Mimi sio Mchambuzi wa soka lakini kama Shabiki wa soka nimekuwa nikijifunza kla siku kupitia kuangalia Soka.
Baada ya Soka kuonesha mafanikio na ufuatiliwaji mkubwa kama kawaida Wenzetu(haswa Wazungu) waliona fursa na kuigeuza kuwa kati ya biashara kubwa sana Ulimwenguni.
Hivyo basi kama...
Rais wa Zanzibar ameonekana akigawa maboti mapya kwa ajili ya wavuvi wa huko kuachana na majahazi.
Jambo la kheri kabisa!
Hata hivyo kwanini zoezi hili ni kwa Zanzibar tu?
Si kuwa kwa uwiano wa watu huku bara tulistahili mengi zaidi?
Kweli Zanzibar kumenoga.
Ramani ya vyumba viwili, chumba kimoja masta, kingine cha kawaida, pia ina;
~sebule
~dining{chumba cha kulia chakula}
~jiko
~stoo
~choo cha kushea
~baraza ya mbele na ya jiko
~Ukubwa wa Ramani ni mita 11.6 kwa mita 8.6
~Mahitaji: Tofali 2650,Bati pisi 34 { futi 10 urefu na upana futi 3}
~kupata...
Karibu tukuuzie nyumba ya Kisasa kabisaaa
Nyumba ipo maeneo ya pangaboy Kama unaenda Mpobo.
Unaweza kupitia barabara ya Mbopo inayotokea Mkoroshini, au kupitia barabara ya Mbopo kutokea madale mwisho.
BEI no Million 65 ( ila maongeza yapo )
Ukihitaji picha zaidi na maelezo ya ziada...
Mwezi wa Pili 2022 Mm na Jamaa Tulilipia Malipo ya Huduma ya Transcript kwenda NACTE ila mpaka sasa kimya. Tumejitahidi kuwapigia kupitia Namba zao Ambazo Zinapatikana ktk tovuti yao Cha Ajabu Majibu Wanajibu Kwa Dharahu Mara Sihusiki.
Sasa najiuliza hizo namba kwenye tovuti yenu zipo kwa kazi...
Bwana Yesu akitoa mamlka kwa kila Muumini kushughulika na vijini/pepo.
Ni utapeli kuwageuza waumini watuhumiwa wa mapepo alafu eti kuna MTU mmoja star. Ndiye anayeyatoa.
Kwa Mujibu wa Yesu hii ni KAZI mdogo kuliko zote kanisani na inafanywa na muumini tu. Tena ilitakiwa watoanie mapemo huko...
Teknolojia zimetoa mchango mkubwa kwenye mapambano ya China dhidi ya janga la virusi, hasa kwenye kipindi ambacho inakuwa mwenyeji wa Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi ya Beijing.
Vyoo vya kisasa vinavyohamishika vimekuwa sifa maalumu ya mfumo wa mzunguko uliofungwa kwenye michezo hiyo...
Kichwa cha treni cha reli ya kisasa - SGR chàwasili
Kichwa hiki cha Mkandarasi kinachotumia nishati ya umeme kimewasili bandarini jijini Dar es Salaam kwaajili ya kuanza majaribio ya miundombinu ya umeme katika reli ya kisasa - SGR kipande cha Dar es Salaam - Morogoro.
Moja kwa moja..
Miaka kadhaa imepita (toka 2016) tuliposikia kuhusu ujenzi wa uwanja wa kisasa wa mpira wa miguu Dodoma unatarajia kuchukua watazamaji 80,000 na miundombinu mingine. Ikiwa kama ushrikiano wa serikali ya JMT na Morocco huku serikali ya Morocco ikiahidi kutoa fungu kusaidia ujenzi...
SHAMBA LENYE MIKOROSHO YA KISASA INAYOZAA VIZURI LINAUZWA.
ENEO SHAMBA LILIP0: Mkoa wa Lindi, kilomita 4 kutoka barabara kuu ya lami inayoenda Mtwara.
UKUBWA WA SHAMBA: Ekari 30
IDADI YA MITI KWA EKARI: Miti ya mikorosho 25 mpaka 30 kwa Ekari moja.
STATUS YA MAVUNO: Mikorosho yote inazaa...
TATIZO la saratani nchini limetajwa kuongezeka kwa kasi, ikibainishwa kuwapo wagonjwa wapya 42,060 kwa mwaka huku 28,610, sawa na asilimia 68 hufariki dunia kutokana na ugonjwa huo.
Taarifa za mwaka 2021 za Taasisi ya Saratani Ocean Road zinaonyesha saratani zinazoongoza kwa wanaume ni tezi...
Wakuu, nyumba nzuri sana na kiwanja ni kikubwa inauzwa
Kiwanja kina 2095m² na kina hati (yaani ukubwa wa eneo ni skwea mita elfu mbili na tisini na tano)
BEI: Tshs. 250,000,000 (milioni mia mbili na hamsini) maongezi yapo
Nyumba(eneo) ipo Madale kwa Mathias
kwa mawasiliano nipigie...
HABARI NJEMA... katika kipindi hiki cha kufunga na kuanza mwaka mpya, na kufanyiwa makadilio ya kodi za TRA, ninayo furaha kubwa kukujuza wewe Mfanyabiashara kuwa unaweza kuokoa mpaka 50% ya garama za kununua mashine za EFD endapo utajiunga na mfumo wa Dirm VFD ambao ni mbadala wa EFD machine...
bei nafuu
bora
dunia
efd
faida
kisasa
kompyuta
kuhusu
kujiunga
kukamata
kutoa
kutumia
machine
mfumo
msingi
nchi
nchi nzima
okoa
risiti
risiti za efd
salama
sifa
simu
tra
tukumbushane
uokoe
usumbufu
vfd
wafanyabiashara
wakati
wote
zaidi ya
Habari nyingi wakuu..
Katika ujenzi ambao nataka nianze Inshaallah baada ya kumaliza mambo mengine sasa nimechorowe ramani hii hapa kutokana na nyumba yangu nataka iwe hivi.
Hivyo basi wakuu humu kuna magwiji wa haya mambo ya ramani pamoja na ujenzi wake.Naomba kufahamu kutoka kwenu je hii...
Wasalaam,
Hizi barabara mpya na za kisasa za kuingia kwenye miji yetu mikubwa ni kwa ajili ya kupendezesha miji?
Fikiria barabara kubwa ya kuingia mji mkubwa wa kibiashara Tanzania? Njia nne kwenda njia nne kurudi. Anzia Kimara mwisho hadi inapoishia ni vibao vya hamsini mwanzo mwisho. Kila...
Ramani ya vyumba vitatu , chumba kimoja masta, sebule na choo cha kushea, Ukubwa wa Ramani ni mita 9/kwa mita9/...kupata Ramani yake tuwasiliane 0627571649.
Na Tom Wanjala
Mnamo mwaka wa 1978, China ilikuwa miongoni mwa mataifa maskini duniani. Kutoka mwaka huo, taifa hili likaja na mikakati na harakati za kujitoa kwenye hali hii ya umaskini iliyokuwa tishio kwa mamilioni ya raia wake. Ikiwa ni nchi pekee ulimwenguni yenye idadi kubwa zaidi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.