kitaifa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    CHADEMA msitoke kwenye reli, acha wateuane _watengueane kazia ajenda zenu za kitaifa na chama chenu.

    Achana na CCM, wateuane, watenguane. Chadema endelea na mikutano yenu. Fichua maovu ya CCM kama mlivyokazia kwa Nape. Nadhani kama siyo Chadema, Nape asingelitenguliwa. Erythrocyte
  2. G-Mdadisi

    Kamati ya kitaifa Usawa wa Kiuchumi yazipongeza MIF, TAMWA ZNZ kuwezesha Wanawake Kupata Haki zao

    KAMATI ya Kitaifa ya Ushauri kuhusu utekelezaji wa Programu ya Kizazi Chenye Usawa wa kiuchumi (GEF) imezipongeza taasisi zinazowezesha upatikanaji wa haki za wanawake na watoto Zanzibar kwa jitihada zake za kukuza haki na usawa wa kiuchumi kwa makundi yote. Pongezi hizo zimekuja kufuatia ziara...
  3. U

    Tabora: BAKWATA wamng’oa sheikh anayedaiwa kufungisha ndoa mara mbili

    Wadau hamjamboni nyote? Taarifa kamili hapo chini: Tabora. Katika hali isiyo ya kawaida, Baraza Kuu la Waislamu (Bakwata) katika Kata ya Mtendeni, Manispaa ya Tabora, limeazimia kumuondoa katika nafasi yake, sheikh wa kata hiyo, Bakari Sikonge kwa madai ya kufungisha ndoa mara mbili pamoja...
  4. Roving Journalist

    Rais wa Msumbiji, Filipe Nyusi alivyowasili Tanzania (Julai 1, 2024) kwa ziara ya Kitaifa ya siku nne

    Rais wa Msumbiji, Filipe Nyusi yupo Nchini Tanzania kwa ziara ya kitaifa ya siku nne, aliwasilia Usiku wa Julai 1, 2024. Baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Nyusi alipokelewa na viongozi mbalimbali wa Serikali, wakiongozwa na Waziri wa Mambo ya Nje na...
  5. Tlaatlaah

    Upinzani nchini umegonga mwamba dhidi ya nguvu na ushawish wa kisiasa wa DR.Samia Suluhu Hassan KWA wananchi, mijini na vijijini kitaifa na kimataifa.

    upinzani nchini umeshindwa kabisa kutikisa nguvu, umaarufu na ushawishi wa Dr Samia Suluhu Hassan kwa wanainchi mijini, vijijini, kitaifa na kimataifa.. kiufupi ameshindika kwa hoja, sera, mipango, maono, nia, uthubutu, hekima, uaminifu, matarajio ya wanainchi kwake n.k hali hii imewapunguza...
  6. GoldDhahabu

    Nini lengo la viongozi wa dini kufanya sala kwenye matukio ya kitaifa?

    Nchi yetu Haina dini, hilo linafahamika. Lakini karibia kila tukio la kitaifa, lazima viongozi wa dini wawepo kwa ajili ya sala. Hiyo inamaanisha nini? 1. Watawala wanaamini sana katika maombi? Sidhani, kwa sababu kama ndivyo, kwa nini wawaalike wa dini zenye maarufu pekee? Mara nyingi...
  7. M

    SoC04 Dira ya Udhibiti Endelevu wa Kitaifa wa Uwekezaji Muhimu

    Katika miaka ya hivi karibuni, Tanzania imeanza safari ya kuleta mabadiliko katika sekta mbalimbali, zikiwemo nyanja za kiuchumi, kijamii, kisiasa na kiteknolojia. Mabadiliko haya chanya yametokana na hatua za makusudi zinazolenga kuimarisha maendeleo ya taifa kwa ujumla. Hata hivyo, njia...
  8. Roving Journalist

    Mhandisi Innocent Luoga: Serikali inajiandaa kuzindua Mkakati na Mpango Kazi wa Kitaifa wa Nishati Jadidifu

    Wizara ya Nishati imeshiriki Kongamano la Kitaifa la Nishati Jadidifu kwa mafanikio ambapo imetumia kongamano hilo kueleza juhudi zinazofanywa na Serikali katika uendelezaji wa Nishati Jadidifu nchini na hii ikijumuisha utekelezaji wa Mkakati wa Kitaifa wa Nishati Safi ya Kupikia. Akifungua...
  9. BARD AI

    Rais Ramaphosa na ANC wakubali kuunda Serikali ya Umoja wa Kitaifa na Vyama Pinzani

    AFRIKA KUSINI: Chama Tawala cha African National Congress (ANC) kimekubali kuunda Serikali ya Umoja wa Kitaifa baada ya kupoteza idadi kubwa ya viti vya Ubunge. Akitoa taarifa hiyo baada ya Kikao cha Kamati Kuu ya Chama (NEC) Rais Cyrill Ramaphosa amesema “Tumeridhia kuvialika Vyama vya Siasa...
  10. Roving Journalist

    Kongamano la Kwanza la Kitaifa la Maandalizi ya Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050, ni Juni 8, 2024

    Kutakuwa na mawasilisho ya maoni kutoka kwa makundi mbalimbali ya kijamii na mjadala wa wazi Mada za Utangulizi 1. Prof. Issa Shivji: Tanzania @ 60 2. Prof. Kitila Mkumbo: Tanzania ya 2050 Wachagizaji wa Mada 1. Prof. Samwel Wangwe 2. Mama Getrude Mongela 3. Dkt. Neema Mduma 4. Dkt. Richard Mbunda
  11. BARD AI

    Pre GE2025 Mchungaji Msigwa apendekeza kuwe na Midahalo ya Wazi hadi katika ngazi ya Kitaifa ili kupata Wagombea wa kupambana na CCM

    DEMOKRASIA: Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA, Mchungaji Peter Msigwa amesema ili kupata Viongozi wanaoweza kukabiliana na CCM, chama hicho kinapaswa kutumia njia ya Midahalo ya Wazi kupima uwezo wa Wagombea Msigwa ameeleza hayo wakati akizungumza na Wanahabari na kusema "Napendekeza katika ngazi...
  12. BARD AI

    Nigeria: Wafanyakazi waanza Mgomo wa Kitaifa kudai nyongeza ya Kima cha Chini cha Mshahara kutoka Tsh. 58,400 hadi Tsh. 962,865

    NIGERIA: Wafanyakazi wa Taasisi za Umma na Binafsi wameanza Mgomo wa Kitaifa usio na kikomo nchini humo wakidai maboresho ya Maslahi ya Kazi ikiwemo nyongeza ya Mishahara Mgomo huo unfautia kukosekana kwa muafaka wa Mazungumzo kati ya Chama cha Wafanyakazi (NLC), Umoja wa Wafanyakazi (TUC) na...
  13. Ojuolegbha

    Hafla ya Pili Kitaifa ya Tafakuri ya Uchechemuzi wa Uhuru wa Kujielezea iliyoandaliwa na MISA - Tanzania

    Hafla ya Pili Kitaifa ya Tafakuri ya Uchechemuzi wa Uhuru wa Kujielezea iliyoandaliwa na MISA - Tanzania Mobhare Matinyi Mkurugenzi wa Idara ya Habari (Maelezo) na Msemaji Mkuu wa Serikali. 🗓️ 31 Mei, 2024. 📍 Dar es Salaam.
  14. J

    Mdahalo wa kitaifa Dodoma

    Mwenyekiti wa UVCCM (T) Ndg. Mohammed Ali Kawaida (MCC) atashiriki katika Mdahalo wa KITAIFA kuhusu Miaka 3 ya Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kuhusiana na UTEKELEZAJI wa Ajenda za vijana utakaofanyika ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention. TAREHE: 25/5/2024
  15. K

    Mwalimu Mushi wa Ilboru apewe maua yake “Nishani ya kitaifa”

    Kwa mawazo yangu kati ya walimu wakuu ambao wanahitaji nishani za kitaifa ni Mwalimu mkuu wa zamani wa Ilboru. Huyu ndiyo alifanya Ilboru kuwa shule ambayo kwa miaka yote ni ya kipekee kwa kutoa madaktari wengi, wanasheria wengi na vipaji vya juu sana hapa nchini kwetu. Kila nchi nilienda watoto...
  16. Pang Fung Mi

    Janga la Kitaifa: Watu Waliofeli Kwenye Ndoa Wamejivuka Koti la Ualimu, Wanaelimisha Watu Kuhusu Ndoa ni Hatari Kwa Taifa la Tanzania

    Shalom, Sina mengi zaidi kichwa Cha habari kinajieleza, mamlaka husika ikiwemo wizara yenye dhamana ipate kulitizama hili swala. Vilaza wengi wanaodanga na machangu, waliofeli kwenye Ndoa, mibaba mihuni tu inayonyandua mademu hovyo tu imegeukia hio fursa kuelimisha kuhusu Ndoa, mijitu...
  17. Roving Journalist

    Pre GE2025 Mkutano wa Kitaifa kutafakari na kujenga uelewa wa pamoja wa Sheria za Uchaguzi zilizopitishwa kuelekea Chaguzi za 2024/2025

    TCD kuwakutanisha wadau kutafakari Sheria za Uchaguzi zilizopitishwa kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa na Uchaguzi Mkuu. Mkutano huu wa Kitaifa kutafakari na kujenga uelewa wa pamoja juu ya sheria za Uchaguzi zilizopitishwa kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa wa Mwaka 2024 na uchaguzi...
  18. W

    Kumbukizi: Umuhimu wa kuzingatia mambo ya msingi mchakato wa katiba mpya

    Tahadhari tisubiri wanaitaka mabadiliko wawe wengi ni hatari!! Nitumie nafasi kuwaonya viongozi wa CCM watumie busara hii kuweka vizuri mambo muhimu kama; katiba, muungano, tumehuru. Nachelea kusema katiba yenye maoni yaliyoratibiwa na tume ya warioba wasiyapuuze.
  19. Fredrick Nwaka

    Siasa za Kibaguzi hazitajenga umoja wa Kitaifa

    Na Fredrick Nwaka Tanzania ni nchi inayosifiwa Afrika na duniani kote kwa utulivu wa kisiasa, ikilinganishwa na mataifa jirani kama Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi, Msumbiji na DRC ambazo zote zimepitia majaribu makubwa ya kisiasa ambayo kama kusingechukuliwa hatua za makusudi kumaliza majaribu...
  20. Nyani Ngabu

    Ni lini sherehe za sikukuu za kitaifa zisizo za kidini ziligeuka na kuwa maonyesho ya kijeshi?

    Wajuzi na wajuvi, ni lini hizi sherehe za sikukuu za kitaifa zisizo za kidini ziligeuka na kuwa fursa ya wanajeshi kufanya maonyesho ya kazi zao? Maana sikumbuki kabisa kuona mambo kama haya miaka ya nyuma enzi za Mkapa, Mwinyi, na kwa kiasi hata Nyerere. Pengine labda nimesahau. Kama ni...
Back
Top Bottom