Tunaomba jamii ione na ipaze sauti kuhusu hiki Kituo cha Daladala cha Kigamboni, ona hali yake ilivyo.
Wilaya au wahusika wameshindwa kukijenga au? Kipo opposite ya Ikulu, kipo kwenye mlango wa bahari pahala ambapo ni Mjini kabisa, hali yake mbaya sana.
Tunateseka mvua zikinyesha, Mbunge yupo...