Klabu ya Simba SC imesaini mkataba wa zaidi ya Shilingi Bilioni 30 na kampuni ambayo imeshinda tenda ya uzabuni wa kutengeneza jezi na kusambaza vifaa vyenye nembo ya Simba Sports Club.
Inatajwa ni mkataba wa miaka mitano na ni kampuni ya Kitanzania.
Pia, Soma
Kampuni ya Umbro yaomba tenda...
Njia Kumi za Kumkwamua Kijana wa Kitanzania Kiuchumi/Biashara
Ili kumkwamua kijana wa Kitanzania kiuchumi na kibiashara, kuna njia kadhaa ambazo zinaweza kuchukuliwa. Kila njia ina mifano yake maalum ambayo inadhihirisha umuhimu na ufanisi wake. Hapa chini ni njia kumi pamoja na mifano ya...
Wadau wa JF, Karibuni!
Wadau wa JF, habari za siku? Poleni na pilika pilika za maisha, najua mitaa imewaka, wengi wanahaha huku na kule kutafuta mkate wa kila siku. Lakini si wote wanahaha – wapo wale waliotoboa, wanadunda bila stress, huku wengine wakibaki wakiwatazama tu kwa mshangao. Swali...
https://youtu.be/9ebMOVI87h0?si=sJm0h1XJPQDVVuaQ
Jana nimetumiwa hiyo link na rafiki zangu ambao sio watanzania wakishtushwa na kukasirishwa na huyo mzungu akiwadhalilisha Watanzania hasa Wanawake,
Kwenye comments nimesikitishwa na baadhi ya wanaume wa Kitanzania wakimsapoti na kujichekesha...
Ninawaza kwa Sauti ya chini sana nikiwa nakunywa taratibu kiburudisho kisicholewesha.
Ni hivi vijana wengi wa Kitanzania wamekuwa na ndoto au matamanio ya kujiunga na jeshi la JW na hivyo kupelekea wengine kushindwa vigezo vya kujiunga na jeshi hilo na wengine kudondokea kwenye mikono ya...
Naishi Dar es salaam nimewahi kufanya kazi kwenye shule za private ili nilishndwa kuendlea kufanya kazi sabbu shule ambazo nilibahatika kufanya kazi hawalipi mishahara Kwa wakati unaweza kukaa hata miezi mitatu hujalipwa hivyo naombeni mnisaidie connection ya kazi yoyote ambayo itaniingizia...
Mtanzania baharia aitwaye Fadhili Mohamed Omar amefariki akiwa kwenye meli nchini Uholanzi baada ya kujinyonga.
Kwa mujibu wa taarifa marehemu alikua ni mwenyeji wa mji wa Moshi, mkoa wa Kilimanjaro...
Klabu ya Yanga imewapa taarifa Kwa barua rasmi wachezaji wake wawili Clement Mzize pamoja Aziz ki kuwa watakuwa sokoni mwishoni mwa msimu huu
Mzize mwenye miaka 21 ametakiwa na club ya Wydad ambayo ilituma offer ya billion 2.5 ambapo Yanga ilipuuza offer hiyo
Leo mchana timu ya Al Ahly Tripoli...
Ithamini Sana Shillingi 100 Uipatayo: Uhalisia wa Maisha ya Kitanzania
Katika mazingira ya maisha ya Kitanzania, shilingi 100 inaweza kuonekana kama fedha ndogo, lakini ina umuhimu mkubwa unaokwenda zaidi ya thamani yake ya kawaida. Maisha ya kila siku yanaendeshwa na juhudi za kila mmoja...
Mimi ni mtu wa sales and marketing na huwa inanipa wakati mgumu kumuelezea mwanamke(hawa ambao ni zero brain waliojaa mitaani but ni pisi kali)
Kazi yangu inahusika na nini,na kwa nature ya kazi yangu naweza nikapitisha hata siku tatu nisiingie job as order zinakua zinaflow zenyewe tu kwa...
Kwa kweli,sio kwamba nina pesa nyingi la hasha,ni mtu tu ambae sinaga mambo mengi hivyo huwa najitahidi kuwa na kabalance ka kutosha kwenye accounts zangu kwa ajili ya mambo yangu binafsi.
So inapotokea mtu akanikopa akaja na sababu za kueleweka huwa siona tabu kukopesha hivi vilaki mbili au...
Mimi ni mpenzi mkubwq wa wasani wa kiafrika hasa watanzania.
Ila kunakitu kinanikwanza sana ninapo angaria movie au video za miziki ya Tanzania. Unakuta mtu anaubo zuri na mwonekano wa kiafrika lakini ukiangaria ngozi yake unashindwa kujuwa kama ni mwarabu, mzungu ,mhindi au mchina au...
UJUMBE WA MWAKA MPYA 2025 KWA VIJANA WENZANGU WA KITANZANIA
Na Mohamed Ali Kawaida, Mwenyekiti wa UVCCM Taifa
Ndugu vijana wenzangu!
Tukiwa tunaanza safari ya mwaka mpya wa 2025, nipende kutumia fursa hii kuwatakia heri ya mwaka mpya, afya njema, na mafanikio tele. Mwaka mpya ni fursa mpya...
Wanabodi heshima mbele.
Kuanzia tarehe 15/12/2024 mpka tarehe 20/12/2024.Kulikuwa na MASHINDANO ya michezo ya VYUO VIKUU VYA AFRIKA MASHARIKI (13Th Eastern African Universities sport) yaliyo fanyika katika chuo kikuu cha MASENO nchini Kenya.
Nchi zilizo shiriki ni pamoja na Tanzania,Uganda...
Wiki hii imekuwa ya kipekee kwa uchumi wa Tanzania, kwani shilingi ya Kitanzania imeimarika kwa takriban 10% dhidi ya Dola ya Marekani. Mnamo Desemba 7, 2024, shilingi ilikuwa ikibadilishwa kwa takriban 2,580 TZS kwa USD 1, lakini sasa imeshuka hadi 2,294 TZS kwa USD 1 kufikia Desemba 14, 2024...
Offen Chikola ni mchezaji mwenye kipaji cha hali ya juu. Nilipata nafasi ya kumsikia akihojiwa mara moja, na jamaa huyu sio tu kwamba anajua mpira, bali pia ana akili nyingi za maisha ya kawaida.
Anajulikana kwa kuwa mtulivu na mwenye akili timamu, iwe uwanjani au nje ya uwanja.
Katika jangwa la kaskazini mwa Australia Kusini, kuna mji mdogo maarufu ulimwenguni kwa uzalishaji wa vito vya opal unaojulikana kama Coober Pedy.
Zaidi ya asilimia 70 ya opal zinazoteumiwa duniani hutoka katika mji huu, ambao ulianzishwa mwaka 1915 baada ya wachimbaji kugundua vito hivyo vya...
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa (Mb) ametoa wito kwa Wazazi, Walezi na Walimu kuwalea, kuwaandaa na kuwafundisha Wanafunzi katika misingi ya nidhamu bora na tamaduni za kitanzania ili iweze kufaa katika jamii na kuwa na mchango kwa Taifa kupitia taaluma zao.
Bashungwa ameeleza hayo Novemba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.