayani Uyui, Tabora amekagua ujenzi wa Chuo kipya cha VETA na ameonesha kutoridhishwa na gharama za ujenzi wa kibanda cha Mlinzi ambacho ujenzi wake ni Tsh. Milioni 11 “TAKUKURU...
  17. Kaka Ibrah

    SoC02 Fahari ya jamii ni kilimo cha kisasa

    Kilimo ni kitendo cha kupanda ama kuotesha mbegu ya zao husika na kuvuna mazao kwa wakati muafaka. Kitendo hiki huambatana na jukumu la kuulea mmea katika kipindi chote cha kukua kwake hadi pale utakapo toa mazao na kukomaa. Ukiachilia mbali nguvu ya teknolojia, viwanda, biashara na ajira...
  18. Bahati mahimbo

    SoC02 Maskati, tuimarishe uchumi wetu kwa kilimo cha kisasa

    Maskati ni Kata inayopatikana upande wa Kaskazini Mashariki Mwa Wilaya ya Mvomero Mkoani Morogoro. Wakazi wa Kata hii kwa kiasi kikubwa huishi kwa kutegemea shughuli za Kilimo hasahasa kilimo Cha Mahindi na Maharage. Mazao mengine kama vile Ndizi, Mihogo, Kahawa, viazi, Njegere,nk. ingawa...
  19. matunduizi

    Hii ndio sensa ya kisasa na yenye tija kuliko zote tangu uhuru

    Licha ya mapungufu machache, mfano karani na mwenyekiti wanazunguka bila hata reflector na kofia utadhani ni bibi na bwana wanatafuta shamba hapa Kijijini lakini hii Ni sensa super Sana. 1: Maswali yanayoulizwa yakifanikiwa Serikali itakuwa na taarifa nyeti Sana za raia wake kila Kona. Kila...
  20. EJOSMAT

    INAUZWA Ramani za nyumba za kisasa kwa ajili yako

    Tunachora Ramani za nyumba za kisasa kwa bei nafuu sana Wasiliana nasi kwa whatsapp 0717040837/0767267664
Back
Top Bottom