Habari ndugu,
Mara kadhaa nimekuwa nikipita jirani na makaburi haya maarufu jijijini. Nikitazama ninaona eneo ni finyu. Tangu nimelijua jiji, ni miaka karibu arobaini kasoro sasa. Kila kukicha ninasikia watu wakizikwa Kisutu. Je, eneo hilo huwa halijai?
Wale wajuvi na wandewa ninaomba majibu...