Habr wanjf. Ukweli nimekuwa nikufautilia kwa ukaribu siasa na uchumi wa Kenya, pia maono ya watu mbalimbali, kisaikolojia ukisoma comment nyingi inaonesha wazi vijana wengi wameshaanza kujiona wako tofauti na vijana wa nchi jirani au nchi zingine.
Hivyo imekuwa kama mfano halisi kwao. Naomba...
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye, amewapongeza vijana watatu wa Tanzania - Dickson Mram, Matimu Mahimbo na James Amos - kwa kuibuka washindi katika mashindano ya TEHAMA duniani ya Huawei yaliyofanyika Mei 23-26,2024 Shenzhen, China.
Vijana hao wenye ujuzi...
Hii ni orodha tukufu ya watanzania wenye umri chini ya miaka 50 walioweza kufanya mapinduzi makubwa kupitia jinsi walivyojaliwa na muumba.
1. ZITTO KABWE
Haina ubishi Zitto ndo aliamsha wengi kuona inawezekana kuwa mwanasiasa mkubwa mwenye umri mdogo tena kupitia upinzani. Zitto aliingia...
Jeshi la kujenga taifa (JKT) ni moja ya chombo kilichoundwa tarehe 10 Jul, 1963 baada ya nchi yetu kupata uhuru. Lengo kuu ni kuelimisha, kudumisha uzalendo, maadili na nidhamu ya vijana na kuwafanya wawe raia wanaopenda kutumikia na kuiilinda nchi yao.
Mara baada ya kumaliza kidato cha sita...
Wadau habari za muda poleni na majukumu ninaomba kuuliza kwa wazoefu kwa nini serikali aitaki kuona elimu yetu imepitwa na wakati wabadili mfumo wa elimu uliopo uwe kama nchi zilizoendelea ili nasisi tuweze kupunguza matatizo ya kukosa ajira kwa wahitimu wa chuo.Mfano unakuta ajira zimetangazwa...
Ni mwaka wa pili sasa nafuatilia hii program ya BBT iliyo anzishwa na mh Bashe chini ya wizara ya kilimo , nilichogundua hii program ni ya kisiasa na kidarali watu wanapiga pesa vibaya mno na vijana wanapotezewa mda na kutumikishwa kama watumwa wakipewa ujira na Kwa malimbikizo. Naona bora...
Awali ya yote nipende kutoa shukurani za kipekee kwa uongozi wa JF na wahisani wengine kuwezesha jukwaa hili kuwa kitovu cha mawazo mapana ya kuijenga nchi yetu ya Tanzania.
Nikienda kwenye mada ya namna ya kuboresha sekta ya usafiri ili iweze kuleta wepesi kwa watoto wa kitanzania kupata...
Ni sahihi kwa serikali kuanzisha shule zake za English medium?Kigezo gani kitatumika kupata wanafunzi wanaotakiwa kwenda kwenye hizo shule?
Kuanzisha shule hizi kunaendana na wazazi kugharimia au wanakwenda bure kama shule nyingine? Ni nchi gani ina mfumo wa shule za serikali kuwa na mfumo...
Kuna uhusiano mkubwa kati ya dhuruma na upole wa kimasikini.
Masikini mtata huwa anapunguza uwezekano wa kuonewa na Matajiri. I
Yanga kama hayati Magufuli ilitakiwa walete taharuki. Wagomee match wazue balaa ambalo litaleta attention ya FIFA na dunia nzima. Wamefanya kosa baya sana kukubali...
Yaani kabisa mnakaa na kungojea nyama za misaada?
Na mnagombana kupanga foleni na akina mama na mnasukumana nao kwenye foleni ya kungojea nyama za misaada?
Hapana bhana, ndio wanaume tuna majukumu ila haiwezekaniki kwa sisi kwenda kupanga foleni,kugombania nyama za misaada na akina mama...
Wasalam wanajukwaaa.
Nipo naangalia hii Match ya Simba na Tembo ya FA Aisee inakera badooo sana, Yani zile beki zinachokifanya ndio kile tumetoka kukiona kwenye Team ya Taifa. Japo sio wote walikua Team ya Taifa ila hiki ni kielelezo kua Kumbe wachezaji wa Kitanzania swala la kuchezea Mpira...
Ipi ni sababu ya msingi inayowapelekea wanawake kuwanyima waume zao tendo la ndoa?
Mmelalamika sana, tena sana, zaidi ya sana. Mimi mwenyewe ni mhanga wa hilo. Kama ningelijua hili kabla ya ndoa, nisingelioa kabisa huyu mdudu
• Wanakuwa wamechoka sana na majukumu ya hapa na pale!?
• Wanahisi...
Kuna majina ukiyasikia tu unaona hili linawakilisha mamlaka. Yaani jina linakuwa na nguvu ndani yake. Umewahi sikia jina gani la mtanzania ukasema hili linasound kimamlaka na nguvu hasa?
1. Jidula Mabambasi
2. Kaselabantu
3. Fundikira
4. Kunjakuwili
5........
To all of you inventing and spreading calumnies against Joshua Mollel:
1. You are suckers.
2. You are all stupid people.
3. You are all idiots.
And if you believe everything that is being spread around by these people, then you are also a sucker, a stupid person, and an idiot all in one bag...
Tusihangaike kusaka mchawi, Makamba na Bashe wanaujuwa ukweli. Ninaamini na mama Samia kwa sasa atakuwa anaujuwa ukweli.
Januari jana kasema wazazi wa kijana aliyeuliwa watakwenda Israel. Tujiulize toka lini wazazi wa mfiwa yeyote yule Tanzania wakapelekwa nje alipokufa? Siri hii anayo Makamba...
Yaani nimeona sendozi aina ya Teva inauzwa instagram 250,000! Nimepita huku mtaani nikazikuta kwa mmachinga, mpya kabisa. Nimempa elfu ishirini akapokea kiroho safi maisha yanaendelea!
Ni matumaini yangu mko poa ndugu zangu wana jf and happy independence day ndugu zangu watanzania. Majobless endeleeni kupambana mechi bado halftime, mahustlers endeleeni kusaka tonge hakuna kukata tamaa. Wasomi endeleeni kutafuta kazi n.k
Ninajua juu ya uzi huu basi wasomi na wanazuoni wazee wa...
Hili swali kila siku najiuliza sipati majibu sahihi. Utajiri wa mababu zetu umeenda wapi? Uhakika ni kwamba walifanya kazi na walikuwa na mali za kutosha lakini kwa sasa hazionekani tena.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.