Tangu jana tarehe 20 Februari 2023 serikali imeweka utartibu mpya kwenye kituo cha mabasi cha Kimataifa cha Magufuli Bus Terminal pale Mbezi; ambao kimantiki ni utaratibu mujarabu unaoleta tija kwa jamii. Utaratibu wa kutumia kadi ya kieletronic ya N-Card kwa wananchi wanaoingia ndani.
Mantiki...
Siku ya #Redio Duniani ilianzishwa na Kikao cha Umoja wa Mataifa mwaka 2012 kwa kuhusisha Mkutano wa Kwanza wa Kimataifa wa Redio uliorushwa moja kwa moja kutoka Geneva mwaka 1974.
Siku hii huadhimishwa kila mwaka kwa lengo la kutambua mchango muhimu unaotokana na Redio katika maisha na jamii...
Mtu wa kubadilishana kituo cha kazi anahitajika, mimi nipo Dodoma Mpwapwa DC.
Kituo ni kizuri, mazingira mazuri, maji yapo, usafiri upo 24hrs. Wa kubadilishana nae awe mikoa ifuatayo;
1. Iringa
2. Mbeya
3. Morogoro
Watanzania wengi wa elimu katika ngazi tofauti tofauti si watumiaji wa nukta au kituo katika uandishi.
Habari inaandikwa paragraph nzima mistari kumi no mkato no nukta. Je, changamoto ni wazazi wetu, waalimu au ni utamu wa Kiswahili?
Mganga Mfawidhi wa Kituo hicho, Dkt. Selestini Vulua amesema kituo hicho ni kati ya Vituo 6 vilivyopo kwenye Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi ambapo kinahudumia Kata 7 na Vijiji zaidi ya 30 kwa Huduma ya Upasuaji.
Dkt. Vulua amesema "Kuna wakati unafungua Tumbo la Mama halafu Umeme wa TANESCO...
Benki ya CRDB imekabidhi kituo cha mawasiliano katika Taasisi ya Saratani ya Ocean Road ikiwa ni matokeo ya fedha zilizokusanywa katika mbio za CRDB Bank Marathon 2021. Kituo hicho cha kisasa na cha kwanza kwa hospitali hapa nchini kimekabidhiwa kwa uongozi wa Taasisi ya Saratani ya Ocean Road...
Natabiri kuzalishwa kwa migogoro ya kidini itakayowaandama na kuwavunjia heshima viongozi wote WA Dini walioacha Dini awamu ya tano na kusimama kidete na watesi wa waumini wao.
Kuna kamati iliitwa kamati ya Amani ya Dar , ilikuwa na Sura ya kidini lakini mwoneoano wa kisiasa. NI kamati ambayo...
Wilaya ya Kilosa ni kiini cha migogoro ya Wakulima na Wafugaji. Ma DC wengi na hata wakuu wa mikoa na viongozi wa Polisi mkoa na wilaya watakiri hili.
Uteuzi wa Shaka kwenda pale tena akiwa DC kwa mara ya kwanza utazamwe upya. Hii wilaya yahitaji DC mzoefu au mwenye uwezo mkubwa wa kutatua...
Shalom,
December 2022 nilienda likizo nyumbani, nimefika nimekuta wamejenga kituo kipya na kikubwa Cha Polisi. SI mbali na makazi yetu ya asili, nikawaza namna ambavyo naweza kuanzisha biashara Ili kutoa huduma huku nikijiongezea kipato.
Nimekuja mbele yenu mnisaidie mawazo, kutokana na...
Camera za CCTV zilimnasa jamaa akiruka ukuta na kwenda kufanya yake....
A military building in Bratsk, Russia, was set on fire overnight. The building was reported to go up in flames at about 2am local time. No injuries were reported but two employees were inside. The fire was reportedly...
Nimepita Igunga nikielekea Muleba kwa ajili ya Mwaka Mpya na Familia yangu. Nimesimama kwenye Kituo cha mafuta kinaitwa Galaxy hapo Igunga, Kuna tatizo la vyoo nilikuwa naliona maeneo mengi ila jamaa wameweza. Vyoo visafi husikii harufu ya mikojo wala kinyesi. Maji vyooni ya kutosha na sabuni za...
Ukiwa unatokea Masaki, kwenye makutano ya barabara za Haile Selassie na Ali Hassan Mwinyi, jirani na Kanisa la Mt. Petro, Oysterbay, Dar es Salaam, pana taa za kuongozea magari. Kwa pembeni, pana kibanda ambacho hutumiwa na askari wa usalama barabarani kujikinga na jua. Sasa, kwa muda mrefu...
Jamaa huwa wana mzuka sana,
Wanateka taifa lenye zana za kinyuklia, ndio maana inapaswa Iran izuiwe kabisa kumiliki hayo madude, maana mataifa yanayoendeshwa kwa mizuka ya kidini ni hatari sana.
DERA ISMAIL KHAN, Pakistan (Reuters) - Islamist militants seized a counter-terrorism centre in the...
Serikali ya Kijeshi imechukua maamuzi hayo kwa madai kuwa kituo hicho kimetangaza taarifa za uongo na kuwapa nafasi Waasi wa Kiislamu kusikika kwenye matangazo yao.
Pia, Jeshi limesema RFI ilirudia ripoti iliyokanushwa kwamba Rais Kapteni Ibrahim Traore aliyeingia madarakani kwa mapinduzi ya...
Mwanamke yeyote ambaye mimba imetoka au kutolewa anatakiwa kupata huduma ya afya ya uzazi kwa kuokoa Maisha yake katika kituo chochote cha afya kilichopo karibu yake.
Huduma hii ni salama akiipata kwenye kituo cha afya kwani ataweza kupata huduma ya kusafishwa kizazi , atapata ushauri wa...
Habari kutoka Ofisi ya Uhandisi wa Anga ya Juu ya China zinasema baada ya chombo cha anga za juu na kituo cha anga ya juu kufanikiwa kuunganishwa haraka, wanaanga wa Shenzhou 15 wameingia kwenye moduli ya obiti kutoka kwenye moduli ya kurudi ya chombo hicho. Baada ya kukamilisha maandalizi yote...
Na Gregory Jumbe Mahanju,
Tunaambiwa kua uyaone, tembea uone mengi, ukistaajabu ya Musa utayaona ya Firauni. Hizi methali nilipokua mdogo nilidhani tu misemo tu ya waswahili làkini kumbe ni ukweli wenyewe unaotendeka kwenye jamii yetu.
Katika hali ya kustaajabisha kabisa, baada ya Malalamiko...
Kampuni ya nishati mpya ya Ruixin iliyoko wilayani Xinfeng mjini Ganzhou mkoani Jiangxi, China imejenga kituo cha umeme wa jua chenye uwezo wa kuzalisha megawati 30 za umeme. Seti 28 za vifaa vya kuzalisha umeme zinaweza kusafirisha kwa wastani umeme kilowati saa milioni 30 kwa mwaka kwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.