Habari za leo ndugu zangu,
Naomba mwenye kitabu kinacho elezea utamaduni wa kitanzania anisaidieni. Maana nasearch mtandaoni kwakweli sioni yeyote aliye andika mambo ya maana kuhusu utamaduni wetu.
Mwenye kitabu kinachoelezea utamaduni wa kitanzania (Tanzanians Culture values and Traditions)...
Report mpya ya ukwasi wa mtu mmoja mmoja katika mataifa tofauti duniani imetoka ikionesha hali ya utajiri katika taifa.
Aidha report hii inaonesha ni kiasi gani cha fedha unapaswa kuwa nacho ili uingie kwenye country's millionaire club au uwe regarded as a wealth man au uwemo katika kundi dogo...
Nimepata fursa ya kuandika haya Muda huu!
Nimekusikia Mh. JPM ukitangaza nia ya kujenga bwawa hilo kubwa la umeme. Kwakweli hilo ni jambo jema sana, na kwa namna ninavyokufahamu ukishatamka jambo kinachofata ni utekelezaji! Nataka nikuhakikishie kwamba wahandisi wa kitanzania hawajashindwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.