kitanzania

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Vijana wengi wa kitanzania hawajui namna ya kuzika wapendwa wao

    Vijana wengi hasa wa mijini hawajui ni namna gani ya kuwazika wapendwa wao, hii nimeiona kwenye misiba kadhaa hasa ya kikristo wazikaji wanakodiwa. Kwanza ni waoga kuingia mortuary hawawezi kabisa, wakati wa mazishi kuingia kaburini wengi wao hawawezi kabisa kazi kunyoa viduku na kuvaa suruali...
  2. Tuliosomaa riwaya za kitanzania Kama za Willy Gamba na za akina Ben Ntobo njooni tujadili mafunzo na ubunifu mkubwa tulioupata.

    Ukiangalia bongo movie zinahadidhi za kitoto na zinazodumaza Akili kabisa Mara simulizi za kusadikika za kichawi. Mara mkaka kapuku kapendwa na demu tajili. Tuliosoma vitabu Kama wizi wa almasi Mwadui. Pesa zako zinanuka, msake mpaka umpate, Kuna vitu vingi Sana vimetujenga. Achilia mbali noval...
  3. Janga lingine kwa vijana wa Kitanzania ni hili hapa

    Wanayaita Dubu au Bonanza. Hapa unaweza ukaliwa hadi ubongo. Vijana wa Kitanzania sasa hivi mpaka huko vijijini huwaambii chochote kuhusu hii dubwasha. Kwahyo wakati uraibu wa betting haujakolea vizuri, kuna uraibu wa Dubu/Bonanza ambapo mbaya zaidi wanachezq mpaka watoto wadogo wa shule za...
  4. Wanafunzi wa Kitanzania Ukraine waruhusiwa kuvuka mpaka wa Russia

    Wanafunzi wa Kitanzania walio katika mji wa Sumy nchini Ukraine wameruhusiwa kutoka nchini humo kupitia mpaka wa Russia baada ya mazungumzo ya kidiplomasia kufanyika na Serikali ya Russia kuridhia. Kwa mujibu wa taarifa ya pamoja iliyotolewa leo Machi 4, 2022 na Ubalozi wa Tanzania nchini...
  5. Je, Fiston Kalala Mayele angekutana na Wachezaji Masela wa Kitanzania kama wafuatao enzi hizo angekuwa anatukera hivi hapa Mjini?

    1. Rostar Ndunguru 2. Frank Kasanga Bwalya 3. Salum Kabunda Ninja 4. Idi Seleman Kibode Nyigu 5. Kenneth Mkapa 6. Said Mwamba Kizota 7. Fikiri Magoso 8. Willy Martin Scania 9. Bakari Malima Jembe Ulaya 10. Rajab Msoma 11. Twaha Hamidu Noriega Mabeki / Wachezaji wa leo laini sana.
  6. Ni Nani aliyelimdanganya kijana wa Kitanzania kwamba Serikali ina wajibu wa kumletea mafanikio ya Kiuchumi?!

    Nitangaze mapema kwamba 1. Mimi ni graduate na ni jobless kama walivyo vijana wengi 2. Mimi Sina chama chechote na siyo msenaji wa yeyote. Lakini najiuliza sana Hawa wahindi na wazungu waliohamia kutoka nje na kuwawekea watoto wao misingi ya mafanikio na Sasa wengi wa watoto wao under 35 ambao...
  7. B

    Dk. Anna Makakala, utoaji Pasipoti kwa vijana wa Kitanzania unaambatana na fogery Kwasababu maafisa wako wanalazimisha watoto wetu kudanganya

    Moja ya Kiongozi Mwanamke aliyeweza kufanya mabadiliko makubwa ya utoaji huduma na kupanua uwazi Kwa wateja ni Kamishna Jenerali wa UHAMIAJI. Ametumia elimu yake kufanya mabadiliko makubwa na amefanikiwa kuzifanya huduma za UHAMIAJI ziwe kwenye mtandao kama nchi za ulimwengu wa kwanza. Kwa...
  8. BINTI: Filamu ya kwanza ya Kitanzania inayooneshwa Netflix

    Filamu ya BINTI @bintimovie ni filamu ya kwanza ya Kitanzania kuoneshwa katika mtandao wa filamu mitandaoni kwa jina la NETFLIX. Filamu hiyo inaelimisha mabinti kutotamani maisha ya wenzao ikiwa hawajui wanapitia nini. Imeandikwa na mtunzi Angela Luhinda pamoja na @sekoshamte na tayari...
  9. Wachezaji wa kitanzania wenye thamani kubwa.

    Katika kwenye transfer website wafuatao ni wachezaji wa kitanzania Africa wenye bei kubwa.
  10. Udhaifu na unafiki wa siasa za Tanzania

    Siasa, Dini, harakati za maisha, ni vigumu sana kuvitenganisha. Siasa na dini, hivi ni vitu viwili tofauti lakini viko katika package moja, ni ukweluliomc mchungu siasa na dini zikitumika vibaya mpasuko mkubwa wa kitaifa utatokea, naomba niachane na hapa, naomba nizungumzie mienendo ya Siasa ya...
  11. I

    NIMEGUNDUA: Mtoto wa Kitanzania hawezi akanyooka kimaadili kwa kumuhutubia tu kwa maneno

    Nina watoto wangu wawili mmoja ana umri miaka 17 mwengine miaka 15. Watoto hawa nimekua nikitumia nguvu nyingi sana kuzungumza nao, kuwa karibu nao na kuwaelekeza katika maadili sahihi na tabia njema za maisha bila mafanikio yeyote. Wananisikiliza kwa makini lakini baada ya hapo ni kama vile...
  12. Tanzania hatuna Comedians bali tuna waropokaji tu. Comedians wa Kitanzania humwelewi kama hujui lugha anayotumia jukwaani

    Kwa hakika siwezi kupoteza muda wangu au data kumtazama mchekeshaji wa Kibongo. Hawa wachekeshaji wetu mimi ninawaita waropokaji. Comedy ya wenzetu wengi utacheka na kufurahi hata usipoielewa lugha wanayoitumia jukwaani. 1. Comedy ya Kibongo imekosa ubunifu. 2. Wanadhani mpaka leo mavazi...
  13. K

    Zuku yamwaga ajira kwa vijana wa Kitanzania

    Wakuu Kazi hizo. Sharing is caring.
  14. Washambuliaji wa kitanzania wanapaswa kujifunza kwa Mayele

    kuna wakati ukweli unatakiwa kusemwa wala haijalishi utauma vipi. Mshambuliaji wa yanga Fiston Kalala Mayele ni high class, haina budi washambuliaji wengine kujifunza hasa yule kijana Bob Marley kutoka simba.. Kupitia mechi ya leo yanga vs Mbeya Kwanza, unaona namna Mayele anavyokuwa hatari...
  15. M

    Tatizo la marefa wa Kitanzania lilishatengenezwa muda mrefu na TFF awawezi kulikwepa

    Nimeona mapovu mengi sana yakiwatoka mashabiki na wadau wengine juu ya penalty aliyopewa Yanga dhidi ya Namungo, Ni ajabu sana kuitolea macho penalty ya jana wakati matukio kama ayo yanatokea Sana na watu wanakaa kimya kwakuwa tiyali anaefaidika anakuwa keshavuna point zake. Matukio kama haya...
  16. Weledi wa kitanzania.

    Taja vitu au mambo ambayo unadhani ni weledi wa kitanzania pekee.
  17. Siasa za mishahara minono kwenye taasisi za Serikali zinavyoharibu ndoto za vijana wengi wa Kitanzania

    Wanabodi, vijana badala ya kufikiria maarifa ili waweze kuendeleza wapatacho wao wanawaza mishahara minono kwenye taasisi za kiserikali ambazo Kiuhalisia mishahara hiyo minono haipo kwa vijana wanaoanza kazi. Maneno ya wanasiasa majukwaani kutamka mishahara ya wakurugenzi(Directors) wa...
  18. Hii ndo namna pekee ya kuwasaidia vijana wa Kitanzania. Soma utakuja kunishukuru

    Habarini Waungwana! Natumaini Mungu anaendelea kumjalia kila mmoja wetu kadiri ya mapenzi yake. Utangulizi Kwanza naomba nianze kwa kusema kwamba vijana wengi wa KiTanzania ni wachakarikaji, wapambanaji, wapiganaji tofauti na vijana katika nchi nyingi sana ambazo nimewahi kutembelea au kufika...
  19. SoC01 Vijana wa Kitanzania ni mfano wa Dhahabu safi isiyong'aa!

    Ukiondoa mchezo wa soka ambapo jambo kuu ninalojivunia ni kuishi katika zama moja na magwiji wawili wa soka duniani Muagentina Lionel Messi na Mreno Christiano Ronaldo, jambo jingine ninalojivunia ni kuzaliwa katika taifa la Tanzania na kuishi katika zama hizi tulizopo. Yawezekana walioishi zama...
  20. Royal Tour ingekuwa na tija kama Rais Samia angeambatana na Mumewe, watoto wake angalau wawili na kushirikisha wasanii maarufu wa Kitanzania

    Mambo mengine yanafurahisha sana. Huenda bado tupo nyuma ya muda ama hatujui tunatafuta nini. Rais ametuambia kuwa yupo katika majukumu ya kurekodi kipindi maalumu ya royal tour chenye lengo la kutangaza vivutio vya utalii wetu kimataifa. Mimi sijaelewa lengo na dhumuni maana siamini kama Rais...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…