Alichokiandika Haji Manara
Mungu aendelee kukubariki Rais Wetu mpendwa Mama Samia Suluh Hassan kwa kutupatia Mkuu huyu Mwadilifu wa Mkoa Mh Amos Gabriel Makalla .
Ukiacha majukumu yake makubwa kama RC, kuna Jambo linatufurahisha sana toka Kwa huyu Kada Mtiifu wa CCM,,Nowadays Hatufokewi hovyo...