Ni kama ndoto ya usiku wa manane, nazishuhudia zile siku nzito zisizosahaulika za kampeni za wabunge na urais mwaka 2015 , namshuhudia Hayati Dkt John Pombe Magufuli, akimwaga sera zake za kuomba kuchaguliwa kuwa rais, ana iahidi Tanzania na ulimwengu kuwa akichaguliwa tu, ataanzisha mahakama...