Nafikiri wengi wenu mnajua mfalme Constantine na kanisa Katoliki hawakuweka almost vitabu 14 wakati wana assemble Biblia, hii imetunyima mengi kujua kuhusu kwa mfano the book of Enoch, the book of Og lile jitu refu kabisa.
Cha kusikitisha ni kwamba wakati sisi hizo knowledge hatuna wao kwenye...
Nawasalimu kwa jina la jamhuri. Ama baada ya salam sasa niende kwenye mada husika. Kama ilivyozoeleka huko nyuma, swala la uzinduzi wa vitabu hasa kwa viongozi wetu lilikuwa ni la uwazi, ambapo kila mtu bila kujali vyama alilifatilia mwanzo mwisho.
Wakati wa uzinduzi wa kitabu cha hayati mzee...
mimi mutwa mukulu nawakilisha kizazi cha dot com. nikiwa shule ya msingi ilembula njombe kwa mzee nyimbo, nilibahatika kusoma baadhi ya vitabu vya zamani kwani kijiji kile watu walianza kusoma mwaa 1945. nilipata kusoma kitabu cha abunuwasi, kisiwa chenye hazina na jamaa hodari kisiwani...
Kitabu ukikisoma unaweza ukadhani ni fiction hapana ni non fiction hata kama kuna sehemu imefichwafichwa na kupakwa rangi ila ni inspired by true events,kilipotoka kilikuwa the best seller huko israel
Kitabu hiki kilikaa miaka kumi ndipo kikachapishwa kwani mume wa mwanamama Shalva Hessel...
Ndugu wanaJF, unahitaji kuhaririwa habari au ripoti yako kwa Kiingereza au habari, ripoti, dissertation (BA, MA, PhD), paper au translation kutoka Kiswahili kwenda Kiingereza au Kiingereza kwenda Kiswahili kazi nzuri kwa bei nafuu. Kama jibu ni ndiyo, basi tukutane inbox.
Kutoka kwa Yericko
Habari njema kwangu na kwa Watanzania nikuwa Kitabu chetu pendwa cha Ujasusi baada ya kuingia makubaliano na kampuni ya Kindle Publishers ili wauze kitabu kupitia amazon.com miaka mitano iliyopita,
Sasa kimekubalika na kuingizwa kwenye soko la makampuni makubwa sita ya...
Wana ndugu.
Habari zenu? Nimeyasoma ya Sabaya nimesikitika sana Kama ni kweli. Kama ni kweli shutuma zinazosemwa basi watu wa Mkoa wa Kilimanjaro na Arusha tuwape pole. Lakini najiuliza alikuwa anajiamini namna gani?
Je lilikuwa ni kosa la watanzania, Katiba na sheria zilizondani yake...
Kwa wapenzi wote wa riwaya za gwiji, mwenyewe Ben Mtobwa, sasa tunakuletea kitabu chake cha LAZIMA UFE JORAM na NYUMA YA MAPAZIA. Pia katika mlolongo wa vitabu hivyo, utaweza kujipatia nakala mbalimbali zilizoandika na hayati Mtobwa.
Vitabu hivyo ni kama;
1. Mikataba ya kishetani 10,000
2...
Na imani mu wazima wa afya Kama kawaida tupatapo upenyo lazima tulete story kijiweni ili kijiwe kizidi kunoga kwa sisi wazee wa mitandaoni [emoji2956]
Basi kipindi hicho Ni kijana mdogo ndio balehe Imeanza kukomaa vivuzi ndio vinachomoza ukiona tu hata chupi ya beki tatu kidushe lazima kisimame...
Mambo yanaenda kwa kasi sana.
Vinara wa mbwembwe za kisiasa na lugha yenye lafudhi mwanana ndani na nje ya CCM Prof Kabudi na komredi Polepole wako kimya sana.
Jamani muwe mnajitokeza kwenye forum mbalimbali tusije tukawasahau 2025.
Nawatakia Pentecoste yenye baraka.
RAIS mstaafu wa awamu ya pili, Ali Hassan Nwinyi, amebainisha kuwa wakati wa uongozi wake, aliepuka kubishana hadharani
na mtangulizi wake, Hayati Mwalimu Julius Nyerere, akiwaonya viongozi wa sasa kujaribu kupata uhalali wa wanayoyafanya
kwa kutupia lawama viongozi waliopita.
Katika kitabu...
Dar es Salaam. Rais mstaafu wa awamu ya pili, Ali Hassan Mwinyi ametaja baadhi ya viongozi wa vyama vya upinzani waliompa shida katika utawala wake akiwamo Katibu mkuu wa zamani wa CUF na baadaye mwenyekiti wa ACT Wazalendo, Maalim Seif Sharif Hamad.
Wengine ni Mwenyekiti wa TLP, Augustine...
Unajua kuna wakati unaweza ukajiuliza hivi tuna viongozi wa serikali wa namna gani.
Inafahamika wazi kuwa ratiba ya Ligi inapangwa muda mrefu na bila shaka kwa kuzingatia matukio mbalimbali makubwa ya Kitaifa na kwa kanuni za Ligi
Sasa inashangaza Leo, mchezo ukiwa umebakisha masaa mawili tu...
Mama Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania anategewa kuwa mgeni rasmi siku ya uzinduzi wa kitabu Cha maisha ya rais wa awamu ya pili Alhaj Ali Hassan Mwinyi al maaruf Mzee Rukhsa.
========
Rais wa Tanzania Samia Suluhu anatarajia kuwa Mgeni rasmi kesho May 08, 2021...
Nisipokuta sehemu yoyote ile katika Kitabu anachoenda Kukizindua Keshokutwa (Jumamosi tarehe 8 May, 2021) Rais Mstaafu Mzee Mwinyi amekiri kuwa Awamu yake ndiyo 'Baba wa Rushwa' nchini Tanzania sitokinunua na nitakipuuza pia.
Mwenzake Rais Mstaafu (sasa Hayati) Mzee Mkapa nae katika Kitabu...
Je mliokisoma kitabu hicho mliona nini kwenye maandishi yake ? hebu tusimulieni na sisi wengine tuelewe .
====
Inaonekana Spika Ndugai alisoma kitabu cha Animal Farm! Bunge chini ya uongozi wake halikumpa Tundu Lissu nafasi ya kusikilizwa na kujitetea, lakini alihoji akiwa katika Bunge hilo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.