kitabu

Kitabu is an EPUB reading application for macOS, released in 2012.

View More On Wikipedia.org
  1. Kitabu cha Mtu mweusi (Mwafrika)

    Habari wakuu natumai ni wazima leo nawaletea nakala hii msome ,mtafakari na mjitathmini kama waafrica wenzangu,kitabu cha BLACK BOOK OF ATUM,kinauzwa online ila nimewarahisishia ,ukiingia kwenye blog ya spevot.blogspot.com utakisoma kwa kiswahili na kingereza,na hicho ni BLACK BOOK OF ATUM II /...
  2. Nauza kitabu hiki kwa sailing 500,000/- tu soft copy!

    Kina uwezo mkubwa kupindukia hasa kwa wale watu wa treasury finder Siri nyingi duniani zimefichwa kwenye vitabu, tusome vitabu.
  3. Shetani atakapochapisha Kitabu chake, utapeli wa dini utakoma, kila lawama kwake, yeye kimya tu!

    Vitabu vya dini kubwa zote vinamtaja shetani. Na kumsema mabaya yake. Cha ajabu shetani yeye amekaa kimya tu. Nimeota muda si mrefu shetani na yeye anashusha kitabu chake mapangoni.. kama waislamu wanavyodai Quran ilivyoshushwa ama kama Musa alivyopewa amri kumi pale mlima sinai. Kitabu...
  4. Tashwishwi ya Biblia kweli ni kitabu cha Mungu?

    BAADHI YA MISTARI YA BIBLIA 2 samweli 1:18 (Kama ilivyoandikwa katika kitabu Cha YASHARI), akasema , wana wa Yuda wafundishwe haya. Yoshua 10:13 Ndipo jua likasimama, na mwezi ukatulia, Hata hilo taifa lilipokuwa limekwisha jipatiliza juu ya adui zao. Hayo, je! Hayakuandikwa ndani ya kitabu...
  5. Nimepatwa na maajabu duniani baada ya kununua na kusoma kitabu fulani

    Jamani wapendwa nasumbuka usiku na mchana, mimi (naishi ulaya lakini mkenya) kuna kitabu moja nilinunua (amozon.com) nikafanya ilivyo andikwa, sio kitabu kibaya (nitapost mkione) lakini yanayo nikumba kwa sasa ni makubwa. Hio kitabu nilinunua mwezi 01. 2024. Baada ya kusoma na kufuata maagizo...
  6. Kitabu cha Enock (Henoko)

    Ukisoma kitabu cha Enoko, anasimulia kuanzia mwanzo mpaka mwisho, jinsi alivyotokewa na malaika wawili, na kama ilivyo kwa malaika wote wanapowatokea wanadamu huanza na neno “Usiogope”. Kwa nini? Ni kwa sababu malaika ana muonekano wa kutisha, kwa binadamu, huwezi kuwa kawaida tu unapomuona...
  7. U

    Ushahidi Mungu alimbariki Yakubu na kizazi chake kuwa miongoni mwa watu wema , waliokakabidhiwa ukuhani, kitabu , uongozi na neema kubwa

    Wadau hamjamboni nyote? Nimeweka nukuu za aya mbili kwa lugha ya kiswahili na kiingereza kwa ajili ya rejea yenu. ✓Tulimbariki kwa Isaka kama mwana na Yakobo kama mjukuu, kama fadhila ya ziada, tukiwafanya wote kuwa waadilifu. Na tukawafanya viongozi kwa kuongoa kwa amri yetu, na tukawapa...
  8. U

    Naomba nakala ya kitabu cha The Jews and their Lies

    Wadau hamjamboni nyote? Kichwa cha habari chahusika hapo juu Niwatakie usiku mwema
  9. D

    Uzinduzi Kitabu cha Edward M. Sokoine: Tafakuri ya Bollen Ngetti

    C&P from Face Book. THE RIGHT THING AT THE WRONG PEOPLE, IDIOT! Na Bollen Ngetti 0748 092092 KUNRADHI kwa kuteua kichwa cha andiko hili kuwa katika lugha ya kikoloni. Shabaha ni namna tu ya kufikisha ujumbe uliokusudiwa. Naam! Nilikuwa miongoni mwa mamia ya watu waliohudhuria uzinduzi wa...
  10. Sijakisoma kitabu kihusucho Hayati Sokoine, ila nina mashaka na usemi kuwa ndiye mwanzilishi wa wanawake jeshini

    Jeshi la kujenga taifa lilianzishwa mwaka 1964 chini ya waisraeli pale Temeke ilipo kambi ya Twalipo, na kikundi cha kwanza kilikuwa na askari wanawake na wanaume na ndicho kipindi hicho wanawake walianza pia kuingizwa jeshi la wananchi wa Tanzania.
  11. Rais Samia akizindua Kitabu cha Edward Moringe Sokoine (Maisha Na Uongozi Wake) JNICC - Dar, 30/09/2024

    https://www.youtube.com/watch?v=s1K5o6UUZqU Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Samia Suluhu Hassan akizindua Kitabu cha Edward Moringe Sokoine (Maisha na Uongozi Wake) kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere Dar es Salaam, leo tarehe 30 Septemba, 2024. Rais wa Jamhuri ya...
  12. Kwanini Kitabu cha Enoki kiliondolewa?

    Kitabu cha Enoki (The Book of Enoch) ni maandiko ya kale ya kidini ya Kiyahudi yanayohusishwa na Enoki, ambaye alikuwa babu wa Noa. Ingawa si sehemu ya maandiko rasmi kwa dini nyingi za Kiyahudi na Kikristo, kitabu hiki kimekuwa na ushawishi mkubwa, hasa katika Ukristo wa mapema na katika baadhi...
  13. U

    Kabila gani mkoani Tanga wapo vizuri zaidi usomaji kitabu?

    Kabila gani mkoani Tanga wapo vizuri zaidi usomaji kitabu? Wadau hamjamboni nyote? Nauliza kwa Mkoa wa Tanga wasambaa na wazigua wapi wapo vizuri zaidi kwenye usomaji kitabu? Aksanteni
  14. I

    Historia ya kitabu cha kutoka/exodus movement of Jah people cha dini ya rastafari

    "Exodus" ni dhana muhimu sana katika dini ya Rastafari, na pia inahusiana sana na muziki wa reggae, hasa kupitia wimbo maarufu wa Bob Marley, "Exodus" uliotolewa mwaka 1977. Ingawa wimbo huo wa Marley unahusu zaidi harakati za kisiasa na kiroho za watu wa Kiafrika, dhana ya "Exodus" inarudi...
  15. Kitabu; Usimamizi wa fedha binafsi; mwongozo wa kupata, kutunza na kuzalisha fedha ili kuwa huru

    Rafiki yangu mpendwa, Umewahi kujiuliza kwa nini watu wawili, wanaoweza kuwa wanafanya kazi au biashara zinazofanana na kuingiza kipato sawa, mmoja anaweza kuwa vizuri kifedha na mwingine vibaya? Au umewahi kujiuliza kwa nini watu ambao kazi zao za kila siku wanahusika na simamizi wa fedha...
  16. Je, wajua kua Bibilia ndio kitabu kinachoongoza kwa maandiko ya ukatili?

    Katika uchambuzi, imeonesha kua biblia ndio kitabu kinachoongoza kua na maandiko yenye ukatili zaidi kuliko kitabu kingine chochote cha dini. Mungu wa kwenye biblia amekua akiamrisha mambo ya ukatili mkali. moja ya maandiko ambayo yanatumiwa hata na mayahudi wa sasa ni ule wa Samwel...
  17. Kitabu Cha Kwa Bamkwe Kinaporuka na Kutua

    KITABU CHA KWA BAMKWE KINAPORUKA ANGANI NA KUTUA Mikono inamtetema. Hii "tetema," ni msamiati wa sasa. Sie watu wa kale tunasema mikono inamtetemeka. Kwa nini nasema mikono inatetemeka kwa sababu angalia anavyoifungua bahasha. Bahasha ina namna yake ya kuifungua Ndugu yetu hakufungua bahasha...
  18. Naandaa kitabu naomba kwa amabaye amewahi kuishi Uingereza au anaishi anasaidie kunijuza mitaa na mambo mengine

    Kitabu kinaelezea kijana aliechukuliwa afrika na kupelekwa uingereza na anatakiwa asome shule za awali hadi chuo, hivyo basi naomba kuelekezwa mitaa hasa ile ya kitajiri na sehemu za kupumzika hasa za kutembelea nk.
  19. Pitio la Kitabu: Baraza ya Majestic na Machinjioni Kwa Bamkwe

    PITIO LA KITABU: BARAZA YA MAJESTIC NA MACHINJIONI KWA BAMKWE Hiki ni kitabu cha nne ambacho nimekifanyia patio katika vitabu ambavyo vinaeleza mapinduzi ya Zanzibar ya mwaka wa 1964. Kitabu cha kwanza kilikuwa kitabu cha Dr. Harith Ghassany ambacho nilishiriki katika utafiti wake kama...
  20. Kitabu bora cha Mathematics O-level

    1. Kitabu kina topics zote Form 1 hadi 4 2. 29 Chapters, 505 pages, full colour. 3. Kila subtopic ina maelezo ya kutosha na kueleweka na ina exercise yake. 4. Kila Topic ina revision exercise ya maswali 50 hadi 100 5. Kuna mitihani 10 ya samples 6. Kuna chapter nzima (maswali 90) ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…