kitabu

Kitabu is an EPUB reading application for macOS, released in 2012.

View More On Wikipedia.org
  1. D

    Funua kitabu na Ismail Jussa

    Kwa kweli hichi kipindi kimekua ni cha kuvutia sana tokea nilipoanza kukifuatilia, ndugu Ismail Jussa amekua akichambua vitabu mbali mbali vya kisiasa, kuna mengi ya kujifunza ndani yake. Erythrocyte TODAYS Shocker Mohamed Said Sky Eclat Marco Polo johnthebaptist bagamoyo Missile of the Nation...
  2. Uzinduzi wa kitabu ''Mwanamke Mwanamapinduzi''

    UZINDUZI WA "MWANAMKE MWANAMAPINDUZI" GOLDEN TULIP Ikiwa ulipitwa na yaliyoelezwa kuhusu kitabu hiki: Hiki ni kitabu kinachohusu maisha ya Biubwa Amour Zahor kilichoandikwa na Zuhura Yunus. Kitabu hiki kinahusu maisha yake Biubwa akiwa msichana mdogo wa Kiarabu katika mapinduzi ya Zanzibar ya...
  3. Kitabu kimpya: Mwanamke Mwanamapinduzi

    MWANAMKE MWANAMAPINDUZI Hiki ni kitabu kinachohusu maisha ya Biubwa Amour Zahor kilichoandikwa na Zuhura Yunus. Kitabu hiki kinahusu maisha yake Bi. Ubwa akiwa msichana mdogKio wa Kiarabu katika mapinduzi ya Zanzibar ya mwaka wa 1964. Nilipoanza kukisoma kitabu ghafla ikanijia filamu fupi...
  4. Z

    Kwanini kitabu cha Muongozo wa Utoaji Haki za Wanawake kimeandikwa kwa Kiingereza

    Jana Mhe .Rais Samia alizindua Kitabu cha muongozo kwa Majaji na Mahakimu kinachohusu jinsi ya utoaji wa Haki za wanawake na watoto ktk kesi za mirathi ndoa na talaka n.k. Sisi wananchi tunashukuru kwa hatua hiyo lakini tumeshangaa sana kuona kitabu hicho kuandikwa kwa lugha ya kizungu wakati...
  5. Kitabu Mzingile cha Kezilahabi kinahusu nini hasa?

    Habari wandugu. Nimemaliza kusoma kitabu cha muandishi Euphrase Kezilahabi; Mzingile. Naona kama nimekielewa nusunusu. Kama kuna aliyewahi kukisoma naomba anielezee kinahusu nini hasa.
  6. B

    Gertrude Mongella: Kitabu cha Mwalimu Nyerere kilifichwa

    13 October 2021 Chato, Geita Tanzania KITABU CHA NYERERE CHAFICHWA / MONGELA AFUNGUKA SABABU ZA KUFICHWA KITABU HICHO Gertrude Mongella akemea siasa za ubaguzi zinazoendekezwa na jamii iwe kisiasa, kijamii, kijinsia, rika n.k Ametoa hotuba moja ikigusia mfano kuwa mwanamke ni anasifa zote...
  7. S

    Ushauri: Sabaya ukiwa jela andika kitabu kitachosaidia wateule wenzako yasiwakute yaliyokukuta

    Kama sheria na taratibu zinaruhusu wafungwa kuandika kitabu, nakushauri utumie muda wako wa kuwa kifungoni uandike kitabu kitachoeleza kila kitu yakiwemo yale ambayo hukuyasema mahakamani (kama yapo) ili usaidie wenzako yasiwakute yaliyowakuta. Kwasababu umeshaenda jela(unless unataka kukata...
  8. Kitabu Kipya: Mwongozo wa Maisha ya Mafanikio

    Rafiki yangu mpendwa, Huwezi kutoka nyumbani kwako na kwenda popote kama huna mwongozo unaoufuata. Hata kama haujauandika mahali, unajua kabisa utapita wapi na wapi ndiyo ufike kule unakotaka. Na hata unapokuwa njiani na kukutana na njia nyingine, hutahangaika nazo kwa sababu unajua njia...
  9. Mwanamuziki Mashonda (Marekani) ndio Mwanaharakati wa kwanza kutoa Kitabu Cha Talaka baada ndoa.Na kuachika, leo Ni Mpweke.

    Kitabu chake Mashonda tifrere Mwanamuziki wa kike Nchini Marekani, kimejikita zaidi katika changamoto za ndoa na jinsi ya kutuliza nafsi unapopewa Talaka ndani ya ndoa. Nimetambulisha video yenye sura yàke. Kitabu Ni Kama unavyoona kava. Nitakiwasilisha TANZANIA.
  10. Kwa nini ofisi zote za ma-RPC na OCD mezani kuna kitabu cha Ilani ya CCM na hakuna PGO?

    Nimeingia ofisi nyingi za ma-RPC na OCD hapa nchini, kitu utakachokiona kwa haraka na uwazi kabisa juu ya meza zao ni Ilani ya CCM. PGO ambayo ndiyo inayotoa mwongozo wa utendaji wao wa kazi za kila siku utaiona kwenye shelf. Ni kwa bahati mbaya au kutokujua kwa viongozi hawa wa askari kuwa...
  11. Kitabu alichoonesha Freeman Mbowe alipokuwa anaingia Mahakamani kina ujumbe gani?

    Mwenye kufahamu atujuze ili twende sawa
  12. Kitabu: Simba wa Tsavo

    kitabu hiki kiliandikwa mwaka 1907 na JH Patterson kikiitwa The man-eaters of Tsavo. kilitafsiriwa kwa kiswahili miaka ya 1960's kikiitwa Simba wa Tsavo. Unaweza kukisoma bure ndani ya Maktaba app(by pictuss), app hiyo ipo playstore. SURA YA I KUFIKA KWANGU TSAVO SIKU HIYO, ikapata...
  13. The Torch on Kilimanjaro: kitabu cha watoto kuhusu Historia ya Baba wa Taifa

    "THE TORCH ON KILIMANJARO" KITABU CHA WATOTO KUHUSU HISTORIA YA BABA WA TAIFA Miujiza ya Mwenyezi Mungu haiishi. Maofisa kutoka CCM Dodoma walikuwa wamemaliza mazungumzo na mimi kuhusu mengi katika historia ya Mwalimu Nyerere, TANU na mambo mengi yaliyotokea wakati wa kupigania uhuru wa...
  14. P

    INAUZWA Ofa ya kitabu cha Think & Grow Rich toleo la Kiswahili 2021

    Pata vitabu 2 kikiwemo kitabu cha FIKIRI NA UTAJIRIKE (THINK & GROW RICH-SWAHILI EDITION) kwa shilingi elfu 10 tu, Kitabu cha 2 ni, MICHANGANUO YA BIASHARA NA UJASIRIAMALI, Offa hii haihusishi nakala ngumu Za vitabu hivyo. JINSI YA KUVIPATA Fikiri na Utajirike utakipakua kwenye mtandao wa...
  15. INAUZWA Kwa wanaotaka kufanya biashara ya madini, kitabu kinapatikana

  16. Jenerali Ulimwengu katuandikia kitabu- Rai ya Jenerali

    Judge Joseph Sinde Warioba at the launch of the RAI YA JENERALI book on 06. 08. 2021.
  17. Hayati Mkapa hakuhoji uhalali wa tume ya uchaguzi kwenye kitabu chake. Wanaomnukuu hivyo wanapotosha

    An objective and fair electoral commission, which is acceptable to all parties is an essential pillar in the evolving democratic culture on the African continent. The composition of the electoral commission is often disputed in African countries, yet someone must appoint them. Then you must have...
  18. Niccolo Machiavelli na kitabu chake The Prince (Of principality). Kwa kiswahili; kuhusu Uongozi. Tusome na kujadili

    KIONGOZI (nimeonelea ndiyo iwe title) Sasa kitabu hiki kinapatikana ndani ya maktaba app (by pictuss). Inapatikana playstore. Kimeandikwa na: Niccolo Machiaveli, 1513. Kimetafsiriwa na: Pictuss, 2021. Email: Pictuspublishers@gmail.com. ©Pictuss2021 Haki zote zimehifadhiwa. Hakuna sehemu...
  19. B

    Nauza kitabu Cha UJASUSI yanayoendelea kuhusu COVID 19

    Hello guys, Nauza kitabu hicho kimeandikwa kwa koswahili kabisa..,njoo inbox (Bei Ni tshs 5000 tu) ujipatie., Na weekend yako iwe mujarabu huku ukijikinga na COVID 19 Pata dondoo kidogo hapo SEHEMU YA KWANZA Taharuki kubwa ilitanda katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere...
  20. Somo la 'Historia ya Tanzania' alilotaka Magufuli lasitishwa

    Hayati Magufuli naona kaangukia pua tena Somo la historia ya Tanzania lasitishwa Katibu mkuu wizara ya elimu amesema syllabus hiyo imesitishwa haraka na haitafundishwa kokote. Source ITV news ============== Waziri wa elimu Prof. Ndalichako amesitisha maboresho ya mtaala wa somo historia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…