Kesi inayomkabili Dkt. Abdi Warsame, anayeshutumiwa kwa kujipatia mamilioni ya shilingi kwa njia ya udanganyifu kutoka kwa kampuni ya bima ya afya AAR (sasa Assemble), imesikilizwa kwa siri katika Mahakama ya Kisutu jijini Dar es Salaam.
Waandishi wa habari na umma wamezuiwa kuhudhuria vikao...
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imepanga Agosti 29, 2024 kuanza kusikiliza ushahidi wa kesi ya kuchapisha taarifa za uongo kwa lengo la kupotosha umma, inayomkabili meya wa zamani wa Manispaa ya Ubungo, Boniface Jacob (42) maarufu kama Boni Yai.
Mbali na Jacob, mshtakiwa wa pili katika kesi...
Tangu nimeanza kushabikia mpira sijawahi kuona kesi ya mpira inaperekwa kisutu,
Ingekuwa mambo yanaenda hivyo Feitoto angeenda kisutu.
Kuna TFF na Bodi ya ligi kuu ndio zenye mamlaka kisheria kusimamia kanuni za soka na mambo yote ya mpira, ndio yenye mamlaka ya kuamua haki iwapo kutakuwa na...
Ajali mbaya iliyohusisha gari ya Mwendokasi na Gari binafsi ya kifahari aina ya Range Rover imetokea kwenye njiapanda ya mtaa wa Kisutu na Samora, majeruhi wamesha ondolewa kwenye eneo la tukio. Taarifa zaidi zitakujia.
Ajali nyingi sana zimeshatokea eneo hili. Mamlaka hazichukui hatua yoyote. Sehemu yenye junction na yenye pilikapilika kama hii tena inaingiliana na mwendokasi inakosaje taa za kuongozea? Hicho kioo kikubwa kando ya junction mnadhani kinatosha kwa madereva na watumiaji wa barabara hiyo kuona...
Habari ndugu,
Mara kadhaa nimekuwa nikipita jirani na makaburi haya maarufu jijijini. Nikitazama ninaona eneo ni finyu. Tangu nimelijua jiji, ni miaka karibu arobaini kasoro sasa. Kila kukicha ninasikia watu wakizikwa Kisutu. Je, eneo hilo huwa halijai?
Wale wajuvi na wandewa ninaomba majibu...
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imempandisha kizimbani Salum Hamad (65) kwa kosa la kukutwa na dawa za kulevya aina ya bangi yenye uzito wa gramu 8.42.
Akisoma hati ya mashtaka wakili wa Serikali, Judith Kyamba alidai kuwa Julai 30, 2023 maeneo ya Mbagala Rangi Tatu mshtakiwa alikutwa na dawa...
Rostom Aziz amesema hakuna mwekezaji atawekeza kwenye nchi ambayo kesi ikipelekwa hapo Kisutu kiongozi yoyote anaweza kupiga simu akaielekeza mahakama nini cha kufanya.
Na kwamba mahakama zetu hazina uwezo wa kusikiliza kesi za kimataifa hivyo lazima tuzipeleke huko nje.
Je, kauli hizi...
Huyu mtu anatajwa katika Kila jambo la upigaji, ukiona unataka kumuachia Baraba, tupe Dotto James. Hii kisiasa itaonyesha Nia yako ya dhati ya kupambana na ufisadi, na wananchi watakuwa wamekuwa na Imani sana kisiasa kuhusu wewe.
Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI) imesema majeruhi pekee wa ajali ya basi la mwendokasi iliyotokea tarehe 22/2/2023 Jijini Dar es Salaam, Osam Milanzi ameruhusiwa kutoka Hospitali baada ya afya yake kuimarika.
===
Tunapenda kuuarifu umma kwamba majeruhi pekee wa ajali ya basi la...
Zaidi ya Wanafunzi 1000 kutoka Shule mbalimbali za Sekondari jijini Dar es Salaam wamejitokeza katika tukio la uchangiaji damu wa hiari lililofanyika katika Viwanja vya Shule ya Kisutu ambapo zaidi ya chupa 600 za damu zimepatikana.
Tukio hilo la uchangiaji damu wa hiari limeratibiwa na Shule...
Uongozi wa soko la baba na mama lishe Kisutu jijini Dar es Salaam wamesema Serikali iwashughulikie kundi la mama lishe na baba lishe ambao wanaondoka sokoni hapo na kurejea mitaani kwa kigezo cha kushindwa kulipa ushuru wa shilingi mia tano.
Akizungumza nasi katibu wa soko hilo, Bakari Hussein...
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imewafutia kesi ya Uhujumu Uchumi na kuwaachia huru wafanyakazi watano wa Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba nchini Tanzania (TMDA) akiwemo Mkurugenzi wa Usalama wa Chakula, Raymond Wigenge, waliokuwa wanakabiliwa na shtaka moja la kuisababishia hasara Mamlaka hiyo ya...
Robert Kisena (wa kwanza kulia) akiwa na washtakiwa wenzake
Aliyekuwa Mkurugenzi wa Mradi wa Mabasi yaendayo kasi (UDART) Robert Kisena na wenzake watatu wamesomewa mashtaka 33 katika kesi mbili tofauti kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu ikiwemo Utakatishaji wa fedha na kuongoza genge la...
Mkurugenzi wa Mtandao wa Kijamii wa U turn Collection, Allen Mhina (31) na wenzake wawili wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, kujibu mashtaka matatu yakiwemo ya kuchapisha maudhui yanayokiuka haki na uhuru wa mtu mwingine na kumfedhesha mtu kwa njia ya mtandao (cyber Bullying)...
1. Je, akiachiwa hatosababisha HATARI ya Kiusalama?
2. Je, akiachiwa hatotumika na Maadui wa Mzanzibari Kumdhoofisha Kisiasa?
3. Je, akiachiwa hawezi kutumia kuwepo Kwake Lupango kama Turufu ya kutuomba Watanzania tumpe nchi 2025?
4. Je, akiachiwa sasa Chama chake hakitokuwa kimepata Agenda...
MASJID RAWDHA NA SOKO MJINGA KISUTU
Masjid Rawdha ni huo msikiti kushoto ambao zamani ulikuwa ukijulikana kama Masjid Badawy na hili ndilo jina nililolikuta mimi wakati napata akili.
Kulia ni soko maarufu likijulikana kama Soko Mjinga.
Majengo yote hayo yamebadilika kwa kuvunjwa yale ya zamani...
Leo tarehe 06 October 2021 ndio siku ya kusomwa hukumu ya kesi inayowakabili aliyekua Rais wa klabu ya Simba Evans Aveva na wenzake.
Katika kesi hiyo washtakiwa wanadaiwa kula njama, matumizi mabaya ya ofisi, kughushi na kujipatia fedha kwa njia ya udanganyifu pesa za mauzo ya Emmanuel Okwi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.