Tatizo la viongozi wetu wanakimbilia mikataba ya 10% bila kujali maslahi ya nchi ndiyo maana mikataba inakuwa ya sirisiri.
Huyu jamaa amegundulika anatoa rushwa kila mahali na kashitakiwa huko USA wenzetu wa Kenya wamesha sitisha mikataba na sisi tutafute njia sahihi ya kufuta hii mikataba...
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC) imeelekeza Shirika la Reli Tanzania (TRC) kuendelea kuweka teknolojia za ulinzi ili kuthibiti uhalifu kwenye mradi wa Reli ya SGR huku ikisisitiza hatua kali za kisheria kuchukuliwa kwa wanaobainika kuhusika na vitendo vya kuhujumu...
Kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika Novemba 27, 2024, Jeshi la Polisi linawataka wananchi, wagombea na wafuasi wa vyama vya siasa kutii sheria bila shuruti ili kuepuka kuchukuliwa hatua za kisheria ikiwemo kukamatwa na kufikishwa mahakamani.
Aidha, Jeshi la Polisi Mkoa...
Habarini ndugu zangu wapendwa wanajamvi,
Naomba kufahamu ikiwa inawezekana kama mzazi kuwajibishwa kwa kosa alilofanya mtoto wangu. Hali iko hivi: hapa mtaani kuna mzee fulani anasema anataka kunipeleka kwenye vyombo vya sheria kwa sababu binti yangu alivunja kioo cha gari yake.
Walikuwa...
Habari zenu waungwana,
Kama kichwa cha habari kinavojieleza, je ni ruhusa kisheria kufanya repackaging and rebranding ya product na kuuza upya. Mfano, ninunue sukari za kilo 50 alafu nizifungashe kwenye uzito wa gram 100 kisha niiuze kama brand nyingine. Napenda kujua sheria za biashara...
Naomba msaada wa kufahamu kama kampuni X inaweza kutuma police kukukamata na kukufungulia kesi ya kuisababishia hasara ikiwa mfanyakazi huyu ameajiliwa na kampuni Y (Yani outsorced from Y na kupelekwa kufanya kazi kwenye kampuni X).
Nimekaa kituo cha police kwa siku 8 naambiwa nimefanya kosa...
Kazi ya Bunge ni kutunga sheria na hatimaye sheria iliyotungwa na Bunge hupelekwa kwa Mhe. Rais kuwekewa sahihi ili iwe sasa Sheria na ianze ktumika. Sasa ninauliza:-
Je, sheria ikitungwa na kuthibitishwa na Mhe. Rais na baadaye sheria hiyo ikaanza kutumika na kuonekana ina DOSARI.
Je...
Habari Wana JF, naombeni msaada wa kisheria.
Mwajiri wangu alinivunjia mkataba bila kunipa barua yoyote yakuniachisha kazi, nilipewa kesi ya wizi ambapo alinipeleka polisi, lakini hakupeleka kesi mahakamani, baada ya kutoka polisi nilienda kituo cha haki za binadamu, nikapewa form za CMA...
Wakili na Mwanasheria wa Jeshi la Polisi nchini Kamisheni ya Zanzibar, Sadik Ali Sultan amesema wanaokubali kuingiliwa kinyume na maumbile wana makosa kwa mujibu wa sheria na wanastahiki kushtakiwa na kufungwa kutumia adhabu ya makosa yao.
Akitoa elimu ya kupinga vitendo vya udhalilishaji huko...
Wakuu Mimi umri wangu ni miaka 44 mpaka nafikia umri huu sijabahatika kupata mtoto wa ndoa zaidi ya kubambikiwa watoto wa nje ya ndoa, Mimi ni mjasiriamali japo pia ni mtumishi serikali katika idara ya afya, nilichelewa kuowa kutokana Na ugumu wa maisha niliokuwa nao.
Mwaka jana mwezi wa...
wadau habari
msaada tutani... JOB tupo kama mtu tano tunahitaji kuanzisha kikundi cha maendeleo ila tunataka kukisajili kisheria ili litakapotokea lolote kila mtu awe na haki sasa changamoto inakuja kuna vipengele vingi sana tukienda kwa mwanasheria mf. lazima uwe na physical address + P.O.BOX...
----------------
2024, Aug 24.
Dar es Salaam.
Saa 3:35 asubuhi.
Kwanza nitoe pongezi kwa serikali yetu kutambua na kuheshimu imani za watu.
Binafsi ninaamini katika Mungu, tena kindaki ndaki. Lakini kuna jambo halipo sawa mahali. Nikiuliza leo hii wangapi waliujuaje Ukristo au Uislam, watajibu...
Hi Great Thinkers.
Katika Pita pita zangu nimekutana na hii clip. In short siyo nzuri na haina afya yoyote.
Yaani kwa huyu jamaa anataka kusema elimu haina msaada wowote licha ya mabilion ya pesa yaanyowekezwa ili watu wasome.
Bila elimu hata hilo gari analolinga nalo sidhani kama lingepatikana.
Kuna utapeli unaoendelea mitandaoni, unaohusisha baadhi ya watu fungua kurasa/pages/Accounts za Instagram kwa kutumia picha za watu wengine (innocent) huku pages hizo zikiwa na maudhui ya kudhalilisha. Kama kuna yeyote ambaye anaweza kushauri njia nzuri ya kisheria ya kuchukua against watu kama...
Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) leo, tarehe 20 Agosti 2024, kimezindua Ripoti yake ya Taarifa ya utoaji msaada wa kisheria kwa mwaka 2023.
Uzinduzi wa Ripoti hiyo itaambatana na mjadala, ambapo kati ya wazungumzaji ni Dr. Helen Kijo-Bisimba, Dr.Anna Henga ambaye ni Mkurugenzi...
Leo match kati ya Simba na Yanga
Watu wamekuwa wakitoa ahadi mbalimbali ambazo Kwa sheria zetu ni kinyume kufanya lakini wengine wameahidi Kwa maandishi na wamesaini kabisa
Mfano Mwijaki ameahidi Yanga akimfunga Simba basi mke wake ni halali yetu wanayanga
Mwingine ameahidi akatwe kende...
Kilele cha maonesho ya Wakulima na Wavuvi Nanenane kimewadia, Wananchi wanaendelea kujitokeza kwa wingi kwenye mabanda tofauti likwemo la Mama Samia Legal Aid Campaign ili kupata msaada wa kisheria Jijini Dodoma.
Kupitia maonesho hayo yenye kauli mbiu ya “Chagua Viongozi Bora wa Serikali za...
Ikiwa Mtu ametoa tuhuma zinazohusu mtu au chama fulani, lakini kwenye tuhuma hizo akaandika jina ambalo sio sahihi. Je, Mtu huyo anaweza kushtakiwa na wahusika ambao kiuhalisia sio waliotajwa.
Mfano badala ya kusema JamiiForum wamefanya hivi au vile, yeye akasema 'jamaaforum!' Je, JamiiForums...
Wananchi waendelea kupatiwa msaada mbalimbali wa kisheria kupitia Kampeni ya Mama Samia Legal Aid Kampen iliyopo chini ya Wizara ya Sheria, katika kampeni hiyo watalamu wamepiga kambi kakitika Maonesho ya Nanenene, Jijini Dodoma.
Uwezo Maulid, Mkazi wa Shinyanga Mjini amesema “Mume wangu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.