Hivi Chadema wamerogwa?! Mbowe hasa karogwajwe?!
Kinachoendelea Chadema ni zaidi ya Isidingo, the need!
Naanza kupatwa na wasiwasi, hawa Chadema ama watauana ama watatwezana pakubwa!
Mbowe jitu zima limeamua kukiua Chama kwa mikono yake lenyewe kwa ulafi wa pesa.
Hadi keshokutwa nawaapia...
👉Mimi hii ndo sababu iliyo fanya nikaacha kwenda kwenye kampeni na kuachana na mambo ya siasa🥶ni maigizo haswa ya kupretend kupata service kwenye local areas
👉Hebu tuambie nawewe nini huwa kinatokea kwenye kampeni pande zenu
👉Uzi tiyari
Tanzania bado haija-sini mkataba wa kujenga natural gas refinery ila uko mezani mpaka sahivi
Mwanasheria wa serikali alitaka mazungumzo zaidi juu ya mkataba kwa sababu kuna mambo bado kama serikali hajaridhika nayo
Wito ni huu tunaomba serikali isi-sini huo mkataba iangalie option nyingine...
Nimekumbuka Miaka kadhaa iliyopita Wiki mbili kabla ya Siku yangu ya Uchumba na kutolewa mahari nikapeleka kitambaa kwa fundi anitolee Gauni nzuri na mshono ulikuwa simple tu
Akanipa na siku ya kurudi kuchukua nguo bhana, me nikajiongeza nikasogeza siku kadhaa (akamilishe vizuri nguo) nikaenda...
wiki kadhaa zilizopira Iran ilirusha makombora 200 kuelekea Israel, Hakuna mu Israel hata mmoja alieumia lakini kuna kombora moja halikufika Israel lilimdondokea mpalestine moja na kumuua.
Israel iliwaambia Iran itajibu na kuwapa taarifa mapema ni wapi watapiga, Siku ya ijumaa 24- 10-2024...
Kituo cha kujiandikisha kupiga kura kimewekwa nyumbani kwa Mwenyekiti wa kitongoji ambaye naye ni mgombea wa CCM, je hii ni sahihi?
Pia soma: LGE2024 - Uzi Maalum wa Kasoro na Rafu kwenye zoezi zima la Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Heeeeee, hata kama ni Kutengeneza mazingira ya Padiemu , hizi zingine muwe mnatumia akili hata kidogo.
Ziwa Tanganyika, Ziwa Nyasa, Ziwa Victoria Baba laooo, vijiziwa vidogo vidogo , yote hayo Mungu katupa, bado mnapanga kutupiga watanzania ?.
Ziwa Victoria linahamisha watu Kwa sababu ya...
Kila Kona nchini watu wamekuwa wakilalamikia Visa vinavyofanywa na Dada wa Kazi.
Visa hivyo hufanyiwa Watoto, na hata Ma Boss wenyewe waliowaajiri.
Wengine hufikia hatua ya kueleza kuwa pengine malezi yanasababisha visa hivyo kutokea.
Mfano wa Kisa kimoja huu hapa chini
Hii kauli hawezi sema Rais. Mtoto wangu wa miaka 13 anajua why Kariakoo waligoma. Ila Rais hajui why waligoma.
Huenda waliotumwa na Rais kuuliza au kuchunguza waliporudi akawauliza
Rais: Enheeeh wanasema kwa nini wamegoma?
Wajumbe: Hata tunajua basi? wamejikuta tu wamegoma.
Rais: Haya...
Huyu binti alikua mzuri, akapotea kama miezi mitatu hivi akarudi na tako kubwa tu na lips pana. Mimi sikuwa na hiyana nikamuita nimchangie gharama alizotumia huko (malegend tutaelewa)
Sasa imepita miezi miwili toka nionane nae, leo nimemuona kaumuka yaan ile kama kavimba vimba hivi. Kawa kama...
Katika hali ya kushangaza kabla ya yanga sc imemtegenezea mchezaji wake mask huku wakitumia materials za mabox na sruu.
Haki hii imewapelekea wadau mbalimbali wa michezo nchini kushikwa na butwaa.😁😁😁
Ukifiatilia hotuba zote alizotoa Kilimanjaro na Arusha hakuwa na ajenda ya kueleweka zaidi ya kuzungumzia maandamano ya Chadema na kujikomba kwa Mbowe.
Mara akasema siasa inalipa, mara nitalala kwa Mbowe, mara Samia karuhusu maandamano ya Chadema. Hivi Nchimbi hakumwandalia hoja za kupeleka kwa...
Haw jamaa sio chombo cha habari bali ni chombo cha itikadi. Wanaona haya kubroadcast mvutano ulianza kati ya iran na pakistan eti kisa ni mataifa ya kiislam. Bado tu ni kuwalaumu Israel juu ya vita yao dhidi ya hamas.
Double standard sana hawa watetea magaidi.
Kamati ya mashindano ya Kombe la Mapinduzi ilikuwa na nafasi kubwa ya kufanya haya mashindano yawe na heshima na hadhi ya juu kimataifa, lakini figisu na kukesa weledi kunafanya mashindano yaonekane kituko hasa kwa timu wageni tunaowaalika.
Ushauri wangu kwa kamati ya mashindano haya, isiundwe...
Kinachotokeaga ni kwamba mchungaji anaejinadi anaweza kufufua mtu huwa ni filamu inachezwa mbele ya watu weye imani kubwa kuzidi akili, kila kitu kimepangiliwa na wahusika wanapewa script.
Wenye imani na hisia kubwa kuzidi akili hasa wanawake ndio huwa wanachotwa akili hapa na ndio maana...
Habari za weekend wana JF?
Leo tufunguke kituko kilichowahi kukutokea wakati ukifanya mapenzi.
Nianze na changu.
Nakumbuka wakati nazagamua katikati ya mzagamuo mara dada kakata moto, yaani ile hahemi wala hatingishiki. Kizaazaa. Acha nipagawe!
Kupiga yowe nataka, kukimbia nataka. Acha...
Leo Messi ndani ya top 3 ya watakao gombania tunzo ya mchezaji bora wa mwaka 2023.
tukumbuke Messi anacheza Ligi ya Mls inayokaribiana na ligi ya Bongo kiubora, wakati huo huo ndani ya hiyo ligi ya MLS Messi amefunga magoli mawili tu.
Kwa kweli wameanza kufedheheka.
Club zetu unaziona zinvyotamba kwenye ligi ya ndani, ukiwaona wachezaji wao wanavyoumiliki na kuuchezea mpira watakavyo utasema hii ni bonge la timu
, hata wasemaji na mashabiki wao utawasikia wakisema Madrid hapa anapasuka, aje Man City hapa anakaa, lakini zikivuka mipaka tena hapa hapa ndani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.