Ilikuwa 2000 hiyo. Nimetoka shule kama kawaida, baada ya kubadilisha tu sare na kupata msosi, nikaelekea kijiweni tulikokuwa tunacheza mpira kukiwakilisha kitaa timu yetu ya mtaa. Hapo tulikuwa na kocha wetu na timu ilikuwa na mchanganyiko wa watu mbalimbali; wavuvi, wa vijiweni tu na siye...
Ni kweli Yanga ndio walikuwa na tovuti mapema zaidi kuanzia mwaka 2012 tofauti na Simba walioanza kuwa na tovuti mwaka 2019 lakini kinachoendelea kwenye tovuti ya Yanga ni aibu na wala hakiendani na uzito wa idara ya habari inayofanya makubwa kwenye mitandao ya kijamii.
Daima mbele nyuma mwiko...
Ndege ya Rais wa Tanzania yenye usajili wa 5H-ONE imeonekana kutua Dubai na kuanza safari kuelekea Saudi Arabia!
Bado idara ya habari ya Ikulu haijatoa taarifa yoyote kama Rais Samia yuko ziarani katika nchi hizo mbili za UAE na SAUD ARABIA.
Chuma hiki hapa kimeonekana kimetua Oman jana...
Naipongeza serikali ya Mapinduzi Zanzibar kwa kufanya ukarabati mkubwa wa uwanja wa ndege wa Zanzibar, ambapo ni wazi umebadilisha taswira ya uwanja kuwa bora kuliko ilivyokuwa awali. Cha ajabu ni kwamba pamoja na ukarabati huo kuna kero mpya imejitokeza hasa kwa abiria wanaondoka/wanaotoka...
Ni kawaida sana kusikia katika dunia ya sasa vijana wanachana msamba zaidi ya kupiga hatua kupitia idea za Digital Platforms pindi wakimaliza kozi zao za Computer Science, Computer Engineering, IT, Software engineering, Cyber nini nini huko na kozi nyingine
Ni IT wachache mnooooo wameweza...
Taasisi ya Waislamu kwa haki za binadamu(MUHURI) imesema ni dhihaka kwa watu wa Kenya na sheria zake kwa Inspekta generali wa Polisi, Japhet Koome kuhutubia kupitia vyombo vya habari vya Kenya na kusema maandamano yaliyopangwa na Azimio yamepigwa marufuku kwa kiburi.
MUHURI imemkumbusha IG...
Salaam tele ziwafikie
Kati ya mwaka 2019 au 2020, msanii Stamina ft Roma alitoa wimbo wenye ujumbe wa kusalitiwa na mkewe wa ndoa. Huyo mke akitoka na Ex wake ambae alicheza club ya Simba SC, na baadae nadhani akahamia Namungo FC.
Nikiwa nimekaa kwa starehe na raha kabisa na kipenzi changu...
Katika wazawaza yangu hakika najua viumbe kama pepo na malaika wanaona binadamu ni kituko sana.
Sababu kila kitu kapewa ila anafanya ujinga mtupu mara kakimbizwa na mbwa akilewa aseme ujinga, aige na kufanya michezo hatarishi.
Halafu sielewii wale malaika ambao wali tamani wana za binadamu...
Arsenal inacheza vizuri sana mwaka huu, halafu ina hamasa kubwa. Inaongoza kwa pointi 43, Man city inafuatia kwa mbali kwa pointi 36. Imefungwa mara moja tu na kutoka sare mara moja!
Klabu zingine zisubiri mwakani!!
Hiki kituko kilinitokea miaka kadhaa iliyopita, nilikuwa dingi tayari sema ujana ulikuwa mwingi sana hadi kujisahau🤣 lakini kwa sasa mimi ni ustaadh hizi zimebaki hadithi tu.
Kuna sehemu nilikuwa na project kwenye kampuni moja hivi. Kila siku kabla ya kuingia lango kuu nilikuwa na utaratibu wa...
Inashangaza kuona taaluma ambayo pengine ingetakiwa kua msaada kwa taifa letu lakini imegeuka kua ni kichaka cha vioja. Kuna mdau alikuja kulalamika humu siku moja ya kwamba Baraza la famasia na Chama cha wafamasia wamejikita kwenye kufungia maduka ya watu na kujiwekea ubinafsi wa wao pekee...
Unakutana na binti hata kina single mama hana bikra kashatembea na na wanaume kadhaa ila ajabu ni kwamba anaanza kujiona kwamba yupo sawa na wenye bikra, anamwambia mwanaume hawezi kutoa mzigo mpaka amuoe !!
Ama kweli, Kwenye Maisha Hakuna Hali ya kudumu. "No condition is permanent".
Kipindi naanza kuwa kijana nilipitia kuvuta bhangi, almost 34 years ago. Basi siku hiyo nilivuta bhangi magethoni kwa masela. Wakati narudi home nikahisi njaa Kali ndiyo nikanunua mandazi ya buku hivi nikanywee chai...
Ndoa ndoana, waweza kudhani umepata kwa kumchunguza mda mrefu kumbe ni mtego tu wa kukushawishi muingie kwenye ndoa, weeeehh!!! ingia sasa kwenye hio ndoa akiyacomoa makucha aliyoficha utaomba poo
Sheria za wakristo ni kwamba hakuna ndoa kuvunjika na hakuna kuoa tena, kiuhalisia hili ni jambo...
Mimi nakumbuka siku moja nikiwa ugenini, huyu mtoto wa mwenyeji wangu aliing'ang'ania radio yangu na mwenyeji wangu akaniambia tumsubirie asinzie watamnyang'anya nakumbuka walinipatia radio yangu saa nne usiku toka saa 12 jioni
Niliwamindi familia yote ila basi tu hawakujua
Weka na wewe cha...
Salaam Wakuu! Kwa wale walioshawahi kukaa mahabusu ni kituko gani unakumbuka au tukio gani unalikumbuka ulikutana nalo huko ndani wakati ukiwa unanyea ndoo na uliingia kwa kosa gani? 😊 😊
Tupieni uzoefu🤭
Hakika serikali inacheza na akili zetu ni afadhali ingekaa kimya kuliko kutoa matumaini ya unafuu wa maisha ambao haupo.
Ni ukweli uliowazi kuwa serikali imehusika kwa kiasi kikubwa kupanda kwa gharama za maisha kwa sababu ingewezekana kabisa serikali kuchukua hatua za kuzuia kupanda kwa bei za...
Tangu ile video yake ya ngono ivuje aliyokua anatikisa mauno nimekua nikimuona wa hovyo sana, ila kwenye ujumbe wa hii video yake, katiririka hoja zenye mashiko, anaeleza kile ambacho kimewakwamisha Watanzania kwamba kila rais anakuja na maono yake na mambo yake, hamna maono au dira ya taifa...
Wabunge wa Chama cha Mapinduzi msisahau majimbo yenu, 2025 ni kesho kutwa, na sisi tunataka Rais huyu [Samia Suluhu Hassan] arudi madarakani. Na wajumbe wanawasubiri."- Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango.
Chanzo: Swahili Times Mtandaoni
Lini uliteuliwa kuwasemea Watu wote?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.