kisutu

  1. Mahakama yamwachia huru Halima Mdee

    MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam, imemuacha huru mbunge Viti Maalumu (asiyekuwa na chama), Halima James Alifukuzwa uanachama wa Chadema, yeye pamoja na wenzake 18, tarehe 27 Novemba mwaka jana. Alituhumiwa kwa makosa usaliti, ikiwamo kushirikiana na Chama Cha Mapinduzi...
  2. KISUTU, DAR: Maxence Melo akutwa bila hatia shtaka la Kikoa. Apewa 'Conditional Discharge' kwenye shtaka la kutotoa ushirikiano kwa Jeshi la Polisi

    Hukumu ya kesi namba 458 ya 2016 ya Jamhuri dhidi ya JamiiForums inatarajiwa kusomwa leo Novemba 17, 2020 katika Mahakama ya Kisutu Katika shauri hili lenye mashtaka mawili, watuhumiwa wanashtakiwa kuendesha mtandao ambao haujasajiliwa kwa kikoa cha DO-TZ Katika shtaka la pili, Polisi ilimtaka...
  3. J

    Mahakama ya Kisutu yaahirisha kesi za Tundu Lissu kupisha Uchaguzi Mkuu

    Mahakama ya Kisutu imeahirisha kesi mbili zinazomkabili Tundu Lissu hadi baada ya uchaguzi mkuu mwezi Novemba. Tundu Lissu anagombea urais wa JMT kupitia CHADEMA. Chanzo: ITV habari Maendeleo hayana vyama! ===== Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imeridhia kesi mbili zinazokabili Mgombea Urais...
  4. Kisutu: Kesi #458 ya Jamhuri dhidi ya JamiiForums, hukumu yapangwa Oktoba 30, 2020

    Kesi namba 458 ya mwaka 2016 (Jamhuri dhidi ya Mkurugenzi wa Jamii Forums na Mwanahisa wa Jamii Media) imeendelea leo, 21 SEPT 2020 asubuhi mbele ya Hakimu Huruma Shaidi katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Jijini Dar. Kutoka Kushoto: Wakili Benedict Inshabakaki, Mwanahisa wa Jamii Media...
  5. Mtu mmoja amefikishwa mbele ya mahakama ya hakimu mkazi kisutu akikabiliwa na makosa manne ikiwemo ya uhujumu uchumi

    Mtu mmoja amefikishwa mbele ya mahakama ya hakimu mkazi kisutu akikabiliwa na makosa manne ikiwemo ya uhujumu uchumi kwa kuisababishia hasara mamlaka ya mapato Tanzania (TRA) ya shilingi milioni 48. Geoffrey Kilimba, amesomewa mashitaka hayo mbele ya hakimu mkazi mfawidhi Godfrey Kusaya na...
  6. Shahidi ashindwa kumleta Tundu Lissu Mahakamani Kisutu, Kesi yaahirishwa hadi tarehe 24 Septemba 2020

    Salaam Wanajamvi, Tundu Lissu ameshindwa kuhudhuria kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu katika kesi ya uchochezi namba 236 ya mwaka 2017 na ile namba 123 ya mwaka 2017 kutokana kuchelewa kukamilisha taratibu za urejesheji fomu ya utuzi wa kugombea urais wa Tanzania. Leo tarehe 26 Agosti...
  7. J

    Lissu awaalika Wananchi wa Dar na mikoa ya jirani kufika Mahakamani Kisutu kwa wingi tarehe 26 kusikiliza shauri lake

    Mgombea urais wa CHADEMA, Mhe. Tundu Lissu amesema atahudhuria mahakama ya Kisutu kujibu kesi inayomkabili siku ya tarehe 26/08/2020 baada ya kuwa amekamilisha matakwa yote ya kisheria kule Tume ya Uchaguzi. Tundu Lisu amesema kesi yake ni ya wazi (open case) hivyo amewaomba Wanachama wa...
  8. J

    Tundu Lissu: Nina kesi 6 Mahakamani nikihusishwa na uchochezi lakini hazininyimi sifa ya kuwa Rais kwa mujibu wa Katiba

    Tundu Lissu mwenyewe amefafanua juu ya kesi zinazomkabili pale Mahakama ya Kisutu na kwamba kesi hizo hazimuondolei sifa ya kupigiwa kura na kuwa Rais wa JMT. Amebainisha kuwa hilo liko wazi kabisa katika katiba ya nchi yetu. Maendeleo hayana vyama!
  9. Kesi dhidi ya JamiiForums, namba 458: Jamhuri yafunga Ushahidi baada ya Tully Mwambapa kutoa Ushahidi. Kesi itaendelea 20 Agosti 2020

    Kesi namba 458 ya mwaka 2016 (Jamhuri dhidi ya Mkurugenzi wa Jamii Forums na Mwanahisa wa Jamii Media) inatajwa tena leo, Julai 30, 2020 majira ya saa 3 asubuhi mbele ya Hakimu Huruma Shaidi katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Jijini Dar Mara ya mwisho iliposikilizwa Juni 25, 2020 Jamhuri...
  10. Kesi ya Tundu Lissu kuendelea kesho Mahakama ya Kisutu, maelfu watarajiwa kuhudhuria

    Hii ndio taarifa inayozunguka dunia nzima kwa sasa, kwamba Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Mhe. Lissu, atatua Mahakamani kisutu kukabiliana na tuhuma zake . Vyombo mbalimbali vya kimataifa vinatarajiwa kuwepo na kurusha dunia nzima . Wote mnakaribishwa.
  11. Walinzi nane na wengine 12 wafikishwa Kisutu wakikabiliwa na kesi ya uhujumu Uchumi

    WALINZI nane wa Kampuni ya Ulinzi ya Security Group ya Afrika (SGA) Tanzania Ltd na wenzao 12 wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na kesi ya uhujumu uchumi yenye mashtaka matatu likiwemo shtaka la wizi na utakatishaji fedha wa zaidi ya Sh bilioni mbili mali ya NMB...
  12. Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu yafuta mashtaka ya kusafirisha dawa za kulevya kwa Mfanyabiashara Mussa Mohamed

    MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imemfutia mashtaka Mfanyabiashara Mussa Mohamed aliyefikishwa mahakamani hapo leo Juni 23, 2020 akikabiliwa na mashtaka ya kusafirisha dawa za kulevya aina ya Heroine. Hatua hiyo imekuja baada ya Wakili wa Serikali,Sylvia Mitanto kudai mbele ya Hakimu Mkazi...
  13. Vigogo wawili wa Bohari ya Dawa (MSD) kufikishwa Mahakamani leo

    Aliyekuwa Mtendaji Mkuu wa Bohari ya Dawa (MSD) Laurian Bwanakunu pamoja na Kaimu Mkurugenzi wa Lojistiki Byekwaso Tabura watafikishwa Mahakama ya Kisutu kujibu mashtaka yanayowakabili. Taarifa iliyotolewa na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) imesema wanakabiliwa na mashtaka...
  14. Mahakama yamtia hatiani Zitto Kabwe katika kesi yake ya Uchochezi. Atakiwa kutotoa matamshi ya Uchochezi kwa mwaka 1. Asema kukata Rufaa

    Leo ikiwa ni siku ya Hukumu ya Mbunge wa Kigoma Mjini, Waandishi wenye Press Cards wamekataliwa kuingia kusikiliza hukumu ya Zitto kwa maelezo kwamba si waandishi wa Mahakama. UPDATE Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo Ndugu Zitto ameachiwa huru kwa sharti kwamba asitoe matamshi ya uchochezi...
  15. Idris Sultan afikishwa katika Mahakama ya Kisutu. Ashtakiwa kwa kumiliki laini ya simu isiyo na jina lake. Aachiwa kwa dhamana

    Mchekeshaji huyu alikuwa akishikiliwa katika Kituo cha Polisi Oysterbay kwa takriban siku 8 akifanyiwa mahojiano. Haijajulikana ni mashtaka gani atasomewa lakini kwa wa mujibu wa Polisi, walikuwa wakimuhoji kwa tuhuma za kujaribu kuharibu ushahidi na makosa mengine ya Kimtandao. Endelea...
  16. Mwandishi wa gazeti la Jamhuri, Angellah Kiwia afikishwa Mahakamani kwa tuhuma za utekaji na kuendesha genge la uhalifu

    Serikali imemfikisha mahakamani mwandishi wa habari wa Gazeti la Jamhuri, Angellah Kiwia (41) na mwenzake wakituhumiwa kwa mashtaka manne, ikiwemo utekaji nyara. Angellah na Mohamed Rushaka (36), wamefikishwa jana katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu mbele ya Hakimu Mkazi Mwandamizi, Rashid...
  17. Dar: Halima Mdee, Bulaya, Jesca Kishoa, Meya Jacob,Henry Kilewo na wengine wafikishwa Mahakama ya Kisutu kwa tuhuma za kufanya fujo gereza la Segerea

    Meya Boniface Jacob ni mmoja kati watu 15 waliofikishwa mahakamani na Jeshi la Polisi hii leo‬. ‪Bado haijajulikana wanashtakiwa kwa kosa gani‬. Wametoka Kituo cha Polisi Stakishari ====== UPDATE: Kwenye hati ya mashtaka inaonekana kesi itakuwa washtakiwa 29. Wabunge watatu wa CHADEMA...
  18. Pongezi kwa mahakama za Tanzania mnatenda haki, na haki imeonekana kutendeka pale Kisutu

    Penye ukweli watanzania lazima tuseme. Pongezi nyingi Sana kwa Mahakama za Tanzania na watumishi wake haswa Mahakimu,waendesha mashtaka,karani na wengineo.Hakika mnastahili kuwa hapo. Pongezi kubwa zaidi na za kipekee ziende kwa Jaji Mkuu wa Tanzania unafanya kazi kubwa sana,sote tunajua kazi...
  19. Mahakama ya Kisutu imewatia hatiani Viongozi wa CHADEMA na kuwahukumu kulipa faini ya Tsh. Milioni 350 au kwenda jela, Wapelekwa Segerea

    Mahakama ya Kisutu leo Machi10, inatarajia kutoa hukumu kwa Viongozi wa CHADEMA wanaokabiliwa na kesi ya uchochezi Mahakamani hapo, Viongozi hao ni pamoja na Mwenyekiti CHADEMA, Freeman Mbowe, pia John Mnyika, Halima Mdee, Ester Bulaya, Ester Matiko, Heche, Msigwa na Mashinji. Katika kesi hiyo...
  20. Yetkin Gen Mehmen, Meneja wa Yapi Merkezi, kampuni inayojenga SGR ahukumiwa Kisutu

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemuhukumu Meneja Uwezeshaji wa Kampuni ya Yapi Merkezi inayojenga reli ya kisasa (SGR), Yetkin Gen Mehmen kulipa faini ya Sh100 milioni au kwenda jela miaka mitatu huku ikitaifisha dola za Marekani 84, 850 alizoshindwa kuzitolea maelezo baada ya kukutwa nazo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…