Kiteto District is one of the six districts of the Manyara Region of Tanzania. It is bordered to the north by the Simanjiro District, to the east by the Tanga Region and to the south and west by the Dodoma Region. The district headquarters are located in Kibaya.
According to the 2002 Tanzania National Census, the population of the Kiteto District was 152,757.[1] According to the 2012 Tanzania National Census, the population of Kiteto District was 244,669.The District Commissioner of the Kiteto District is Lt. Lepillal Ole Moloiment.[2]
Watu 33 wa kijiji cha Kazingumu kata ya Namelock wilayani Kiteto mkoani Manyara wamenusurika kifo baada ya kula mzoga wa ng'ombe aliyekuwa anapatiwa matibabu ambapo nyama hiyo walinunua kwa shilingi 2000 kwa kilo badala ya bei ya kawaida ya 8000.
Mkuu wa wilaya ya Kiteto Mbaraka Al Haji...
Wazee Wilayani Kiteto Mkoani Manyara, wameiomba Serikali kuangalia namna ya kufungua dirisha la wazee katika Hospitali ya Kiteto ili wazee waweze kupata huduma ya Afya kikamilifu.
Imeelezwa kuwa licha Serikali kuagiza uwepo wa dirisha maalum kwa ajili ya Wazee lakini hakuna huduma hiyo hali...
Watatu wakazi wa Kiteto mkoani Manyara akiwemo mwalimu wa sekondari Lesoiti, wamefikishwa katika Mahakama ya wilaya ya Kiteto, kwa tuhuma za kumuua dereva bodaboda na kunyofoa baadhi ya viungo vyake kwa imani za kishirikina.
Watuhumiwa hao wamefikishwa mahakamani leo Novemba 28, 2022, baada ya...
Ajali hiyo imetokea eneo la Pori namba moja Kata ya Partimbo wilayani Kiteto Mkoani Manyara baada ya gari la wagonjwa kugongana uso kwa uso na gari dogo.
Watumishi sita wa Serikali, Wilaya ya Kiteto mkoani Manyara, wakiwamo mke na mume, wamefariki dunia na wengine watano wamejeruhiwa baada ya...
Jeshi la Polisi wilayani Kiteto mkoani Manyara, limefukua mwili wa mtu mmoja ambaye hajafahamika ukiwa umeharibika vibaya huku ukiwa umezungushiwa mfuko aina ya salfeti na kufukiwa chini katika kijiji cha Mbigili, Kata ya Partimbo.
Tukio la kufukua mwili huo limefanyika hii leo Oktoba 12, 2022...
Wilaya ya kiteto iliyoko mkoani Manyara, inakabiliwa na upungufu wa walimu 670 wa shule za msingi hivyo Serikali na wadau wa maendeleo wametakiwa kushirikiana kutatua changamoto hiyo, ili kuongeza kiwango cha ufaulu wa wanafunzi.
Chanzo: ITV
Jela miaka 30 kwa kumpa mimba mwanae
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kiteto, imemhukumu kifungo cha miaka 30, Yerenia Chidaka, mkazi wa Kijiji cha Dongo wilayani humo, baada ya kumtia mimba mtoto wake wa miaka 16.
Mtuhumiwa amekiri kosa hilo hii Septemba 7, 2022, mbele ya Hakimu Mkazi Mosi Sasy, na...
Waziri wa Tamisemi fika Halmashauri ya Wilaya ya Kiteto mkoani Manyara. Wakuu wote wa idara ni makaimu na Wizi wa fedha ni mkubwa sana.
Ni nini kinasababisha wakuu wa idara kukaimu Nafasi hizo kwa miaka na miaka?
Kwema ndugu zangu.
Naomba kutoa yangu ya moyoni naona kama Serikali inatuchanganya kwenye masuala ya chanjo ya Corona maaana kwenye vyombo vya habari wanasema n hiari lakini huku Kiteto mkoani Manyara imekuwa tofauti wakina mama wanazuiwa kupima watoto clinic mpaka upate chanjo ya Corona na...
Mkazi wa Kijiji cha Orkine, wilayani Kiteto mkoani Manyara, Nanaa Mepukori (54) amelazwa katika hospitali ya wilaya hiyo baada ya kujeruhiwa kwa kukatwa sehemu zake za siri na watu wasiojulikana.
Tukio la mwanaume huyo kukatwa nyeti lilitokea Juni 28, 2022 usiku ambapo inadaiwa kuwa alikuwa...
TBS yatoa mafunzo ya sumukuvu kwa wadau wa mazao ya mahindi na karanga wilayani Kiteto
Na Mwandishi Wetu
Serikali kupitia Shirika la Viwango Tanzania (TBS) imeanza rasmi kutoa mafunzo kupitia Mradi wa Kitaifa wa Kudhibiti Sumukuvu "Tanzania Initiative for Preventing Aflatoxin Contamination -...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.