Tanzania ni moja kati ya nchi ambazo mpaka sasa elimu yake kwa kiasi kikubwa ni ya kinadharia. Tangu shule ya awali na ya msingi, mwanafunzi hupimwa zaidi uwezo wake wa kuelewa masomo husika kwa nadharia zaidi na sii kwa vitendo, ambapo akimaliza darasa la saba, na hata kidato cha nne, hawezi...