Kuna vijana wengi sana wa kitanzania ambao walishakuwa brainwashed na kujiunga na makundi ya kigaidi kama Al shabab.
Vijana wengi sana toka mikoa ya pwani, Tanga , Arusha walishajiunga na kundi la Al shababu na wengi tu walishawahi kuhudhuria mafunzo ya kigaidi huko Somalia.
Hata hayati...
Navuta picha ya kijana wa kitanzania anayewakilisha vijana wengi wa kiafrika vijana waliokosa mbinu za kujikwamua kiuchumi, kijamii, vijana wasiojua ni nini wafanye kutoka hapo walipo kwenda kwenye hatua nyingine na kupata kile wanachotamani katika ndoto/maisha yao.
Naangali na kutathimini ni...
Habari za wakati
Kufikiria sio kazi rahisi,ni kazi ambayo ina ugumu wake.
Je unafikri unaweza kuzalisha ajira kwa ajili ya vijana 5 wa Kitanzania katika eneo ulipo?Je ajira utakayowapatia itakuwa na sifa gani,utawalipa kiasi gani,itakuwa na faida gani kwa jamii inayokuzunguka?
Zingatia kwamba...
“Kwa kuwa sisi wananchi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania tumeamua rasmi na kwa dhati kujenga katika nchi yetu jamii inayozingatia misingi ya uhuru, haki, udugu na amani. Na kwa kuwa misingi hiyo yaweza tu kutekelezwa katika jamii yenye demokrasia ambayo serikali yake husimamiwa na bunge lenye...
Hebu tujuzane animations za Kibongo. Japo tasnia hii bado haijakua lakini kuna chache zimetengenezwa. Hebu tujuzane Animations za kitanzania. Mimi nazifahamu hizi chache.
1. Zamani ilikuwepo moja inaonyeshwa ITV, dogo fulani wa kike akiitwa sara. Nafikiri kuna watu wa nje walikuwa wanafadhili...
Habari zenu wanajukwaa. Natumaini ni wazima wa afya. Namshukuru Mungu kwa uzima aliotupa siku ya leo.
Mnamo Juni, 13 2021, Rais wa JMT Mh. Samia Suluhu Hassan alitoa wito kwa Benki Kuu (BOT), kujiandaa kwa ajili ya kulipokea swala la sarafu za kimtandao na teknolojia inayoziwezesha yaani...
Habari wanajamvi wenzangu!
Tatizo la ajira limekuwa sugu lakini nimekuja na suluhisho ambalo litaweza kuongeza kipato kwa sisi watu wa chini na hasa waliomaliza chuo na kukosa posts.
Naeleza hiki kutokana na Experience yangu na jinsi nilivyofanikiwa kwa kilimo hiki cha pilipili kichaa (African...
Wanajukwaa, nadhani serikali yetu inabidi iangalie kwa umakini mkubwa haya mambo ya ukatili ndani ya hii nchi. Kuna mambo ya ajabu mno.
Mara kwa mara naenda Mikocheni kumtembelea mchumba wangu anayeishi Mikocheni Baraka Plaza Apartments, na mara nyingi nawakuta vijana wale wale waigwa lindoni...
Nipende kuwasalimu ninyi nyote, habari za muda huu! Niende kwenye mada moja kwa moja. Tanzania ni kati ya nchi maskini duniani japo ina rasilimali muhimu na nyingi karibia kila mkoa.
Je tatizo linatokea wapi mpaka ongezeko la vijana wasio na ajira kuendelea kuwa kubwa?
Katika uchumi kuna kitu...
Nimeangalia kwa makini sana huu mjadala na kama mtu niliyewahi kufundisha chuo nimeshangazwa sana na uwezo wa hawa wanafunzi wa Kiafrika. Kipindi wanafanya huu mjadala walikuwa ni wenye umri mdogo sana, lakini uwezo wao wa kujenga na kujibu hoja, kuzungumza lugha ngeni kwa ufasaha, ujasiri...
Kusema kweli nashindwa kuwaelewa mabinti/wadada wa Kitanzania (sio wote) kwenye mitandao ya kutafta mahusiano ama dating apps. Sijui ni ushamba ama ugumu wa kuelewa.
Mitandao kama Tinder, Badoo, Hitwe, Tantan, Match.com, na mingineyo ni mitandao mahususi kwa datings na inaitwa kabisa dating...
Nimeamua kuandika habari za mpira wa miguu kwa sababu nyingi lakini za msingi ni kuwa soka ni ajira,biashara,n.k lakini pia ina mipaka yake.mpira wa miguu (Football or soccer) ni biashara kubwa sana sio Kwetu bali duniani kote. Sasa timu zetu kubwa ni mbili tu yaani Yanga na Simba. Hakuna nchini...
Nimekua nikishangaa sana baadhi ya wanasiasa badala ya kufanya kazi ambayo Watanzania wamewatuma kufanya sasa wamegeuka kushindana na Diamond.
Kijana wa watu anajituma kwa akili na uwezo wake sasa kuna wanasiasa wameibuka mitandaoni na kuanza kumsemasema kijana wa watu.
Sasa mimi naona ili...
Rais wa Jamhuri ya Muungano Wa Tanzania, Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan ameahidi kuzungumza na vijana wote wa Tanzania kupitia vijana wa mkoa wa Mwanza.
Hii ni fursa kubwa kwa Raisi kuweza kusikia kutoka kwa vijana, lakini pia kuwashirikisha vijana wa Tanzania mwelekeo wake na mategemeo yake...
Habari wakuu. Kawaida ya binadamu umri ukienda huanza kutathmini maisha yao na kuanza kujutia baadhi ya mambo na kusema ninge.
Ni mambo gani ambayo wazee wa kitanzania hujutia sana na wangependa vijana wawe tofauti?
Si wazee tu, hata wewe kama kunajambo unafikiri ulitakiwa kulifanya tofauti...
Kijana huyu mwenye amri mdogo ana akili iliyotulia kinoma, miaka ya hivi karibuni alifanya kazi katika Shirika la Twaweza akiwa kama Assistant data analyst alibahatika mwaka jana Mwanzoni kupata ajira nyingine huko ughaibuni - barani ulaya katika shirika kubwa la masuala ya utafiti ambapo...
Kila ukikutana nao utawasikia wakiisema hii Kauli yao wanayoipenda kuwa Wanaume wote ni Waongo ( Matapeli ) na kwamba Baba yao ni Mmoja.
Kinachonishangaza sasa pamoja na Kuisema Kauli hiyo lakini Wakiendelea tena 'Kutongozwa' na Wanaume hao hao Matapeli ( Waongo ) bado tena huwa wanawakubalia...
Ubalozi wa China nchini Tanzania umetangaza makampuni 49 ya Tanzania yaliyoruhusiwa kuuza maharage soya nchini China.
Hatua hiyo ya Mamlaka ya forodha kuruhusu maharage soya ni fursa kwa wakulima wa Tanzania kwa kuwa sasa wana soko la uhakika.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.