kitabu

Kitabu is an EPUB reading application for macOS, released in 2012.

View More On Wikipedia.org
  1. Msaada wa nakala laini(soft copy) ya kitabu kiitwacho, Practical Geography for Africa

    Wakuu nawasalimu, Mwenye nakala laini ya kitabu kiitwacho Practical Geography for Africa by John M. Pritchard anisaidie.Wenu katika elimu.
  2. Kanali Muammari Gadafi katika kitabu cha kijani- kuhusu Bunge na chama

    BUNGE BUNGE ni uti wa mgongo wa demokrasia ya uongo iliyopo kwenye ulimwengu wa sasa. Bunge sio uwakilishi wa watu na mfumo wa mabunge sio suluhu katika matatizo ya demokrasia. Bunge kwa asili liliundwa kuwakilisha watu lakini kitendo hiki chenyewe si cha kidemokrasia kwakuwa demokrasia maana...
  3. Naomba Fatawa za Maulamaa kutoka katika kitabu na Sunnah katika hili.

    Asalaam alykum. Ndugu waislamu mliofanikiwa kupata Darsa mbali mbali , naomba Fatawa katika hili , kutoka katika kitabu na Sunnah kwa ufahamu wa Waja wema waliotangulia. Hii habari ni kwamba figo ya nguruwe iliyopandikizwa katika mwili wa mtu huyo inafanya kazi. Wabillah Taufiq
  4. L

    Kitabu cha Rais Xi Jinping kuhusu “Utawala wa China” toleo la lugha ya Kiswahili chatolewa

    Kitabu cha Rais Xi Jinping chenye jina la “The Governance of China” toleo la Kiswahili, kimetolewa kwa wasomaji kwenye hafla fupi iliyofanyika Agosti 14 mjini Nairobi. Hii ni juzuu ya kwanza ya mfululizo wa juzuu nne, kikiwa na mkusanyiko wa hotuba na maagizo mbalimbali ya Rais Xi Jinping katika...
  5. C

    Uliwezaje kufanikiwa kimaisha kwa kutumia mbinu au kanuni uliyosoma kwenye kitabu au ushauri?

    Ndugu wanajamvi, Kwenye jamii inayotuzunguka kuna msemo ya wahenga na busara au elimu ambayo ili kusaidia au kukunufaisha na kutuwezesha either Iwe positively au negatively kuwa na nidhamu au kanuni za kimaisha. Naomba tushare baadhi ya hivo Vitu either umesoma, kusikia, kuona au namna...
  6. Kitabu Kipya: Sal Davis An Autobiography

    KITABU KIPYA: SAL DAVIS AN AUTOBIOGRAPHY Ndugu zangu kitabu cha maisha ya Sal Davis leo kimechapwa na Amazon kama mnavyoona hapo chini. Kitabu kilichukua muda kwani si kazi nyepesi kumkalisha Sal kitako mahali pamoja kwa muda mrefu labda awe kakaa Barzani. Kitabu hiki tulikimaliza Nyali...
  7. Natafuta kitabu kinatafutwa Combatants: A Memoir of the Bush War and the Press in Uganda

    Kitabu hiki kinatafutwa haraka wakuu, mwenye nacho afanye kuattach hapo chini. Combatants: A Memoir of the Bush War and the Press in Uganda. Mwandishi William Pike Natanguliza shukrani
  8. Biblia ndio kitabu pekee kinachojibu maswali Mengi kumuhusu binadamu na maisha yake

    Maswali yanayojibiwa na hichi kitabu ni Mengi sana, mfano... 01. Upendo vs Maovu Biblia imeelezea sana hili neno upendo, faida zake na hasara zake, ni kwanini mwanadamu anapenda na n.k Tabia ya mwanadamu ni ubinafsi, uchoyo, wivu na mengine mengi Historia kubwa ya uwovu inapatika humo, taifa...
  9. Kitabu: Unyonge wa Mwafrika.

    Leo ni siku ya kiswahili duniani. Maktaba app ingependa tuanze kusomea moja ya kitabu kipatikanacho ndani ya Maktaba app. whatsapp 0715278384. UTANGULIZI 12 Nokora mpumbavu Hali ya Mtumwa Kawambwa na makapu ya karanga Tony mwana wa D. C. Kijibwa cha mzungu Togolo na mavazi ya Kijarumani Kanga...
  10. J

    Raia wa Sweden kuchoma Kitabu Kitukufu. Je, kukosa heshima kwa Kitabu Kitukufu inawahusu wao peke yao?

    Kitendo hiki cha kuchoma Qurani kilitokea katika siku ya kwanza ya sikukuu kuu ya Waislamu ya Eid al-Adha. Kitendo hiki kililaaniwa sana kama "kitendo cha chuki" na "dharau" kwa kitabu kitukufu cha Allah. Swali langu Je lipi ni tendo baya zaidi kukifanyia kitabu cha Mwenyezi Mungu kati ya...
  11. Mashirika ya umma na rasilimali za nchi zinazoendelea kuuzwa kwa kivuli cha mikataba

    Ni uchungu sana kuona kwamba rasilimali za taifa, mashirika ya umma na hata utu na uhuru wetu unaendea kuchezewa na wachache au yeyote atakayepewa mamlaka ya urais wa nchi hii. Yaani yeye na watu wake kwa kipindi chake. Kila rais anayeingia madarakani hupiga pake na kutulia kimya akijua...
  12. Balozi Mbarouk asaini kitabu cha maombolezo Ubalozi wa italia

    Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk (Mb.) amesaini kitabu cha maombolezo katika Ubalozi wa Italia nchini, kufuatia kifo cha Waziri Mkuu wa zamani wa Italia Mhe. Silvio Berlusconi kilichotokea tarehe 12 Juni, 2023. Mara baada ya kusaini...
  13. Weka aya/ mstari kutoka kitabu cha dini yako unaoona umeandikwa kwa ustadi, weledi na hekima ya hali ya juu

    Ukisoma vitabu vya watu mashuhuri kama shakespeare, kuna ile unakuta mwandishi ameandika kwa ustadi wa hali ya juu...yani ametumia maneno vizuri, yani maneno ameyatumia kama rangi vile kuchora picha nzuri sana inayovutia kutazama machoni. Bila stori nyingi au maelezo mengi, weka fungu la kitabu...
  14. Kitabu: Maisha, mila na desturi za Wanyamwezi

    Muandishi: N. D. Yongolo, 1953 Unaweza kukisoma ndani ya maktaba app. TuPm Kuungwa. 1 WATOTO 2 MICHEZO NA DESTURI ZA WATOTO 3 NDOA 4 DINI NA IMANI YA WANYAMWEZI 5 SHERIA NA HAKI KATIKA NCHI 6 UCHAWI 417 MATUMIZI YA DAWA 8 HOFU NA MIIKO YA VIFO 9 MAMBO YA POMBE 6510 MAMBO YA URITHI 11 JINSI...
  15. Kitabu: Desturi za Wachagga

    Kitabu hiki kizuri sana. Kina mengi ya kujifunza yenye msaada hata leo. Kimetungwa na S. J. Ntiro Kuchapwa 1953. Unaweza kukisoma ndani ya maktaba app. TuPM Kuungwa. DIBAJI YA WATOAJI KITABU Juzi juzi mtaalamu mmoja wa mambo ya Afrika aliandika: "Bila mikusanyo mingi ya hakika ya mambo ya...
  16. Msaada wa kupata kitabu cha Michael Shirima, mmiliki wa Precision Air

    Wakuu za weekend? Kwa masikitiko makubwa tumeamka kwa kupokea taarifa za msiba wa Michael Shirima, founder wa Precision Air. Ikani sukuma kutaka kupata kitabu chake alicho andika wakati wa uhai wake kinachoitwa "On my father's wings" Kama kuna mtu anacho akitume huku tuweze kusoma sote ambao...
  17. Maneno ya kitabu "Confessions of an economic hitman" yametimia nchini mwetu.

    "Kukopa arusi kulipa matanga." "Uuzaji" wa bandari yetu si kwa sababu nyingine, si kwa sababu ya ufisadi au blah blah za kuongeza ufanisi. Ni sababu ya kuelemewa na madeni na hali ngumu ya uchumi iliyotukumba. Tunachekelea kuambiwa tunakopesheka na kuwa deni linahimilika. Yametufika. Ipo siku...
  18. Kitabu Kipya: "Waliopotezwa Tanzania " Mwandishi: Sheikh Ponda Issa Ponda

    KITABU KINGINE CHA SHEIKH PONDA KIMEZINDULIWA: WALIOPOTEZWA TANZANIA. Katika kipindi cha miaka mitatu nimekuwa nikipokea vitabu kutoka kwa waandishi wakiniomba nifanye pitio yaani, "book review," kwa nia ya kuvitambulisha vitabu hivi kwa wasomaji na wananchi kwa jumla. Kitu kinachojitokeza kwa...
  19. R

    Maisha ya ujana wa Yesu kwenye Kitabu cha Urantia

    Habari wakuu. Biblia iko kimya kuhusu maisha ya Yesu Kristo tangu akiwa na miaka 12 mpaka alipoanza utume wake akiwa na miaka 30. Naomba tusome simulizi za maisha yake kwenye kitabu cha BOOK OF URANTIA, wakati mwingine huitwa pia THE URANTIA PAPPERS halafu tujadili humu yaliyomo kwenye Ile...
  20. Hayati Magufuli pamoja na kuwa hatunae, Malawi wameandika kitabu kuenzi kazi zake

    Professor Malango Chinthenga. Ameandika kitabu kinachojulikana AFRICA MAGUFULI and CHANGE sasa wale Haters/ant- Magufuli mnalo, Legacy ya Magufuli sio Tanzania tu bali Africa nzima na Dunia kwa ujumla huyu mwamba wanamtambuq kwamba Tanzania ilipata Rais Mzalendo na mwana wa Africa aliyependa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…