IKUNGI-SINGIDA
Na Gregory Jumbe Mahanju,
Wakati Mama yetu anaendelea kujipambunua kutafuta pesa kwa wahisani ili kutekeleza ilani ya CCM, huko Wilaya ya Ikungi mkoani Singida katika kata za Ntuntu na Irisya tangu pesa zitolewe miradi ya ujenzi wa vituo vya afya katika kata hizo haijakamilika...
Mkuu wa wilaya ya Ikungi Mhe. Jerry C. Muro leo tarehe 01/11/2022 amemuelekeza mkuu wa takukuru wilaya ya Ikungi kuanza uchunguzi wa tuhuma zinazowakabili watumishi watatu waliokuwa wanasimamia ujenzi wa kituo cha afya kata ya Irisya tarafa ya Sepuka jimbo la singida magharibi
Pamoja na hatua...
Kama mada inavyojitabaisha, upande wa kaskazini mwa stendi ya ya mabasi ya mikoani hapo Msamvu Morogoro kuna kituo cha mafuta kinajengwa humo ndani ya uzio eneo ambalo lilitakiwa iwe vizimba vya wajasiriamali wadogo na mama lishe lakini limegawiwa kwa mtu ambaye inasemekana ana nguvu za kiuchumi...
Haiingii Akilini yaani Wafanyabiashara Ndogo Ndogo Kituoni Tanganyika Packers Kawe wanahamishwa kutoka eneo wasilotakiwa na kwenda kupelekwa tena eneo wasilotakiwa.
Hivi nyie NHC pamoja na RC wa Dar (mwana Wenge BCBG na Simba SC Mwenzangu Amos Makala ) na Poti wangu wa Kanda ya Ziwa Mbunge...
Uwepo wa kituo cha kupokea, kupoza na kusafirisha umeme mkubwa wa kilovoti 220/33 kutoka Bulyanuhlu hadi Mpomvu Geita sasa utaifanya Geita kupata umeme wa Megawati 90 wakati mahitaji yao kwa sasa ni Megawati 18.
Kukamilika kwa kituo hiki kunaifanya Geita pia kuanza kupata umeme wa kutosha kwa...
Nyumba ya ghorofa inapangishwa kwa laki tano (500,000 Tsh) maeneo ya mtaa wa Chang'ombe B karibu na kituo cha Serengeti.
Kinachopangishwa ni hiyo ghorofa ya juu. Ipo mtaa mzuri sana nyumba zimejipanga freshwi kabisa.
Nyumba hiyo ina:
1. Vyumba vya kulala viwili vyote self contained.
2. Open...
Marehemu Bi. Halima Selengia aliyefariki dunia mwaka wa 2013 akiwa na umri wa miaka 94 alikuwa kati ya waasisi wa TANU mwaka wa 1954 na mmoja wa wanawake waliokuwa mstari wa Bi. mbele katika kupigania uhuru wa Tanganyika.
Bi. Halima Selengia anaingia katika kundi la akina mam wapigania uhuru...
Katika Wilaya ya Igunga ili kurahisisha biashara ya Madini katika Wilaya hiyo inayoongoza kwa uzalishaji wa madini mkoani Tabora.
Kwa mujibu wa taarifa ya Afisa Madini Mkazi Mkoa wa Tabora inabainisha kuwa, Wilaya ya Igunga ndiyo inayoongoza katika uzalishaji wa dhahabu mkoani humo ikifuatiwa...
JANA NIMEPANDA DALADALA LA LONDON NIKAPITISHWA KITUO.
Anaandika, Robert Heriel
kijana Chakaramu.
Yagayagayagayaga!
Wazimu ukanipanda, ukanisonda nikahisi kukonda, niilikuwa zangu nimesimama stend ya Daladala huko katikati ya jiji nikiwa nimechoka, Kwa kweli shughuli za jiji hili zilinichosha...
Kwa nini wasipewe mwili wa rafiki yao kama ndugu hawajatokea?
=======
Siku 12 zimepita huku mwili wa fundi ujenzi Gaston Moshi (25) ukiwa mochwari ya Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma kutokana na ndugu zake kutojitokeza, huku marafiki wakiiomba hospitali kuwakabidhi wakauzike.
Kifo cha...
Yaani kaaa kwa kutulia mtoto mdooooogoooo, mnuka jasho a.k.a MNYONGE, sasa kwa taarifa yako kila mwaka v-8 za billions 600 zinaagizwa, V-8 MOJA NI MILLIONS 500 SAWA NA KITUO CHA AFYA
Zinajazwa mafuta full tank, full Ac na hakuna kuzimwa hata kama boss yuko bar na mrembo wa bongo movie wanakula...
Vipi wakuu tunawezaje kudhibiti matangazo kwenye post za watu kwenye mitandao ya kijamii kiukweli matangazo yanakwaza Sana mtu una stress zako umechoka unafunguka post unakutana na mtu sijui utoto wa wapi anatangaza tangazo la kujiuza.
Hii sio sawa kwa msitakabali wa kizazi chetu.
Naumia Sana...
Hii amri ya abiria toka mikoani kushushwa Mbezi mbona hatupewi ukweli, siku zilizopita ilidaiwa mkuu wa mkoa alilalamikiwa na wafanyabiashara kuwa wanakosa wateja!
Hivi sasa tunaambiwa eti ni usalama kudhibiti wahamiaji! Kwani wahamiaji hawawezi kushuka au kupanda Kibaha au Bagamoyo! Mabasi ni...
Kituo cha mabasi cha Magufuli Mbezi kimekuwa na idadi kubwa ya watu wenye nia mbaya na abiria ikiwemo wezi na matapeli wanaosababisha usumbufu mkubwa sana kwa abiria wanatumia kituo hiki.
Kituo hiki kinaweza kuwa genge la wezi na matapeli wanaoleta usumbufu mkubwa kwa abiria kwa kuwaibia mali...
Kweli zama huja na kuondoka. Serikali imeahidi kupeleka kituo cha afya Chato ili kuhakikisha wananchi wanapata huduma safi za afya.
My take:
Uwanja wa ndege haukuwa na faida wakati huduma za kijamii kumbe zilikuwa bado.
IGP Ukitamani uwajibikaji na uwazi kwa jeshi lako we tangaza kwa vyombo vya habari kuruhuri matumizi ta teknolojia yaan Raia waruhusiwe kurekodi matukio ya polisi akiwa katika kazi zake hata ndani ya kituo cha polisi
Na iwe ni sheria na pia marufuku kumkataza raia kurekodi matukio hata ndani...
Poleni na mihangaiko,
Nimepata wazo la kufungua kituo cha kujaza mafuta.
Kama kuna yeyote ana mfano wa propozo ya kufungua kituo cha kujaza mafuta naomba anisadie.
Ahsanteni.
Licha ya Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta, kuwataka Wakenya wasimpe kura mgombea urais wa Kenya Kwanza na Naibu Rais, William Ruto bali wampe kura hizo mgombea urais wa Azimio la Umoja, Raila Odinga ameshindwa kumbeba mgombea huyo katika kituo alichopigia kura.
======
Licha ya Rais wa Kenya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.