kituko

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    Ukiona mtu anaweweseka kwa sauti serikali kukopa muulize, je yeye hana mkopo?

    UKIWA KIONGOZI WA UMMA CHUNGA NDIMI YAKO USIJE KUWA KITUKO KWA MANENO YAKO Na Unoko ni Uzalendo Ukiona mtu anaweweseka kwa sauti serikali kukopa muulize je yeye hana mkopo na kama anao Bondi ya huo mkopo ameiweka serikali au mali zake binafsi? Kuna wakati tusijifanye tuna uzalendo wa hii...
  2. Hiki kituko cha msimu, yaani Profesa Jay ndio MC wa Simba day

    Simba hawajujipanga kuandaa hiyo shughuli. Ma mc WaPo very dis organised. Morrison nae ndio kaongea makolokolo Gani ? Simba SC is very boring. # Haji Manara is cut from a different cloth
  3. K

    Kituko gani unakumbuka siku ya kwanza kusex?

    Naamin mpo good wadau, Leo nlikua kijiwen na wajuba tunapiga piga story ya mambo za Hamza, mara story zikahama mpaka kwenye minyaduano maana kuna dada bonge bonge alipita kijiweni akaharibu kilinge baada ya jamaa mmoja kusema unaeza muona na minyama hivo halafu ukafika 6x6 ukakuta hakuna kitu...
  4. Jay Melody afanya kituko

    Yaan kuna wasanii hawaeshimu kabisa protocol za mavazi. Haya cheki huyu jay melody nani anampa kiburi cha kuvaa suruali ambayo haimtoshi, suruali ambayo kavalia mkanda huku kafunga suspendor(sambaloketo:dk1.20). Ni jambo la kushtusha sana, mbona inafahamika kama una suruali inayopwaya kiunoni...
  5. Video: Ama Mwenyekiti wa CCM Mkoani Mara ni mnafiki

    Yapo mengine unashindwa kuyaeleza hivyo unaiachia video ndio iongee, karibuni sana... Kama sifa zinalevya, basi Mh Rais Samia Suluhu Hassan kaa chonjo na watu kama hawa! Juzi kwa mwendazake leo kwako...waepuke wanafiki hawa, kaa mbali nao na waogope kama ukoma! 1. 2. 3. 4. 5. 6. 7.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…