https://www.youtube.com/live/nvKNTGAG-9Q?si=H3CYz7QBr2c2gMz9
Sasa unaweza kuelewa ni kwanini hawa jamaa wa wanaojiita G55 ni wajinga wa kiwango cha huyu mzee Benson Kigaila..
Akataa katakata kujibu swali la mke wake kuwa miongoni mwa wale wabunge 19 na kwamba kama ni yeye ndiye aliyesaini fomu...
Tangu TV zianze nchini, ni vipindi viwili tu ukuacha taarifa za habari amavyo vilikuwa na viewers wengi.
Kitimoto na Ze comedy Show.
Paskali Mayalla akiwa katika ubora wake alijuak utukalisha sebuleni. Kizazi cha kipindi kile kilipenda serious issues japo tamthilia za Kaole nazo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.