kituo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Stephano Mgendanyi

    Milioni 500 Kumaliza Ujenzi Kituo cha Afya Madilu - Jimbo la Ludewa

    MILIONI 500 KUMALIZIA UJENZI KITUO CHA AFYA MADILU Mbunge wa jimbo la Ludewa Joseph Kamonga amesema nwaka huu serikali inatoa kiasi cha sh. Mil. 500 kwaajili ya umaliziaji ujenzi wa kituo cha afya cha kata ya Madilu ambacho wananchi wamejenga kwa asilimia 80 kwa kuchangishana fedha kwa kipindi...
  2. benzemah

    Kituo Kikubwa Cha Mikutano "MOUNT KILIMANJARO CONVENTION CENTER." Kujengwa Jijini Arusha

    Ameandika msemaji mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa katika mtandao wa Instagram "Tunakwenda kujenga kituo kikubwa cha mikutano Jijini Arusha kitakachoitwa MOUNT KILIMANJARO CONVENTION CENTER." "Kitakuwa na sifa zifuatazo; 1. Ukumbi wenye uwezo wa kuchukua watu 3,000 2. Eneo la maonesho lenye...
  3. benzemah

    Kituo Cha Kimataifa Cha Biashara Afrika Mashariki (Ubungo), Kufunguliwa June 2024

    Mkurugenzi Mkuu wa kituo Kituo Cha Kisasa Cha Biashara Afrika Mashariki Cathy Wang akizungumza kwenye maonesho ya 47 ya biashara ya kimataifa (Sabasaba) yanayofanyika katika viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam amesema kituo hicho kinatarajiwa kufunguliwa mwezi June mwakani...
  4. Stephano Mgendanyi

    Kisiwa cha Rukuba Kimekamilisha Ujenzi wa Kituo cha Afya

    KISIWA CHA RUKUBA KIMEKAMILISHA UJENZI WA KITUO CHA AFYA Kisiwa cha Rukuba kiko ndani ya Kata ya Etaro yenye vijiji vinne (Busamba, Etaro, Mmahare na Kisiwa cha Rukuba). Kisiwa hiki cha Musoma Vijijini kina Shule ya Msingi yenye vyumba vya madarasa vya kutosha ikiwepo ziada ya vyumba viwili...
  5. Stephano Mgendanyi

    Kituo cha Afya Sibwesa

    ZIARA YA MBUNGE WA VITI MAALUM MKOA WA KATAVI MHE. MARTHA FESTO MARIKI ATEMBELEA KITUO CHA AFYA CHA SIBWESA Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Katavi, Mhe. Martha Festo Mariki ameendelea na ziara yake katika Mkoa wa Katavi na kutembelea kituo cha Afya cha Sibwesa Mhe. Martha Festo Mariki amefanya...
  6. Li ngunda ngali

    Kuna kipi kinaendelea kwenye kituo cha redio cha Samia huko Zanzibar?!

    Kama hamfahamu, Rais Samia ana miliki kituo cha redio huko Visiwani na kwa tetesi zilizopo yapo maendelezo ya ghafla isivyo tarajiwa kwayo. Inasemekana lakini, eti, kuna baadhi ya material yanatoka bara isivyo ndani ya utaratibu na kupelekwa kule. Yawayo, yamo! Mliopo karibu na kituo hicho...
  7. Webabu

    Mwendo kasi jeuri kweli, wanakupakia halafu wanakupitisha kituo

    Eti mabasi ya mwendo kasi yako ya kawaida na mengine kasi ya express. Ujinga mwingi tu. Mara ngapi nimepanda magari yao hayana matangazo ya wazi yanapokwenda wala hakuna vipaza sauti na hakuna konda. Nakusudia niteremke Magomeni wananipeleka mpaka Manzese. Nasubiri jengine la kuelekea mjini ili...
  8. Stephano Mgendanyi

    Usanifu wa Kituo cha huduma za pamoja mipakani Manyovu Kigoma wakamilika

    Serikali imeeleza kuwa imekamilisha usanifu wa Kituo cha Huduma za Pamoja Mpakani (One Stop Boarder Post- OSBP) Manyovu kilichopo mkoani Kigoma na ujenzi upo kwenye taratibu za awali za kumpata mkandarasi. Hayo yameelezwa bungeni jijini Dodoma na Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Hamad...
  9. B

    Dar es Salaam: Kituo cha mwendokasi Mbagala chageuzwa danguro

    Kama ulidhani kutokukamilika kwa mradi wa mwendokasi awamu ya pili kutoka Gerezani hadi Mbagala Rangi Tatu kunawakera wakazi wanaohangaika na usafiri kila linapokucha au kukuchwa unajidanganya. Ipo adha nyingine ya vituo vyake kugeuzwa madanguro, walalamikiwa wakubwa wakiwa baadhi ya askari...
  10. Stephano Mgendanyi

    Waziri Dkt. Ashatu Kijaji Akitaka Kituo cha Uwekezaji Nchini (TIC) Kusimamia Mikataba ya Wawekezaji

    WAZIRI DKT. ASHATU KIJAJI AKITAKA KITUO CHA UWEKEZAJI (TIC) KUSIMAMIA MIKATABA YA WAWEKEZAJI Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb) akitaka Kituo cha Uwekezaji nchini (TIC) kusimamia mikataba ya wawekezaji mahiri na wa kimkakati ili kujenga uchumi imara wa nchi...
  11. Doctor Mama Amon

    Protase Rugambwa: Askofu Mwandamizi Anayeripoti Kituo chake cha Kazi Jimboni Tabora 25 Juni 2023

    Jumapili ijayo Juni 25, 2023, jimbo la Tabora linampokea askofu mkuu Protase Rugambwa akitokea Roma alikokuwa kwenye jopo linalomsaidia Papa kuongoza kanisa duniani. Jopo hili linaitwa "Roman Curia" lina idara zinaitwa "dicastery" na moja ni ya "Uenezaji Injili Duniani". Akiwa bado padri...
  12. Stephano Mgendanyi

    Serikali Iunge Mkono Juhudi za Wananchi Ujenzi wa Kituo cha Polisi Wilaya ya Tanganyika

    MBUNGE MARTHA MARIKI - SERIKALI IUNGE MKONO JUHUDI ZA WANANCHI UJENZI WA KITUO CHA POLISI KATIKA WILAYA YA TANGANYIKA Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Katavi, Mhe. Martha Festo Mariki katika kipindi cha maswali na majibu Bungeni ameuliza mpango wa Serikali kuhusu ujenzi wa kituo cha Polisi katika...
  13. Mapuli Misalaba

    SoC03 Rushwa bado tishio kituo cha Polisi Mjini Shinyanga, wananchi masikini wanakosa haki zao

    Kituo cha Polisi kilichopo Wilaya ya Shinyanga hasa Polisi dawati la jinsia kwa kushirikiana na maafisa ustawi wa jamii wameendelea kuchukua rushwa na kuwanyima wananchi maskini haki zao hasa kwenye makosa ya ulawiti, ubakaji na makosa mengine ya jinai. Katika sheria kifungu cha 17 kinasema...
  14. Zitto

    Mkoa wa Kagera ni Mkoa masikini zaidi nchini Tanzania; tutaugeuza kituo cha biashara EAC

    - 51% ya wakazi wake wanatumia chini ya TZS 1,644 kwa siku ( mstari wa umasikini Tanzania ni TZS 49,320 kwa Mwezi ). - Pato la Wastani la Mtu wa Kagera ni TZS 1.2M kwa Mwaka. Mtu wa Ruvuma na Iringa ana Pato la Wastani mara 3 zaidi ya mtu wa Kagera. - Mwaka 1994 Kagera ilishika nafasi ya 12...
  15. JanguKamaJangu

    Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) chalaani kilichofanywa na TANAPA na TAWA kuhusu uvunjifu wa Haki za Binadamu

    Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kinalaani matukio ya uvunjifu wa Haki za binadamu yanayodaiwa kufanywa na Askari wa Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) na Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyama Pori (TAWA) baada ya kuwepo vitendo vya kupigwa na kuuwawa. Akizungumza na waandishi...
  16. K

    Serikali ya Rais Samia kukamilisha kituo cha biashara Afrika Mashariki

    Baada ya kukwama kwa mradi huu kwa miaka kumi, serikali ya Rais Samia Suluhu inajenga mradi huo ambao utakua na maduka 2060 na kuzalisha ajira za moja kwa moja zaidi 15000 na zisizo za moja kwa moja 50000. Eneo la mradi huo ni zaidi ya viwanja 10 vya mpira wa miguu. Mradi huo utakapokamilika...
  17. Nyanswe Nsame

    Kuna tishio la kituo cha yatima Ilemela mbioni kufungwa kutokana na Sherali Husein kukishtaki mahakamani kituo akidai alipwe fidia ya milioni mia moja

    KUNA TISHIO LA KITUO CHA YATIMA ILEMELA MBIONI KUFUNGWA KUTOKANA NA SHERALI HUSEIN KUKISHTAKI MAHAKANI KITUO AKIDAI ALIPWE FIDIA YA MILIONI MIA MOJA Hofu imetanda jijini Mwanza miongoni Mwa waislamu kutokana na Sherali na Ndugu yake BIM kuapa na kutamba Kwamba WAtakifunga kituo cha YATIMA...
  18. B

    Mwenge wa Uhuru wazindua kituo cha redio Chalinze FM 97.5

    Wiki hii Mwenge wa Uhuru ulifika Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze mkoani Pwani kumulika na kukagua miradi ya maendeleo ambapo ilizindia Kituo cha Redio cha Chalinze FM 97.5 chini ya kauli mbiu yake ya 'Sauti ya Jamii'. Chalinze FM iko katika Jengo la Makao Makuu ya Halmashauri ya Chalinze na...
  19. Suley2019

    Hivi Askofu Gwajima haoni hali ya mazingira ya kituo cha Kawe hasa kipindi hiki cha mvua?

    Salaam Ndugu zangu, Kijana wenu mfukunyuzi mtembezi sipendi kuacha kutia neno kila napoona jambo halijakaa sawa. Leo nikiwa kwenye harakati zangu nimepita maeneo ya kituo cha Kawe na kuona mambo ya ajabu kabisa katika kituo kikuu cha Mabasi cha eneo hilo. Wakuu nafahamu kuwa mazingira ya vituo...
  20. lufungulo k

    Pongezi kituo cha afya GAIRO

    Napenda kutoa pongezi za dhati kwa Serikali na kituo cha afya GAIRO, nimekwenda kupata HUDUMA majira ya saa 14:00. Nimepokelewa vzr, toka mapokezi mpaka kwa daktari. Baada ya maelezo kwanza nimepimwa pressure. Kisha nikaelekezwa niende MAABARA. nimechukuliwa vipimo. Jamani hili kipindi cha...
Back
Top Bottom