Rais wa Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC), Mhashamu Askofu Gervas Nyaisonga, amesema kitendo Hayati Benjamin Mkapa kukiri mambo aliyowahi kukosea wakati wa uongozi wake akiwa Mkuu wa nchi katika kitabu chake cha ‘My life My Purpose’ ni ishara ya unyenyekevu na kumpenda Mungu.
Askofu...
Naomba wale wanaofahamu masuala ya protokali kwenye misiba ya viongozi wanifahamishe au kama raia yeyote anaweza kuja na kalamu yake ya cello na kuvamia kitabu cha maombolezo na kusaini.
Ni vema hili likawekwa wazi ili na sisi raia wengine tuchukue kalamu zetu twende tukasaini.
Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Jakaya Kikwete alipowasili eneo la msiba nyumbani kwa marehemu mzee Gabriel Ndugulile Ferry Kigamboni Jijini Dar es salaam kutoa pole kwa familia kwa msiba huo.
Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Jakaya Kikwete alipowasili...
Kuna aina mbili za wanadamu, wanaochepuka na wasiochepuka. Sio lengo la andiko hili kuelezea kwanini wanachepuka. Humu nimeelezea tu mbinu za kuendesha maisha ya kuchepuka kwa tahadhari
Kitabu hiki ni kwa ajili yako wewe ambaye umeshajijua kuwa upo kwenye kundi la wanaochepuka, na tayari...
Kuna aina mbili za wanadamu, wanaochepuka na wasiochepuka. Sio lengo la andiko hili kuelezea kwanini wanachepuka. Humu nimeelezea tu mbinu za kuendesha maisha ya kuchepuka kwa tahadhari.
Kitabu hiki ni kwa ajili yako wewe ambaye umeshajijua kuwa upo kwenye kundi la wanaochepuka, na tayari...
Diwani machachari wa Chadema Arumeru ambaye aliandika kitabu kinachoelezea mafanikio ya Rais Magufuli ameachana na Chadema na kujiunga na NCCR Mageuzi.
Amechukizwa na siasa chafu za kuponda maendeleo zinazofanywa na Chadema.
Huyu Diwani Mrembo kuliko wote huko Arumeru na ni mwanathiolojia...
Rais Trump na kanisa
Haki miliki ya pichaREUTERSImage captionRais Trump alikosolewa kwa kupiga picha akiwa amebeba biblia
Rais Trump hana kanisa maalum analohusishwa nalo lakini uhudhuria ibada ya kanisa mara moja moja kukiwa na hafla maalum.
Amekuwa akitumia ishara na matamshi ya kidini...
Kitabu. My Life
Mwandishi.Bill clinton
Mchambuzi.Nanyaro EJ
Dibaji
Mwandishi anasema kuwa alipokuwa kijana mdogo akiwa na matamanio makubwa ya kimaisha,alisoma kitabu fulani ambacho kimekuwa msaada mkubwa kwenye maisha yake,na ambacho kilimsaidia kuwa alivo leo.Hiki kitabu kinaitwa *How to get...
Je! Naweza kupata kitabu cha Alfu lela U lela mwenye nacho anaweza akanitumia kwa njia ya PDF file na kusoma kwa njia hiyo!
Ambaye hajanielewa ntamwelewesha Asanteni
Kabudi huyuhuyu jameni ambaye tarehe 21 may pale dodoma alimsifia JPM kwa kumpa ujasiri wa kutovaa barakoa leo kaonekana katinga barakoa na mbaya zaidi akipokea kitabu cha kumuhusu Nyerere kutoka kwa beberu wakati ilitakiwa iwe vice versa...dah kwa kweli hii awamu ni kituko.
Jaman nani anakumbuka kile kitabu tulikuwa tunasoma kwa zamu O level Kiswahili.
Nchi ya kusadikika kitabu kile kilikuwa tafakarishi sana ila embu tukichambuwe na nyakati tunazipita hakina mantiki kweli?
Karibuni
KITABU CHA RAIS MSTAAFU WA AWAMU YA TATU BENJAMIN WILLIAM MKAPA.
Nimefurahi sana kumaliza kukisoma kitabu cha Mheshimiwa Rais wa awamu ya tatu ya uongozi wa Taifa letu la Tanzania Mzee Benjamin William Mkapa: My Life, My Purpose; A Tanzanian President Remembers.
Nilitamani sana kukisoma kitabu...
Mwanzo 11 mstari wa 4
Usitake kuniambieni wajenzi wa Babel tower ni wajinga kiasi icho kwamba tujenge mnara ufike mbinguni ambapo ni juu sasa kama dunia ni duara sasa juu wapi 'lakin ukiniambia walitaka waifikie ile dome (filament) wavunje waingine mbinguni kitu kina tiki na kina sound sana...
Kila mtu huwa anakuwa na ndoto kubwa ya maisha yake katika hatua fulani ya maisha.
Wengi hupata ndoto hizi kati ya miaka 7 mpaka kumi.
Muulize mtoto yeyote kwenye umri huo na atakuambia wazi anataka kuwa nani akiwa mkubwa.
Lakini mfuate mtoto huyo huyo miaka 10 baadaye na muulize anataka kuwa...
The Voynich Code - The Worlds Most Mysterious Manuscript - The Secrets of Nature
Ni kitendawili cha muda wa taktiban miaka 600
Mnamo 1912, muuzaji wa mashirika ya kale aitwae Wilfrid Voynich aligundua nakala ya kushangaza. Haikuwa imeangaziwa au imeangaziwa vizuri, kama maandishi...
Author Dean Koontz eerily predicted the coronavirus outbreak in his 1981 thriller "The Eyes of Darkness."
The fictional novel tells the story of a Chinese military lab that creates a new virus to potentially use as a biological weapon during wartime. The lab is ironically located in Wuhan...
Watanzania wengi wanataka kuuza vitu masoko na maduka ya mitandaoni kama Amazon, Ebay n.k
Yericko Nyerere, huwa unalipwaje ukiuza kitabu chako cha ujasusi wa kiuchumi kwenye duka la Mtandaoni la Amazon; yaani pesa zako huwa unazipataje, kwa Paypal au njia ipi mteja aki-click na kununua?
Sababu...
Ukituhumiwa kuua mtu, (au kumnyang'anya mtu haki yake ya kuishi) tunategemea utafikishwa mahakamani na kujibu mashataka ya kosa la kuua. Inawezekana kabisa, hukumu ya kesi yako ikawa ni kuachiwa huru kwa kuwa katika ushahidi uliotolewa ulionyesha labda ulisingiziwa, au uliua kwa kujitetea maisha...
(Pichani kitabu kikianza kupatikana kwa Wabunge, Dodoma)
UPDATE:
Kuna watu wanaulizia jinsi ya kupata nakala ya kitabu cha "Nyuma ya Pazia" cha Balozi Dkt. Wilbrod Slaa. Sasa kinaweza kupatikana baadhi ya mikoa:
Mbeya Piga Simu: 0759829015
Arusha Piga Simu: 0716505921
Dodoma Piga Simu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.