kisheria

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Petro E. Mselewa

    Kama nchi, ushoga tumeukataza na kuuadhibu kisheria. Kilichobaki ni utashi wa kuisimamia sheria husika, tuache porojo!

    Nimechukua muda wa kutosha kuisoma Sheria ya Kanuni ya Adhabu (Sura Na. 16 iyofanyiwa mapitio mwaka 2019) na kujiridhisha pasi na shaka kuwa, kama nchi-Tanzania, ushoga umekatazwa na kuadhibiwa vikali kwenye sheria hiyo. Ni vifungu vya 154 na 155 vya Kanuni ya Adhabu. Wahusika wote wa ushoga...
  2. emmarki

    Biashara ya simu used, nifanye nini ili nisipatwe na hatari ya simu zilizoibwa

    Kwenu wajuvi wa sheria za biashara. Ninafanya biashara ndogo ya kuuza na kununua simu used, zilizotumika hapahapa jijini Dar almaarufu simu za mkononi.. Changamoto kubwa kama mjuavyo huwa kuna simu za wizi, muuzaji hawezi kukuambia ni wizi na ni vigumu kutambua kwa sababu kiteknolojia hakuna...
  3. Sagungu 1914

    Msaada wa kisheria tafadhali

    Ninaomba msaada wenu wadau, eti mtu ukishateuliwa na Wanafamilia na kuthibitishwa na mahakama kuwa msimamizi wa Mali za marehemu, inachukua muda gani kisheria kukoma katika nafasi husika?
  4. R

    Bashe jiuzulu kulinda heshima yako; wanaokuhujumu wanatumwa na mahasimu wako

    Njombe yametokea matukio mawili ya kujumu wakulima katika eneo la Mbolea. Wasambazaji wa Mbolea badala ya kupeleka Mbolea wanasambaza maelfu ya magunia ya mchanga na vitu vinavyofanana na mchanga. Polisi wanaambiwa wachunguze wanasema sample zinasubiri majibu maana yake pamoja na Waziri...
  5. William Mshumbusi

    Ila TFF imeamua kupuuza kabisa Feitoto. Kuna ugumu gani kusema hoja alizoweka mezani Feitoto na kufafanua kisheria kwanini hazikuwa za Msingi?

    Ni Kama sakata limeamua kuishia gizani. Ilichokifanya Tff Ni kuwatisha mawakili wa feitoto wasiliongelee sakata Hilo kiundani na wao kuja kusema juu juu tu. Hapo hukumu imetoka kiujanja ujanja tu. Na ukweli haifurahishi. Uenda kweli Feitoto amekosea lkn Kuna ugumu gani kutupitisha kisheria...
  6. William Mshumbusi

    TFF hawana uwezo wa kufafanua kisheria vipengele alivyokosea Feitoto kimkataba. Watarudia maneno matano tu. Feitoto ni mchezaji wa Yanga kimkataba

    Hilo ninauhakika. Hawana jeuri ya kusema kuwa feitoto alitakiwa afanye Nini kisheria. Nasisitiza hakuna hoja za kisheria zinazombana
  7. GENTAMYCINE

    Hongera Rais Samia, RC wa DSM na Manispaa zote za DSM kwa Kuwarejesha Wamachinga Wakaidi maeneo Wasiyotakiwa Kisheria

    Wamerejea rasmi Tegeta kwa Ndevu, Mbezi Louis, Ubungo Riverside, Mwenge na maeneo mengine mengi ambayo Walifukuzwa Wiki Mbili zilizopita kwakuwa Kisheria hawatakiwi kuwepo. Ushauri wangu kwa Watajwa katika Kichwa changu cha Uzi huu ni kwamba Safari msihangaike Kuwatimua tena bali waacheni ili...
  8. M

    NHIF huwezi katia bima wategemezi waliopo kisheria mfano mama akibadili jina

    Majina ya mama yako/mama mkwe wako yako tofauti ya yaliyoandikwa kwenye cheti cha kuzaliwa. Yaani kama mama wakati anakuzaa alikuwa anaitwa Anastazia Tatu Peter (jina la babake au Mme wa zamani) na sasa kwenye cheti chake cha NIDA au cha kura anaitwa Anastazia Tatu Mahendeka. NHIF hawampi bima...
  9. kekule benzene

    Tunafanya kazi saa moja hadi saa saa 12, Kuna watu wanataka wagome

    Standard working hours
  10. benzemah

    Kampeni ya Mama Samia ya msaada kisheria yazinduliwa

    Wizara ya Katiba na Sheria imezindua kampeni ya msaada wa kisheria kwa lengo la kutoa msaada wa kisheria nchi nzima kwa miaka mitatu. Kupitia katika kampeni hiyo wananchi wataelimishwa juu ya haki ya kulinda mila na desturi nchini, kupingana na mila potofu kutoka nje ya nchi na utoaji wa msaada...
  11. K

    Je, mshitakiwa anaweza kuomba mahakamani ili kesi yake ihairishwe siku hiyo

    Naomba msaada wa kisheria. Ukiwa kama wewe ni mshitakiwa ambapo kesi yako imeshatajwa mara mbili na ulitokea ikahairishwa hadi muda mwengine ndo ianze kusikilizwa, ndani ya muda huo wewe hautakuwa na muda sababu ya jambo lako binafsi (sio lazima niliweke hadharan), ambalo haliwezi kukubaliwa na...
  12. K

    Mama Samia Legal Aid Campaign

    Katika kuunga Mkono jitihada za Rais Samia Suluhu kujenga Tanzania bora yenye ustawi, Wizara ya Katiba na Sheria imezindua kampeni ya Mama Samia ya msaada wa kisheria kwa lengo la kutoa msaada wa kisheria nchi nzima kwa miaka mitatu. Kampeni hiyo itaelimisha haki ya kulinda mila na desturi...
  13. M

    Chongolo tambua kubeti kupo halali kisheria

    Kuwa mkweli ndugu katibu. Betting ipo halali kisheria. CcM ilipitisha sheria inayoruhusu michezo ya kamari ya kubahatisha. CcM haina sera nzuri za kulinda na kutengeneza ajira mahususi kwa vijana. Hata kama wakimaliza Veta. Sasa unategemea nini? Biashara zinakufa tu. Acha vijana wabeti
  14. Tuko

    Msafara wa Katibu Mkuu wa CCM kusimamisha magari kwa saa tatu ni halali?

    Wanaofahamu sheria naomba watusaidie... Ni viongozi gani wa kitaifa wanatakiwa kusubiriwa kupita na watumiaji wengine wa barabara kustopishwa? Karibu mkuu wa CCM ndugu Chongolo yupo mkoani Morogoro kwa ziara na mikutano. Leo jumapili tarehe 5/2/2023 asubuhi barabara zote za kuingia na kutoka...
  15. Bujibuji Simba Nyamaume

    Je, kukataa uteuzi wa Rais kunaweza kuchukuliwa kama uhaini?

    Kuna baadhi ya kada huapa kiapo cha utii kwa Rais. Je, iwapo ikatokea mtu mwenye kiapo hiki amegomea uteuzi alioteliwa na Rais, je anaweza kuchukuliwa kama mhaini?
  16. I

    DOKEZO Meneja wa NHIF Dodoma na Watumishi waliokiri kuiba fedha hawajachukuliwa hatua za kisheria na kinidhamu

    Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Waziri wa Afya pamoja na Bodi ya Wakurugenzi wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya. Mwaka 2022 zililipotiwa taarifa za Wizi wa fedha za Umma zilizosganywa na Meneja wa Mkoa wa Dodoma pamoja na Watumishi wa Mkoa huo kufanya ubadhirifu wa fedha za...
  17. A

    Likizo siku 60 kisheria imekaaje?

    Toka kuumbwa dunia wiki hii ndo nimesikia mfanyakazi anapewa likizo ya siku 60 (ambayo hakuiomba). Maafisa utumishi/wanasheria tusaidieni sisi Ngumbaru
  18. GENTAMYCINE

    Baada ya Dirisha kufungwa wageni Yanga SC wako 13 badala ya 12 tu wanaotakiwa Kisheria

    Uongozi wa Yanga SC na wana Yanga SC msione Aibu Kutangaza kuwa mnapanga kuachana na Mtukutu Bernard Morrison ili kubaki na Wachezaji 12 Wanaotakiwa. Na taarifa za ndani kabisa kutoka kwa Wanyetishaji wangu wanasema kuwa hata Kocha Mkuu wenu Nabi hamtaki Morrison japo baadhi ya Viongozi mnataka...
  19. Pascal Mayalla

    Madudu haya ya ajabu ya kisheria yaliweza kufanyika vipi wakati tuna Wanasheria?

    Kwa Maslahi ya Taifa Nipashe ya Jumapili ya 15 January 2023 ni swali "hivi kweli sisi Tanzania tuna wanasheria wa ukweli au tuna wasomi tuu wa sheria, waliosomea sheria na kuhitimu?. Kama ni kweli tuna wanasheria, jee wanasheria waliopo ni wapo kweli au ni wapo wapo tuu?!. Kama kweli Tanzania...
  20. BARD AI

    Kupiga Honi ovyo au maeneo ya Shule, Mahakamani na Hospitali ni kosa kisheria

    Dereva anatakiwa kutumia honi tu iwapo ni lazima katika kuwaonya watumiaji wengine wa barabara au kuwajulisha kuwa kuna gari nyingie ipo karibu nao. Sheria ya Usalama Barabarani ya mwaka 1973 Kifungu cha 39 (3) Sura ya 168 inawakataza Madereva kutumia Honi katika #Kusalimia, Kuonesha hisia...
Back
Top Bottom