Kwa kweli hichi kipindi kimekua ni cha kuvutia sana tokea nilipoanza kukifuatilia, ndugu Ismail Jussa amekua akichambua vitabu mbali mbali vya kisiasa, kuna mengi ya kujifunza ndani yake.
Erythrocyte TODAYS Shocker Mohamed Said Sky Eclat Marco Polo johnthebaptist bagamoyo Missile of the Nation...
UZINDUZI WA "MWANAMKE MWANAMAPINDUZI" GOLDEN TULIP
Ikiwa ulipitwa na yaliyoelezwa kuhusu kitabu hiki:
Hiki ni kitabu kinachohusu maisha ya Biubwa Amour Zahor kilichoandikwa na Zuhura Yunus.
Kitabu hiki kinahusu maisha yake Biubwa akiwa msichana mdogo wa Kiarabu katika mapinduzi ya Zanzibar ya...
MWANAMKE MWANAMAPINDUZI
Hiki ni kitabu kinachohusu maisha ya Biubwa Amour Zahor kilichoandikwa na Zuhura Yunus.
Kitabu hiki kinahusu maisha yake Bi. Ubwa akiwa msichana mdogKio wa Kiarabu katika mapinduzi ya Zanzibar ya mwaka wa 1964.
Nilipoanza kukisoma kitabu ghafla ikanijia filamu fupi...
Jana Mhe .Rais Samia alizindua Kitabu cha muongozo kwa Majaji na Mahakimu kinachohusu jinsi ya utoaji wa Haki za wanawake na watoto ktk kesi za mirathi ndoa na talaka n.k.
Sisi wananchi tunashukuru kwa hatua hiyo lakini tumeshangaa sana kuona kitabu hicho kuandikwa kwa lugha ya kizungu wakati...
Habari wandugu. Nimemaliza kusoma kitabu cha muandishi Euphrase Kezilahabi; Mzingile. Naona kama nimekielewa nusunusu. Kama kuna aliyewahi kukisoma naomba anielezee kinahusu nini hasa.
13 October 2021
Chato, Geita
Tanzania
KITABU CHA NYERERE CHAFICHWA / MONGELA AFUNGUKA SABABU ZA KUFICHWA KITABU HICHO
Gertrude Mongella akemea siasa za ubaguzi zinazoendekezwa na jamii iwe kisiasa, kijamii, kijinsia, rika n.k
Ametoa hotuba moja ikigusia mfano kuwa mwanamke ni anasifa zote...
Kama sheria na taratibu zinaruhusu wafungwa kuandika kitabu, nakushauri utumie muda wako wa kuwa kifungoni uandike kitabu kitachoeleza kila kitu yakiwemo yale ambayo hukuyasema mahakamani (kama yapo) ili usaidie wenzako yasiwakute yaliyowakuta.
Kwasababu umeshaenda jela(unless unataka kukata...
Rafiki yangu mpendwa,
Huwezi kutoka nyumbani kwako na kwenda popote kama huna mwongozo unaoufuata.
Hata kama haujauandika mahali, unajua kabisa utapita wapi na wapi ndiyo ufike kule unakotaka.
Na hata unapokuwa njiani na kukutana na njia nyingine, hutahangaika nazo kwa sababu unajua njia...
Kitabu chake Mashonda tifrere Mwanamuziki wa kike Nchini Marekani, kimejikita zaidi katika changamoto za ndoa na jinsi ya kutuliza nafsi unapopewa Talaka ndani ya ndoa. Nimetambulisha video yenye sura yàke. Kitabu Ni Kama unavyoona kava. Nitakiwasilisha TANZANIA.
Nimeingia ofisi nyingi za ma-RPC na OCD hapa nchini, kitu utakachokiona kwa haraka na uwazi kabisa juu ya meza zao ni Ilani ya CCM. PGO ambayo ndiyo inayotoa mwongozo wa utendaji wao wa kazi za kila siku utaiona kwenye shelf.
Ni kwa bahati mbaya au kutokujua kwa viongozi hawa wa askari kuwa...
kitabu hiki kiliandikwa mwaka 1907 na JH Patterson kikiitwa The man-eaters of Tsavo. kilitafsiriwa kwa kiswahili miaka ya 1960's kikiitwa Simba wa Tsavo. Unaweza kukisoma bure ndani ya Maktaba app(by pictuss), app hiyo ipo playstore.
SURA YA I
KUFIKA KWANGU TSAVO
SIKU HIYO, ikapata...
"THE TORCH ON KILIMANJARO" KITABU CHA WATOTO KUHUSU HISTORIA YA BABA WA TAIFA
Miujiza ya Mwenyezi Mungu haiishi.
Maofisa kutoka CCM Dodoma walikuwa wamemaliza mazungumzo na mimi kuhusu mengi katika historia ya Mwalimu Nyerere, TANU na mambo mengi yaliyotokea wakati wa kupigania uhuru wa...
Pata vitabu 2 kikiwemo kitabu cha FIKIRI NA UTAJIRIKE (THINK & GROW RICH-SWAHILI EDITION) kwa shilingi elfu 10 tu,
Kitabu cha 2 ni, MICHANGANUO YA BIASHARA NA UJASIRIAMALI, Offa hii haihusishi nakala ngumu Za vitabu hivyo.
JINSI YA KUVIPATA
Fikiri na Utajirike utakipakua kwenye mtandao wa...
An objective and fair electoral commission, which is acceptable to all parties is an essential pillar in the evolving democratic culture on the African continent. The composition of the electoral commission is often disputed in African countries, yet someone must appoint them. Then you must have...
Hello guys,
Nauza kitabu hicho kimeandikwa kwa koswahili kabisa..,njoo inbox (Bei Ni tshs 5000 tu) ujipatie., Na weekend yako iwe mujarabu huku ukijikinga na COVID 19
Pata dondoo kidogo hapo
SEHEMU YA KWANZA
Taharuki kubwa ilitanda
katika uwanja wa ndege wa
kimataifa wa Julius Nyerere...
Hayati Magufuli naona kaangukia pua tena
Somo la historia ya Tanzania lasitishwa
Katibu mkuu wizara ya elimu amesema syllabus hiyo imesitishwa haraka na haitafundishwa kokote.
Source ITV news
==============
Waziri wa elimu Prof. Ndalichako amesitisha maboresho ya mtaala wa somo historia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.