kitabu

Kitabu is an EPUB reading application for macOS, released in 2012.

View More On Wikipedia.org
  1. J

    Dkt. Kikwete: Ninaandika kitabu cha historia yangu ambacho ninaelezea mambo mengi hata yale msiyoyajua!

    Rais mstaafu wa awamu ya 4, Mh. Mrisho Jakaya Kikwete amesema kwa sasa anaandika kitabu cha historia ya maisha yake ambacho kitaelezea mambo aliyoshiriki, aliyoyashuhudia na aliyoyaona katika maisha yake binafsi na yale ya siasa. Kikwete amesema hayo wakati wa mahojiano na mwandishi Salama...
  2. E

    Ni kitabu gani kinachosomwa zaidi kuliko vyote duniani na thamani ya ujumbe wake haijawahi kushuka?

    Habari za leo marafiki. Nimekutana na hili swali mahali; kwamba ni kitabu gani kinachosomwa zaidi kuliko vyote duniani na thamani ya ujumbe wake haijawai kushuka?
  3. Yericko Nyerere

    Mtu baada ya Mtu, Kitabu kipya cha Yericko Nyerere

    Kitabu cha MTU BAADA YA MTU kinahusu mambo ya intelijensia na Usalama, msingi mkuu wa Kitabu hiki kinamuelezea mtu mmoja ambae ni Mtanzania aliyetajwa kwa jina la Kijana wangu, Kitabu kimeeleza chimbuko la Kijana wangu toka kizazi chake cha sita, kimeeleza kuzaliwa kwake kwa maajabu, ktabu...
  4. Makanyaga

    Kitabu hiki hapa: Advanced Engineering Mathematics 10th Edition By ERWIN KREYSZIG (pdf)

    Ni kwa ajili ya watoto wote wanaosoma degree za B.Sc. Engineering.... na B.Sc. (Mathematics,....) MUBARIKIWE NA BWANA
  5. BAK

    Malisa GJ: Kuhusu muswada wa Novatus Igosha

    Juzi nikiwa Dodoma nilimtembelea rafiki yangu ambaye ni afisa mwandamizi serikalini. Akanionesha muswada uitwao FINEST VALOR. Kwanza nikataka kumjua mwandishi. Nikaona ni Novatus Igosha. Japo hatujawahi kuonana lakini nafahamu umahiri wake katika masuala ya diplomasia na siasa za kimataifa. Ni...
  6. Mohamed Said

    Mlima Kilimanjaro kama ulivyosanifiwa katika kitabu ''Rajabu Ibrahim Kirama Jemadari wa Vita kuwa Jemadari wa Uislam''

    MLIMA KILIMANJARO KAMA ULIVYOSANIFIWA KATIKA KITABU ''RAJABU IBRAHIM KIRAMA JEMADARI WA VITA KUWA JEMADARI WA UISLAM'' ''Mlima Kilimanjaro unaonekana muda wote; ikiwa hakuna mawingu; tokea Moshi. Huu ni mfano wa alama ya kueleza kuwa chini ya mlima ndiyo nchi ya Wachagga. Mlima Kilimanjaro...
  7. Mlalamikaji daily

    Natafuta mfadhili wa kunichapia kitabu changu

    Habari wakuu, Nina hadithi nzuri nimeandika ambayo 70% imebase kwenye kisa cha kweli katika maisha Yangu, Kwa yeyote atapenda kunisaidia ili kitabu kitoke tafadhali, tuwasiliane hapa nitakufuata PM Na nitakupa episodes chache Ili ujiridhishe na kazi hiyo... Natanguliza shukrani
  8. NostradamusEstrademe

    Uchaguzi tata duniani uliongia kwenye kitabu cha Guinness

    Uchaguzi huo ulifanyika nchini Liberia mwaka 1927. Ilikuwa ni uchaguzi wa raisi na mshindi akawa Charles D.B. King wa chama cha True whig ambapo alichaguliwa kwa kipindi cha tatu. Alimshinda Thomas J.Faulkner wa chama cha Peoples Party General elections. Uchaguzi huo ulichukuliwa na aliyekuwa...
  9. Mohamed Said

    Maisha ya Rajabu Ibrahim Kirama

    KITABU KIPYA: UISLAM ULIVYOINGIA UCHAGGANI Rajabu Ibrahim Kirama alikuwa mtoto mdogo wakati Wamishionari wanaingia Kilimanjaro baada ya Mkutano wa Berlin mwaka wa 1884 na Wajerumani wakaingia Uchaggani kuanza kutangaza Injili wakati huo jina alilopewa na baba yake lilikuwa Kirama Mboyo. Baba...
  10. Duniahadaa

    Uchaguzi 2020 Kutoka kitabu cha ilani ya CCM: 2010-2015 Uchumi ulikuwa kwa wastani wa 7%, 2015-2020 Uchumi ulikuwa kwa 6.9% Kumbe tumerudi nyuma!

    Ilani ya CCM 2015-2020 Ukurasa wa 7 Ilani ya ccm 2020-2025, Ukurasa wa 10 Hivi hizi kelele zote hasa huwa za nini wakati namba zinaonyesha jamaa na CCM mpya yake wame- drop? Kumbuka hizo ni mukuu kutoka ilani ya CCM yenyewe. NB: Moderator achia uzi ujitegemee, wala usiupotezee maana hizo...
  11. B

    Uchaguzi 2020 Tukiwanyima CCM kura tutaingia kwenye kitabu cha Historia ya Ukombozi

    Tunawasoma watu maarufu waliopingana na uonevu wa wakoloni wakatuletea ukumbozi. Waliofanya hayo walianza kwenye sanduku la kura 1958 na 1961 wakaingia ikulu na mzungu akafungasha virago. Toka 1961 Hadi leo kwanini tunawakumbuka na kuwashukuru? Ni kwa sababu watu waliamua kutotawaliwa, kuminywa...
  12. Sky Eclat

    Kwa faida ya wengi, Tundu Lissu aandike kitabu kuhusu harakati na changamoto anazopitia katika Uchaguzi huu

    Ameweka kubadilisha sura ya siasa katika nchi yetu. Upinzani anauonyesha unelectable hamasa hata kwa wale walikata tamaa ya kupiga kura, hasa kundi la vijana. Haiku’s na maana tena ya kuwa na upinzani kwakua upinzani ulisha minywa mpaka kupoteza nguvu. Lissu amerudisha hamasa katika siasa za...
  13. Tripo9

    Msaada jamani ku download kitabu kinachouzwa mtandaoni lakini mi niki download kwa free

    Kitabu kinaitwa THE LOST BOOK OF HERBAL REMEDIES ( by Claude Davis and Dr. Nicole Apelian) Dah nakihitaji Sana. Wataalam wa ku cheza na kuchekecha mambo hamuwezi mkanisaidia aisee ni fanye free download?!! Asante sana 🙏🙏
  14. S

    FURSA:Waandishi wa vitabu anzeni kuandaa kitabu hiki:The Decline and Fall of CCM

    Naomba nitumie nafasi kuwashitua waandishi maarufu wa vitabu duniani kuwa kuna fursa inakuja na hii si nyingine bali ni ya kuandika kitabu kinachoweza kuitwa: The Decline and Fall of Chama Cha Mapinduzi. Hoja yangu hapa ni kuwa,vitabu vinaweza kuandikwa zaidi ya kimoja,ila ataekuwa wa kwanza...
  15. N'yadikwa

    Walioandika Kitabu cha Biography ya Hayati Baba wa Taifa wamekosoa sana. Sidhani kama hiki kitabu kilihaririwa

    Mathalani ukisoma Ukurasa wa 70 na 71 wa Volume 1 kilichoandikwa na Saida kuna statements ngumu ambazo nawasihi mkasome wenyewe na nisingependa kuziweka hapa kwa sababu ya masuala ya Haki Miliki nk. Kwa kweli nimekatishwa tamaa kwa sababu kitabu hakitasaidia kupasisha historia nzuri ya waasisi...
  16. Sam Gidori

    Kitabu kipya cha Obama kinatarajiwa kutoka Novemba 17, nakala milioni 3 zimeagizwa kuchapishwa

    Kitabu cha Rais wa zamani wa Marekani kitakuwa mitaani siku chache baada ya uchaguzi wa Novemba 3, kwa mujibu wa taarifa ya Kampuni ya Penguin Random House mchapishaji wa kitabu hicho, iliyotolewa siku ya Alhamisi. Kitabu hicho chenye kurasa 768 kilichopewa jina "A Promised Land" ama Nchi ya...
  17. Civilian Coin

    Kitabu Cha Maisha ya Don Nalimison Kiko njiani!!!

  18. A

    Nani ashawahi kukisoma hiki kitabu cha picha za kiswahili kinaitwa HATIA? Tukumbushane

    Ni kitabu cha hadithi kimeandikwa kwa kiswahili, jina la hicho kitabu cha hadithi kinaitwa "HATIA"..actually hicho kitabu cha hadithi kiko kwenye mfumo wa picha za katuni za watu, zilizochorwa vizuri wakiongea Atakaeniambia jinsi story ya hii hadithi ya HATIA ilivyo na jinsi ilivoisha, ntajua...
  19. Kichuguu

    Umewahi Kusoma kitabu hiki?

    Ninafikiria kununu kitabu hiki ila bei yake ni kubwa sana kuliko vitabu vya aina hiyo ambavyo huwa ninanunua. Bei yake inafikia karibu $200 wakati nimeshanunua na kusoma vitabu kama vya Mandela, Reagan, Churchill, Thatcher. Kenyatta, MLK, JFK, na vingine vingi vinavyohusu viongozi mbalimbali kwa...
  20. Kennedy

    Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli achukua fomu ya kuwania nafasi ya Urais wa Tanzania Ofisi za NEC

    Kumekucha salama, Leo tarehe 06.08.2020 mgombea nafasi ya kazi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kwa Chama cha Mapinduzi, atachukua fomu kwenye ofisi ya NEC makao makuu ya Dodoma. Baada ya kuchukua fomu ataongea na wananchi pia wanachama wa CCM kwenye ukumbi wa White House...
Back
Top Bottom