kitanzania

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tetesi: Inadaiwa Klabu ya Simba imesaini mkataba wa bilioni 30 na mzabuni wa utengenezaji Jezi

    Klabu ya Simba SC imesaini mkataba wa zaidi ya Shilingi Bilioni 30 na kampuni ambayo imeshinda tenda ya uzabuni wa kutengeneza jezi na kusambaza vifaa vyenye nembo ya Simba Sports Club. Inatajwa ni mkataba wa miaka mitano na ni kampuni ya Kitanzania. Pia, Soma Kampuni ya Umbro yaomba tenda...
  2. Njia Kumi za Kumkwamua Kijana wa Kitanzania Kiuchumi/Biashara🇹🇿🇹🇿🇹🇿

    Njia Kumi za Kumkwamua Kijana wa Kitanzania Kiuchumi/Biashara Ili kumkwamua kijana wa Kitanzania kiuchumi na kibiashara, kuna njia kadhaa ambazo zinaweza kuchukuliwa. Kila njia ina mifano yake maalum ambayo inadhihirisha umuhimu na ufanisi wake. Hapa chini ni njia kumi pamoja na mifano ya...
  3. Mbinu za Siri Wafanyabiashara Wakubwa wa Kitanzania Wanazitumia Kupata Utajiri!

    Wadau wa JF, Karibuni! Wadau wa JF, habari za siku? Poleni na pilika pilika za maisha, najua mitaa imewaka, wengi wanahaha huku na kule kutafuta mkate wa kila siku. Lakini si wote wanahaha – wapo wale waliotoboa, wanadunda bila stress, huku wengine wakibaki wakiwatazama tu kwa mshangao. Swali...
  4. Mamlaka husika mchukulieni hatua huyu mzungu amewatukana dada zetu wa Kitanzania na Watanzania kwa ujumla

    https://youtu.be/9ebMOVI87h0?si=sJm0h1XJPQDVVuaQ Jana nimetumiwa hiyo link na rafiki zangu ambao sio watanzania wakishtushwa na kukasirishwa na huyo mzungu akiwadhalilisha Watanzania hasa Wanawake, Kwenye comments nimesikitishwa na baadhi ya wanaume wa Kitanzania wakimsapoti na kujichekesha...
  5. Nashauri tanzania iingie mkataba wa haraka na congo vijana wa Kitanzania wapate ajira ya haraka

    Ninawaza kwa Sauti ya chini sana nikiwa nakunywa taratibu kiburudisho kisicholewesha. Ni hivi vijana wengi wa Kitanzania wamekuwa na ndoto au matamanio ya kujiunga na jeshi la JW na hivyo kupelekea wengine kushindwa vigezo vya kujiunga na jeshi hilo na wengine kudondokea kwenye mikono ya...
  6. J

    Habari yenu Mimi ni kijana wa kitanzania elimu yangu kidato Cha nne ni mwalimu wa primary ngazi ya cheti bado sijaajiriwa serikalini

    Naishi Dar es salaam nimewahi kufanya kazi kwenye shule za private ili nilishndwa kuendlea kufanya kazi sabbu shule ambazo nilibahatika kufanya kazi hawalipi mishahara Kwa wakati unaweza kukaa hata miezi mitatu hujalipwa hivyo naombeni mnisaidie connection ya kazi yoyote ambayo itaniingizia...
  7. I

    Baharia wa kitanzania ajinyonga kwenye meli nchini Uholanzi.

    Mtanzania baharia aitwaye Fadhili Mohamed Omar amefariki akiwa kwenye meli nchini Uholanzi baada ya kujinyonga. Kwa mujibu wa taarifa marehemu alikua ni mwenyeji wa mji wa Moshi, mkoa wa Kilimanjaro...
  8. Mzize kuvunja record ya usajili Kwa wachezaji wa kitanzania

    Klabu ya Yanga imewapa taarifa Kwa barua rasmi wachezaji wake wawili Clement Mzize pamoja Aziz ki kuwa watakuwa sokoni mwishoni mwa msimu huu Mzize mwenye miaka 21 ametakiwa na club ya Wydad ambayo ilituma offer ya billion 2.5 ambapo Yanga ilipuuza offer hiyo Leo mchana timu ya Al Ahly Tripoli...
  9. Ithamini Sana Shillingi 100 Uipatayo: Uhalisia wa Maisha ya Kitanzania

    Ithamini Sana Shillingi 100 Uipatayo: Uhalisia wa Maisha ya Kitanzania Katika mazingira ya maisha ya Kitanzania, shilingi 100 inaweza kuonekana kama fedha ndogo, lakini ina umuhimu mkubwa unaokwenda zaidi ya thamani yake ya kawaida. Maisha ya kila siku yanaendeshwa na juhudi za kila mmoja...
  10. I

    Hivi kwanini wanawake wa kitanzania wanapenda kutoka kimapenzi na watu wanaofanya kazi hizi?

    Mimi ni mtu wa sales and marketing na huwa inanipa wakati mgumu kumuelezea mwanamke(hawa ambao ni zero brain waliojaa mitaani but ni pisi kali) Kazi yangu inahusika na nini,na kwa nature ya kazi yangu naweza nikapitisha hata siku tatu nisiingie job as order zinakua zinaflow zenyewe tu kwa...
  11. Nahisi nina bahati mbaya,kila mwanamke wa kitanzania ninaemkopesha pesa lazima anidhulumu

    Kwa kweli,sio kwamba nina pesa nyingi la hasha,ni mtu tu ambae sinaga mambo mengi hivyo huwa najitahidi kuwa na kabalance ka kutosha kwenye accounts zangu kwa ajili ya mambo yangu binafsi. So inapotokea mtu akanikopa akaja na sababu za kueleweka huwa siona tabu kukopesha hivi vilaki mbili au...
  12. J

    Mkorongo unashusha thamani ya wasanii wa Kitanzania

    Mimi ni mpenzi mkubwq wa wasani wa kiafrika hasa watanzania. Ila kunakitu kinanikwanza sana ninapo angaria movie au video za miziki ya Tanzania. Unakuta mtu anaubo zuri na mwonekano wa kiafrika lakini ukiangaria ngozi yake unashindwa kujuwa kama ni mwarabu, mzungu ,mhindi au mchina au...
  13. Kwa nini kampuni za Kikenya ni nyingi nchini Tanzania kuzidi kampuni za Kitanzania nchini Kenya.

    Sababu ni mchango wa Serikali? Ni jitihada za raia wenyewe?
  14. J

    Ujumbe wa mwaka 2025 kutoka kwa Mwenyekiti wa UVCCM Taifa kwa Vijana wa Kitanzania

    UJUMBE WA MWAKA MPYA 2025 KWA VIJANA WENZANGU WA KITANZANIA Na Mohamed Ali Kawaida, Mwenyekiti wa UVCCM Taifa Ndugu vijana wenzangu! Tukiwa tunaanza safari ya mwaka mpya wa 2025, nipende kutumia fursa hii kuwatakia heri ya mwaka mpya, afya njema, na mafanikio tele. Mwaka mpya ni fursa mpya...
  15. Je umewahi kutumia sarafu hizi za kitanzania?

    Je umewahi kutumia pesa hizi za kitanzania? Au ndio kwanza unaziona hapa kwa mara ya kwanza?😆
  16. T

    Vyuo vikuu vitano vya tanzania vya shika mkia mashindano ya 13 ya Afrika Mashariki: Wanafunzi wa Kitanzania tunaosomea chuo Kenya mumetuacha na aibu

    Wanabodi heshima mbele. Kuanzia tarehe 15/12/2024 mpka tarehe 20/12/2024.Kulikuwa na MASHINDANO ya michezo ya VYUO VIKUU VYA AFRIKA MASHARIKI (13Th Eastern African Universities sport) yaliyo fanyika katika chuo kikuu cha MASENO nchini Kenya. Nchi zilizo shiriki ni pamoja na Tanzania,Uganda...
  17. S

    Shilingi ya Kitanzania yapata nguvu ghafla. Je, huu ni mwanzo mpya?

    Wiki hii imekuwa ya kipekee kwa uchumi wa Tanzania, kwani shilingi ya Kitanzania imeimarika kwa takriban 10% dhidi ya Dola ya Marekani. Mnamo Desemba 7, 2024, shilingi ilikuwa ikibadilishwa kwa takriban 2,580 TZS kwa USD 1, lakini sasa imeshuka hadi 2,294 TZS kwa USD 1 kufikia Desemba 14, 2024...
  18. Offen Chikola: Nyota wa Kandanda anayeng'ara ndani na nje ya Uwanja

    Offen Chikola ni mchezaji mwenye kipaji cha hali ya juu. Nilipata nafasi ya kumsikia akihojiwa mara moja, na jamaa huyu sio tu kwamba anajua mpira, bali pia ana akili nyingi za maisha ya kawaida. Anajulikana kwa kuwa mtulivu na mwenye akili timamu, iwe uwanjani au nje ya uwanja.
  19. Coober Pedy na Somo kwa Vijana wa Kitanzania: Fursa Katika Changamoto za Maisha

    Katika jangwa la kaskazini mwa Australia Kusini, kuna mji mdogo maarufu ulimwenguni kwa uzalishaji wa vito vya opal unaojulikana kama Coober Pedy. Zaidi ya asilimia 70 ya opal zinazoteumiwa duniani hutoka katika mji huu, ambao ulianzishwa mwaka 1915 baada ya wachimbaji kugundua vito hivyo vya...
  20. Wanafunzi Wafundishwe Nidhamu Bora na Tamaduni za Kitanzania: Bashungwa

    Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa (Mb) ametoa wito kwa Wazazi, Walezi na Walimu kuwalea, kuwaandaa na kuwafundisha Wanafunzi katika misingi ya nidhamu bora na tamaduni za kitanzania ili iweze kufaa katika jamii na kuwa na mchango kwa Taifa kupitia taaluma zao. Bashungwa ameeleza hayo Novemba...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…