kitabu

Kitabu is an EPUB reading application for macOS, released in 2012.

View More On Wikipedia.org
  1. Naomba utushirikishe mbinu wanazoweza kutumia waliojiriwa kumiliki nyumba ya kwanza

    Habari, Naitwa Aliko Musa. Ninaishi mkoani Mbeya. Mimi ni mwandishi na mshauri mbobezi kuhusu uwekezaji katika ardhi na majengo. Mejesho kutoka kwa wasomaji wa makala zangu kwenye mtandao wa UWEKEZAJI MAJENGO BLOG umeonyesha wengi hushindwa kumiliki ya kwanza kutokana na sababu mbalimbali...
  2. Alfu lela ulela, kitabu cha nne

    Nitaweka hapa hadithi zote, kutoka vitabu vyote(vinne ) vya Alfu lela ulela. Fuatana nami kwenye safari hii ndefu. Pia vyote unaweza kuvisoma bure ndani ya maktaba app. Tuanze na kitabu cha nne. MAZUNGUMZO YA ALFU LELA ULELA AU SIKU ELFU NA MOJA KIMEFASIRIWA KWA KISWAHILI NA EDWIN W...
  3. Ombi: kesi ya mheshimiwa Mbowe itengenezewe kitabu

    Niungane na wenzangu kuwapongeza wale wote walikuwa wanaleta live updates za kesi hii Naomba sana ikiwezekana waunganishe sehemu moja kutoka pale na kutengeneza kitabu ambacho bila shaka kinaweza kusomwa vizazi na vizazi kwa wale waliofuatilia kesi hii wataungana na Mimi kuwa hata namna ya...
  4. Biblia, kitabu cha ajabu maishani mwangu

    “Mimi ni BWANA; ndilo jina langu; na utukufu wangu sitampa mwingine, wala sitawapa sanamu sifa zangu. Tazama, mambo ya kwanza yamekuwa, nami nayahubiri mambo mapya; kabla hayajatokea nawapasheni habari zake.” Isa. 42:8,9. “Kumbukeni mambo ya zamani za kale; maana mimi ni Mungu, wala hapana...
  5. C

    Nashauri Jen. Venance Mabeyo asome kitabu "Army of None" cha Paul Scharre ili atuondolee aibu ya kubebesha magunia makomandoo kwenye sherehe za uhuru

    Shalom from Jerusalem, Imekuwa ni kawaida sasa kwenye kila sherehe za uhuru wa Tanganyika ama mapinduzi ya Zanzibar jeshi letu la ulinzi la wananchi wa Tanzania kutuonesha siraha na mbinu za kivita. Miongoni mwa mbinu hizo ni makomandoo wetu kubebeshwa mizigo na magunia mazito kuonesha maguvu...
  6. Fungua kitabu na mohamed said TBC Jambo Tanzania

  7. Nahitaji kitabu cha KAMASUTRA nakipata wapi?

    Nakitafuta hicho kitabu mazee na je kimeandikwa na nani, mapenzi yatatuua mwaka huu maana huyu demu ni muarabu sasa nataka niipeperushe vyema bendera ya Tanzania. Naipenda sana nchi yangu na siko tayari kuidhalilisha kwa namna yoyote ile hasa katika nyanja ya papuching. Itakua machozi jasho na...
  8. Lissu: Kila Mtanzania tarehe 1/1/2022, aanze kuandika ukurasa wa kwanza kwenye kitabu chenye kurasa 365

    Kila Mtanzania: Kila mkulima, kila mfugaji, kila mfanya biashara, kila mfanya kazi, kila machinga, kila kiongozi wa dini, kila kiongozi wa siasa, kesho ratehe 1/1/2022, aanze kuandika ukurasa wa kwanza kwenye kitabu chenye kurasa 365!
  9. J

    Fedha za mauzo ya kitabu "Wewe ni Shahidi wa Kristo?" kilichoandikwa na CDF Mabeyo zakarabati Msikiti na Kanisa huko Msata!

    Wakazi wa Msata wamemshukuru Mkuu wa majeshi nchini Jenerali Venance Salvatory Mabeyo kwa kutoa sehemu ya fedha za mauzo ya kitabu chake kiitwacho "Wewe ni Shahidi wa Kristo?" ili kukarabati Msikiti na jengo la Kanisa Katoliki katika eneo lao Naye mkuu wa shule ya jeshi Msata ameahidi kusaidia...
  10. Namshauri Tundu Lissu aandike kitabu

    Heri ya X-Mas wanajamvi. Baada ya kumsikiliza mara nyingi na kuvutiwa na hoja anazoweka mezani, nimeona vema nimshauri Mhe. Tundu Lissu aandike kitabu.
  11. Fahamu kuhusu kitabu cha "The set up" katika mbinu za kufanikiwa na kunasa mwanamke yeyote

    Mtumzi wa kitabu hiki ni Paul Bilzerian ni kitabu ambacho ametoa mbinu za kuwa maarufu, kufanikiwa na kunasa warembo. Kama ni mpenzi wa kusoma vitabu tafuta hiki bado cha moto tufunge mwaka na The Set Up, published 2021.
  12. Nimeamini, kila zama ina kitabu chake. Leo Polepole ni Musiba 'aliyechangamka'. Siasa si mchezo!

    Alipata kusema Rais Mstaafu wa Tanzania wa awamu ya pili Mzee Ali Hassan Mwinyi kuwa 'kila zama ina kitabu chake'. Nami sasa nimeamini baada ya 'kuweka' tafsiri yangu binafsi kwenye msemo huo uliojaa hekima na busara kubwa. Binafsi nimetafsiri kuwa 'kila awamu ina wake wa 'kutrend''. Yaani...
  13. Tumkumbushshe tu ndugu yetu mh pole pole kila kitabu na zama zake

    Akubali tu kama walivyokubali wengine kipindi cha kitabu ambacho yeye alikuwa anasoma na wengine walikosa kukisoma wakakaa pembeni sasa kitabu iki nayeye aangalie tu juu kwenye cover ndio ilivyo.kipindi yeye anasoma na kukielezea kitabu kilichopita kuna watu walikuwa pia wanatamani nawao...
  14. Tumkumhushe tu my pole pole kila kitabu na zama zake

    Akubali tu kama walivyokubali wengine kipindi cha kitabu ambacho yeye alikuwa anasoma na wengine walikosa kukisoma wakakaa pembeni sasa kitabu iki nayeye aangalie tu juu kwenye cover ndio ilivyo.kipindi yeye anasoma na kukielezea kitabu kilichopita kuna watu walikuwa pia wanatamani nawao...
  15. Naomba Msaada anayejua Bookshop ninayoweza kupata kitabu "Urban Geography ",A Global Perspective, 3rd Edition...kimeandikwa na Michael Pacione

    Habari wanaJF, kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nimepita Bookshops kadhaa hapa Dsm nimekosa hicho kitabu,kama kuna mtu anaweza kunisaidia sehemu nikakipata nitashukuru. Asante kwa msaada wako
  16. Uchambuzi wa kitabu: The Third Door (Jinsi watu waliofanikiwa sana walivyoanza safari zao za mafanikio)

    Karibu kwenye uchambuzi wa kitabu kinachoitwa The third door : the wild quest to uncover how the world’s most successful people launched their careers ambacho kimeandikwa na Alex Banayan. Alex alichagua kuwafuatilia watu waliofanikiwa sana kwenye yale wanayofanya kwa lengo la kujua kule...
  17. Kitabu alichoonyesha Freeman Mbowe Mahakamani kina ujumbe gani?

    Wakuu kwanza hongereni kwa neema ya mvua kubwa popote mlipo nchini Tanzania, wacha inyeshe ili tuone panapovuja. Leo kama ilivyo kawaida ya siku za wiki, habari kubwa ni ile ile ya siku zote ya Mh Mbowe kufikishwa Mahakamani na kuteka vyombo vyote vya habari vya dunia, sasa jambo kubwa leo ni...
  18. Binti mweusi zaidi aingia kwenye kitabu cha rekodi cha Guinness

    Mkazi wa Gambele nchini Ethiopia ambaye kwa uasili ni mtu wa Sudan Kusini kutoka kabila la Dinka bi Nyakim Gatwech mwenye umri wa miaka 27 ndio kwa sasa mtu mweusi zaidi duniani. Nyakim anajulikana kwa ngozi yake yenye weusi asilia. Makofi kwake
  19. Fahamu kuhusu Kitabu Cha Malleus Maleficarum Maarufu kama Nyundo ya Wachawi

    FAHAMU KUHUSU KITABU CHA MALLEUS MALEFICARUM MAARUFU KAMA NYUNDO YA WACHAWI Hiki ni kitabu ambacho kiliandikwa na Heinrich Kramer na kuchapishwa kwa mara ya kwanza katika mji wa Speyer nchini Ujerumani mnamo mwaka 1486. Kitabu hicho kimebeba ujumbe kuhusu wachawi ambapo ndani yake kuna...
  20. M

    Yu wapi aliyesigina Kitabu cha Andiko la Katiba huko nyuma?

    Nakumbuka niliwahi kusikia kuna Bwana MMoja aliwahi kuisigina Kitabu cha Katiba huko nyuma. Pia vyombo taasisi na watu mbali mbali walikuja juu na kutaka "anyongwe hadharani". Sijui Kashfa hii iliishia wapi na huyo Bwana yu wapi?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…