Jana mida ya saa sita mchana ofisini kwa Kamishna mkuu wa TRA alipokea taarifa kutoka kwa watumishi mwenzake sio wa mamlaka ila mtumishi wa umma akimueleza kwamba kuna wateja walitaka kumuona, wana maswala yao ya kikodi wakidai kwamba wamewakadiria kodi kubwa kuliko wanavyopaswa kulipa kwa hiyo...
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemuhukumu mkandarasi wa majengo, Alfred Ndeka (60) kifungo cha miaka saba jela baada ya kukutwa na hatia ya kujipatia Sh116 milioni kwa njia ya udanganyifu.
Hukumu hiyo imetolewa leo Jumatano Februari 19 , 2020 na Hakimu mwandamizi, Vicky Mwaikambo baada ya...
Hii ni kwa mujibu wa mdhamini wake alipokuwa anaiambia Mahakama kisa cha Zitto kutokuwepo mahakamani leo ambapo kesi yake ya uchochezi imesomwa tena.
========
Heri Kimbita ambaye Mdhamini wa Zitto Kabwe, ameiambia Mahakama leo kwamba, Zitto Kabwe anaumwa na amelazwa huko Marekani. Madaktari...
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imesema haiwezi kuzuia Meya wa DSM,Isaya Mwita kuondolewa kwenye nafasi yake kwa sababu hakuna uthibitisho wa uwepo wa kikao cha kumuondoa madarakani wala hasara atakayoipata endapo akiondolewa.
Yasema mwombaji hajatoa sababu za msingi za kukidhi vigezo vitatu...
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imewatia hatiani aliyekuwa Rais wa TFF, Jamal Malinzi na aliyekuwa katibu wake, Selestine Mwesigwa na kuwaachia huru aliyekuwa mhasibu wa TFF, Nsiande Mwanga na karani Flora Rauya.
Malinzi ametiwa hatiani kwa kosa la kutengeneza nyaraka za uongo na mwenzake...
Popote alipo hivi sasa Mbunge Halima Mdee naomba atambue kuwa kuelekea Kuumaliza huu mwaka wa 2019 basi amekuwa ni ‘ Shujaa ‘ wangu hasa kwa Majibu yake Kuntu / Mujarab kabisa aliyoyatoa kwa Hakimu juu ya Kuulizwa Kwake kuwa ni lini ataoelewa na Yeye ( Mbunge Halima Mdee ) bila ya Kumchelewesha...
=====
UPDATE:
Hakimu Simba ameshindwa kusoma hukumu Desemba 06, 2019 na hivyo hukumu hiyo itasomwa January 22, 2020
====
Wakuu,
Kesho, Desemba 06, 2019 kutakuwa na hukumu ya mojawapo ya kesi zilizofunguliwa na Jamhuri dhidi ya Mkurugenzi wa Jamii Media Co. Ltd na mwanahisa, Mike William...
Kuna kila dalili kuwa yule mchekeshaji nguli Idris Sultan leo atapandishwa kizimbani katika Mahakama ya Kisutu
Tetesi hizo zimesikika katika viunga vya Central ambapo watu wa karibu wa Idris wamejichimbia kufualia " yajayo" au kifuatacho kama wanavyopenda kusema watangazaji wa luningani...
Kesi namba 457 (Jamhuri v Maxence Melo na mwenzake Micke William) inayohusu kampuni za CUSNA Investment na Ocean Link kudaiwa kukwepa kodi Bandarini Dar na kunyanyasa wafanyakazi wa kitanzania imeendelea leo Juni 01, 2018 katika Mahakama ya Mkazi, Kisutu.
Akisoma shauri hilo Hakimu Godfrey...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.